Kutokujiamini ni janga la wanaume Bongoland

Kutokujiamini ni janga la wanaume Bongoland

mpaka mwanamke wako akambie KUNA WANAUME KIBAO WANANITAKA darling ur suffering from the following disorders
1.ukataphobia
2.kutokujiaminiology
3.hunamalengosynthesis
Hiyo namba mbili wanaume wengi wanaitumia sana kuwagonga mabinti
binti akiambiwa ebujiamini mbona una wasiwasi kupitiliza?baaasi anatoa papuchi
ili aonekane anajiamini.
 
sawa ndugu nimekuelwa
lakini beleve me hii nimeipost kutoka na experience japo nimetumia lugha ya picha ila ujumbe umefika kwao amabo hawajiamini

Mia mia mkuu, karibu lunch huku kinondoni
 
Kama kweli definition ya kujiamini iko hivyo hata wanawake hawajiamnin
1. Siwezi kuwa na mwanaume ambaye hana pesa(Inamaana unataka pesa na si mwanaume huko si kujiamini)
2. Siwezi kuwa na mpenz maarufu(kwani wewe unataka mapenz au umaarufu wake huko si kujiamini)
3. wanaume mahandsome wanakuwa na wanawake weng siwez kuwa nao (kwani wewe si miongoni mwa wanawake huko pia si kujiamini)
4. Siwezi kuolewa na wakulya ni wakatili(kwani walioolewa nao sio wanawake kama wewe huko si kujiamini pia)
Nadhani umeelewa kuwa mtu hupata wasi wasi na huchelea kuwaambia wengine juu ya yaliyomkuta katik mahusiano yake

mpenzi wangu MKURYA

anyways
asilimia 90 ya wanaume hawajiamini mpaka asilimia 99kabisa
 
Hiyo namba mbili wanaume wengi wanaitumia sana kuwagonga mabinti
binti akiambiwa ebujiamini mbona una wasiwasi kupitiliza?baaasi anatoa papuchi
ili aonekane anajiamini.

hahha kuna mdau hapo juu nilimjibu
sijui kama alinielewa na kama alinielewa NAONA AKATOKOMEA
back and forth haimaanishi unajiamini...period
 
Mwanaume asiyejiamini ni janga kwenye mahusiano, ukiwa nae hutofurahia mahusiano kwanza wanakuwaga na wivu sana.

Nadhani umesahau zile methali
Kunguru muoga......,
Ukiumwa na nyoka ukiona jani...
 
KABISA
wavulana wengi wanatabia hiyo haijalishi umri wengine wako in their 40s lakini badooo

Edit kwenye heading ukizingatia maneno yafuatayo; all, almost all, most, some. Mfano ungesema wanaume wote wa mmu hawajiamini tusingekuja, ungesema most of wanaume tusingekuja, ungesema almost all labda tungekuja lakini heading yako unamaanisha all wanaume. Which is very offensive
 
wivu sana sio kukosa kujiamini

Ni kukosa kujiamini, mtu anayejiamini nirahisi kumwamini mwenzie.

Mwanaume Mwenye wivu uliopitiliza, anakuwa hajiamini kama kweli yeye anapendwa na ndo mmiliki, muda wote anawaza kusalitiwa tu.
 
Ni kweli kabisa masai dada. Kutokujiamini kwenye mahusiano kwa wanaume wengi ni shida.
 
Edit kwenye heading ukizingatia maneno yafuatayo; all, almost all, most, some. Mfano ungesema wanaume wote wa mmu hawajiamini tusingekuja, ungesema most of wanaume tusingekuja, ungesema almost all labda tungekuja lakini heading yako unamaanisha all wanaume. Which is very offensive

sita edit wala silifikirii hilo
KAMA INAMUHUSU MTU LAZIMA ASOGEEE ASOME NA IMUUUME VIZURI NA AJIREKEBISHA

kama unajiamini nadhani post haikuumi sana sana utatoa ushauri kwa wasiojiamini
 
We unapenda hela au mwanaume anaejiamini.
NB: Chagua moja tua apo.

siwezi kuchagu moja hata siku moja
maana kila kitu kinategemeana japo vingine vinazidiana

yaani hi sawa nakuniambia chagua moja
umapate mume mwenye dushe,au asie na dushe ila anazalisha
hell nooo
 
Nadhani umesahau zile methali
Kunguru muoga......,
Ukiumwa na nyoka ukiona jani...

Hahahahaaaa.... Kuumwa Mara moja haimaanishi utaumwa tena. Unaweza kujikuta unapata majeraha ya kujitakia kwa uoga wa kijinga sababu ya jani tu.
 
Tungekuwa hatujiamini tungewapa mimba? Na kujishuku pamoja na kujishtukia ndio sifa za wanawake wa Kiswahili.

Kumpa mtu mimba sio kipimo cha kuwa mwanaume maana hata mbwa huwa wanapewa mimba.
 
Ni kukosa kujiamini, mtu anayejiamini nirahisi kumwamini mwenzie.

Mwanaume Mwenye wivu uliopitiliza, anakuwa hajiamini kama kweli yeye anapendwa na ndo mmiliki, muda wote anawaza kusalitiwa tu.

na hapo ndipo uhusiano unakua hell
 
Swali hili yabidi nimuulize switluv wangu.."hivi najiamini?"
 
Ni kukosa kujiamini, mtu anayejiamini nirahisi kumwamini mwenzie.

Mwanaume Mwenye wivu uliopitiliza, anakuwa hajiamini kama kweli yeye anapendwa na ndo mmiliki, muda wote anawaza kusalitiwa tu.
kama mienendo yako na stories alizopata zinatilia shaka afanye nini?ukiamini sana unaweza letewa mtoto ndani Ndo mana katu simuamini mtu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom