Kutokujiamini mbele ya wanawake ni janga kubwa la wanaume wa kibongo

Kanungila Karim

JF-Expert Member
Apr 29, 2016
20,744
25,446
Bila hata kwenda mbali angalia Hizi Statement kadhaa za Wanaume Wasiojiamini:

1. Usimtambulishe Mkeo Utagongewa

2. Usioe mwanamke mzuri

3. Mwanamke mzuri hatulii kwenye ndoa

4. Usioe mwanamke aliekuzidi kipato

5. Usioe mchaga/muhaya

6. Usioe mwanamke aliekuzidi elimu

7. Kama wewe mfupi usitafute mwanamke mrefu

HIVI KWA NINI HAMJIAMINI?

Ukiangalia kwa wenzetu hii kitu ni tofauti sana ila hapa yaani ukidate mtu ambae hajiamini ni janga statement kama hizi hazimkauki mdomoni:

1. Sikuamini kabisa
2. I cant handle this relationship(Dude you cant handle her personality she is too smart)
3. You gat attitude(Noop ana vision ya hali ya juu wewe sio saizi yake.

NA WANAKAGUA SIMU HAO KAMA WAPELELEZI WA MAKOSA YA JINAI

Kujiamini ni credit kubwa sana kwa mwanaume wa kisasa
Hata ukiwa na ela kama hujiamini utaumwa ulcers.
 
Hiyo namba 4 kwa Bongo usijaribu kabisaaaa.

Kwa mwanamke mweupe (mbele) hapo kidogo kuna unafuu.

Niliyaona mwenyewe kwa watu.
 
Binafsi sijawahi kuona binadam ambaye ni complex kuliko mwananke. Kwanza at early aga kuanzia 15-24 mwanamke huwa ni kiumbe ambaye ni miserable haaminiki, na maamuzi yake ni anajua mwenyewe. Mm at the age of 28 nlioa mwanamke 22yrs. Seriously nlitamani kuvunja ndoa maaana nlikuwa nagongewa balaa, after 4 yrs I was fed up nikawa napiga nje ovyo. Alivyogundua akajirudi na kuanza kujutia ss mm nikawa nimeshachukua ukurasa mpya yaan nimenogewa kuchapa ugenini. And kabla sijaoa sidhan kama nlisha gonga madem hawazidi 4. Ila nimeoa nikihesabu wanafika 60. Nlikuwa nawapanga coz hela nlikuwa nazo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom