Kutokujiamini ni janga la wanaume Bongoland

Kutokujiamini ni janga la wanaume Bongoland

Kweli kabisa mkuu wanawake wengi wanatumia kigezo cha kwamba "mume wangu ananiamini sana"na kufanya mambo mengine we ukawa kama zoba tu ndan ya nyumba hapa cha msingi hawa viumbe ni mpera mpera tu mwanzo mwisho la sivyo utaishia kusema tu "mimi najiami sana na mke wangu na muamini sana"kumbe watoto wote sio wako maskani wa mungu.

kimbiza kimbiza kabisa
 
Obviously, swala la kujiamini ama la linategemeana na yule uliyenae na mtazamo wake katika dhana ya kujiamini..!
Kama unakumbuka, kuna mdau nadhani Shy land alileta mada ya "kujiamini kupita kiasi" aka overconfidence. Je, hili nalo walionaje?

siku isoma hiyo mada maana dogo anapostigi pumba sana
ila kwa ufupi huna haja ya kufika huko maana kama wote mnajiamini you will find mnakua katika chemistry flani amabyo haitumiaa nguvu nyingi
 
Last edited by a moderator:
Ungetumia ni "baadhi ya wanaume hawajiamini" lakini ukumbuke pia hao ambao hawajiamini inategemea na wanawake walio nao, wapo baadhi ya wanawake wanawabadilisha wapenzi wao ili waendane na matakwa yao na hapo ndio shida huanzia. Mitizamo ya mahaba niuwe, nisombe nk, mwanamke anataka mpenzi wake awe na wivu nae eti ndo mapenzi, kwa nn asopekue cm, asiogope kukutambulisha nk.!!!!
 
Kumpa mtu mimba sio kipimo cha kuwa mwanaume maana hata mbwa huwa wanapewa mimba.

Fuatilia mapenzi ya mbwa only the strongest and most dominant dog ndio anaefikia kilele na kujaza mimba, iko hivyo pia kwa wanyama wengine. Sema kwa vile wanawake wengi wa kiswahili chupi mkononi unaweza kumuachia hata mwanaume asiyejiamini akutie mimba uzae mtoto asiyejiamini zaidi. Wanyama wote including binadamu, ke anataka kuzaa na dominant me, until unapokosa option. Wengi wa wanaolalamikia wanaume ni wanawake walioingia kichwa kichwa kwa wanaume then wanajutia. But ukifanya chaguo sahihi hutakuja kujuta, take it from me
 
Hakuna shule za "mafunzo ya kujiamini"?Uzi mmoja unasema "Usimuamini mwanamke",kazi tunayo hapa!
 
unampa mtu mimba maana una testis inayo tengeza sperms,kitu ambacho hata BATA DUME ANACHO
sasa hapo ndo kujiaamini???????
upo kundini pia hujiamini

Hilo nalo neno kuntu wanaume wa kibongo majanga hawajiamini kabisa wafanyalo kulia lia ndo wanajua haiwezekani dume zima likose maamuzi
 
siku isoma hiyo mada maana dogo anapostigi pumba sana
ila kwa ufupi huna haja ya kufika huko maana kama wote mnajiamini you will find mnakua katika chemistry flani amabyo haitumiaa nguvu nyingi

shata up!! unazopositi wewe ni mchele, kapime akili wewe demu.
 
Bila hata kwenda mbali angalia post hapa
1.USIMTAMBULISHE MKEO UTAGONGEWA

2.Usioe mwanamke mzuri

3.Mwanamke mzuri hatulii kwenye ndoa

4.Usioe mwanamke aliekuzidi kipato

5.Usioe mchaga/muhaya

6.Usioe mwanamke aliekuzidi elimu

7.Kama wewe mfupi usitafute mwanamke mrefu

HIVI KWA NINI HAMJIAMINI?

Ukiangalia kwa wenzetu hii kitu ni tofauti sana ila hapa yaani ukidate mtu ambae hajiamini ni janga statement kama hizi hazimkauki1.

Sikuamini kabisa
2.I cant handle this relationship(dude you cant handle her personality she is too smart)
3.You gat attitude(noop ana vision ya hali ya juu wewe sio saizi yake.

NA WANAKAGUA SIMU HAO KAMA WAPELELEZI WA MAKOSA YA JINAI

Kujiamini ni credit kubwa sana kwa mwanaume wa kisasa
Hata ukiwa na ela kama hujiamini utaumwa ulcers.

SIKU NJEMA

kujiamini ni nini ??
je mambo hayo ndio yanaleta matokeo kwamba hujiamini licha ya mifano yote hii ??

4 na 6 ni ukweli ambao hamtaki kuusikia mimi hata kama nimemzidi kipato kuajiriwa tu ni marks zimeshuka
 
umewapa makavu live, kutokujiamini kunawafanya wawe na gubu. jambo dogo ataliongea siku nzima.
 
Obviously, swala la kujiamini ama la linategemeana na yule uliyenae na mtazamo wake katika dhana ya kujiamini..!
Kama unakumbuka, kuna mdau nadhani Shy land alileta mada ya "kujiamini kupita kiasi" aka overconfidence. Je, hili nalo walionaje?

ni ukweli usipongika mwanamke mwenye overconfidence, always tabia yake haifai katika jamii, but u'r have to know that kuna tofauti kumbwa kati ya mwajibikaji na overconfidence.
 
Last edited by a moderator:
Kama unaona kwako hajiamini basi mpotezee au chonga wa kwako kisha muwekee unayotaka. Pia nina uhakika matakwa yako na definition yako ya mwanaume kujiamini ni tofauti kwa mwanamke mwingine. Kisichofaa kwako kwa mwingine chafaa, na pia huu ni mtazamo wako wewe binafsi, hauwakilishi wanawake wote. Alafu acha kulinganisha watu, "ukiangalia kwa wenzetu hii kitu ni tofauti". Hili ndo tatizo la kutaka wanaume waishi kama kwenye movie/ tamthilia za amerika na ulaya.
 
  • Thanks
Reactions: 7ve
truth is truth
hata kama ni wewe unasema mmoja kati ya watu elfu moja wanaongepinga
truth will remain to be truth
Nimekumbuka ulisema leo uko home na umejipanga kiubishi therefore hutoelewa lolote... Pole kwa kuwa njia yako imekuwa na wavulana tupu ila ungepita njia yenye wanaume usingeanzisha uzi hapa. Karibu kwenye chama cha wanaume ujichagulie wakwako.
 
siku isoma hiyo mada maana dogo anapostigi pumba sana
ila kwa ufupi huna haja ya kufika huko maana kama wote mnajiamini you will find mnakua katika chemistry flani amabyo haitumiaa nguvu nyingi
Sista, ambacho wewe waweza kukiona ni under confidence mwingine aweza kuona ni confidence ya kawaida na mwingine aweza sema ni overconfidence. Kwa hiyo kama kweli mtu anahisi kukosa kujiamini kwaweza haribu uhusiano ni bora ukaachana nae na kutafuta ambae anayo ile confidence unayoitaka.
Kumbuka tu kuwa kwako yaweza Ku Hana confidence lakini kwa mwingine ikawa perfect match.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom