KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,828
- 12,320
siwezi kuchagu moja hata siku moja
maana kila kitu kinategemeana japo vingine vinazidiana
yaani hi sawa nakuniambia chagua moja
umapate mume mwenye dushe,au asie na dushe ila anazalisha
hell nooo
Diamond angekua anauza chenji kwenye dadadala ungempenda!