Kutokujiamini ni janga la wanaume Bongoland

Kutokujiamini ni janga la wanaume Bongoland

Mtu (ME/KE) anayejiamini ni mtu poa sana kwa mustakabali wa maisha.
Confidence ni muhimu sana usawa huu , itakuokoa kwenye mazingira magumu sana kwenye maisha.
 
Mbona wanasema? hakuna mwanamke mbaya, hapa wanazungumziwa warembo, mimi nilishawahi kuwa na mwanamke ambaye ukipita naye sehemu wote wanageuka kumtizama, alikuwa na dharau sana kukitokea mtafaruku yeye solution yake ilikuwa ni kuachana tena anakuambia "kwani nini bwana mimi bado nalipa kuna wanaume kibao wananitaka" sasa mwanamke wa hivyo nani anamtaka? na hapa naomba nieleweke siongelewi kucheat suala la kucheat yoyote anacheat lakn treatment ya hao warembo si nzuri, saikolojia yao imekaa vibaya anaweza kuwa ametulia(hana wanaume) lakini kujiona na kusikia na wala hawajali sio wote lakini, sasa kama mtu amepitia katika hayo unafikir atajiamini akikiutana na mwingine wa aina hiyo yaani mrembo? na hii ipo kote hata kwa wanawake tu utasikia mim sidate na mtu maarufu mara handsome sasa hii haiko kwa wanaume tu.

Kuna wanawake wanasema ooh mimi siwezi kuolewa na wakulya wanapiga sana hawajui kupenda na huko pia sio kujiamini?

Hao warembo wa hivyo ukipiga pumbu vizuri halafu ukamtreat inavyopaswa kama mwanaume, lazima akuheshimu daima.
I have been there and they operated under my wings.
 
unampa mtu mimba maana una testis inayo tengeza sperms,kitu ambacho hata BATA DUME ANACHO
sasa hapo ndo kujiaamini???????
upo kundini pia hujiamini

Fuga bata dume basi awe anakutoa km unaona anafanana na wanaume
 
Sio kweli kwamba wanaume wa bongo hawajiamin ila ni tahadhar juu ya wanayokutana nayo katika mahusiano nawanawake wenye mpunga na high status. Cunajua wanawake wa bongo wenye nazo ni wachache so wanapandaga vichwa ad mwanaume anaonekana house boy
 
nothing is perfect
ila nampenda maana anajiamini

Hicho ndo kinafanya mtu acjiamin, mara useme uhucano hauridhishi, mara nampenda anajiamini. Ss basha wako atakosa mashaka kwa style hyo? Hvyo ndo vtu vnanifanya niwe nawatumia2 kwa mda maana hamnaga uhakika na mnachokitaka. Love, Dushe, Money? We chagua moja af endelea na maisha maana unaweza ucpate vyote kwa pamoja
Km ulitaman mwenye pesa ukampata, we tulia tu hata km hana love maana hzo pesa hata wanawake wenzio wanazhtaj, Km ulipenda dushe kubwa bac wacmulie na shoga zako ili nao liwachape na km ilitaka love, bac na ww utulie ili nae ajiamin
 
noooooo
tatizo lenu hampendi mwanamke mwenye personality na malengo makubwa

si kweli....wanawake wengine akishakuwa up kiuchumi au kielimu anajaa madharau na humbleness kwa mume inapotea, hicho ndicho wengi wanakiogopa. Japo si wanawake wote. Pengine wewe hauko hivyo, lakini hiyo ni fact. make a research.
 
So, unirudiege tu usiku afu nijiamini?

Tatizo letu wanaime tunaishia kuangalia mke karudi ucku au la. Hi ni kwakua tumezoea kufanya majamboz ucku afu tunacnzia kazn. Ckuihz wanawake wanarudi mapema sn home ili ufurahi, lkn kazn wanaombaga ruhusa wanapeleka mtoto hsptl af saa kumi namoja alfahil anawaj utaza anaenda kazn kweli, kumbe anaenda Gest, kisaraweeeee. Saa kumi na moja jion yupo home na ww unampongeza kwa kuwahi
 
Hao warembo wa hivyo ukipiga pumbu vizuri halafu ukamtreat inavyopaswa kama mwanaume, lazima akuheshimu daima.
I have been there and they operated under my wings.

Sikutaka kumnukuu yeyote ila kuna vitu umeongea hapo sijui wamekuelewa!!!
 
Mbona wanasema? hakuna mwanamke mbaya, hapa wanazungumziwa warembo, mimi nilishawahi kuwa na mwanamke ambaye ukipita naye sehemu wote wanageuka kumtizama, alikuwa na dharau sana kukitokea mtafaruku yeye solution yake ilikuwa ni kuachana tena anakuambia "kwani nini bwana mimi bado nalipa kuna wanaume kibao wananitaka" sasa mwanamke wa hivyo nani anamtaka? na hapa naomba nieleweke siongelewi kucheat suala la kucheat yoyote anacheat lakn treatment ya hao warembo si nzuri, saikolojia yao imekaa vibaya anaweza kuwa ametulia(hana wanaume) lakini kujiona na kusikia na wala hawajali sio wote lakini, sasa kama mtu amepitia katika hayo unafikir atajiamini akikiutana na mwingine wa aina hiyo yaani mrembo? na hii ipo kote hata kwa wanawake tu utasikia mim sidate na mtu maarufu mara handsome sasa hii haiko kwa wanaume tu.

Kuna wanawake wanasema ooh mimi siwezi kuolewa na wakulya wanapiga sana hawajui kupenda na huko pia sio kujiamini?

Imekaa vema sn hii mkuu, kwakuwa wao ni mbavu, hawawez kuliona hli hata ufanyeje. Unajua aisifiae mvua imemnyea, na wanawake ni viumbe duni toka zamani,% kubwa wakiwa na vitu vya kuwapa nguvu, mtapata tabu. Huwez kuckia watu waklalamika lkn wanaume wanavumilia2. Utapewa misemo, utapewa nahau, methali, majibu mbona utanyooka! Wegine wanaigua bp znasababshwa na ndoa.
 
Masai dada... Pongezi kwako.
Umewagusa mule mule, nilikua nafatilia kimya kimya, nikajiuliza kumbe hawa ndio wanaume wenyewe wa jf?

Yani walichofanya ni kuzidi kuonesha ni kiasi gani hawajiamini japo kuna waliojielewa.
Kuna mtu humu (simkumbuki) huwa napenda kurudia neno lake kua wanaume wana wivu wanatamani nafasi yetu na ndio maana kutwa ni nyuzi za kutunanga, kumbe ni kutojiamini.

Mwanaume anayejiamini haogopi sifa yoyote ya ziada aliyonayo mwanamke. Na usipojiamini unatarajia nini kutoka kwa mwanamke??

Hata uwe la 7 mke ana shahada bado yeye atakua mke na mume ni mume.

Hayo mengine ndio kutojiamini kwenu.
 
..yule mshikaji akamwambia dada kuwa yule jamaa huku akimnyooshea kidole jamaaa kuwa anashida na wewe.....yule dada akamsuburia....jamaa akaenda kuitwa kuwa yule dada anakusuburia tumeshamwambia kuwa unashida nae loh ,jamaa kidogo akimbie.....ikabidi jamaa amshike mkono mpaka pale kwa yule dada.....

Hahahhahha mbavu zangu lol
 
Unaongelea wavulana ukidhania wanaume. Wanaume hatuna tena mpango wa kukagua simu za wake zetu. Mke wangu anaingia ndani toka kazini watoto wanamdaka na kuchukua simu yake wacheze games na itakuwepo sebuleni hiyo simu hadi iishiwe chaji, unapotokea wewe unajihami na kukaguliwa simu ni heri ubakie hivyo hivyo nungayembe maana watoto ndio watakaokuumbua sio mwanaume. Kua uyaone

Imekaa poa sn hii
 
Personally I feel proud introducing my wife before friends and I take her to parties and gettogetherz,japo linalozungumzwa limeanza kushika kasi sana siku hizi,change ni mimi,ni wewe
 
Masai dada... Pongezi kwako.
Umewagusa mule mule, nilikua nafatilia kimya kimya, nikajiuliza kumbe hawa ndio wanaume wenyewe wa jf?

Yani walichofanya ni kuzidi kuonesha ni kiasi gani hawajiamini japo kuna waliojielewa.
Kuna mtu humu (simkumbuki) huwa napenda kurudia neno lake kua wanaume wana wivu wanatamani nafasi yetu na ndio maana kutwa ni nyuzi za kutunanga, kumbe ni kutojiamini.

Mwanaume anayejiamini haogopi sifa yoyote ya ziada aliyonayo mwanamke. Na usipojiamini unatarajia nini kutoka kwa mwanamke??

Hata uwe la 7 mke ana shahada bado yeye atakua mke na mume ni mume.

Hayo mengine ndio kutojiamini kwenu.

Umeongea neno zuri
naomba usikilize wimbo wa sauti sol_sura yako muzuri mama
usiku huu
 
Siwezi kupaniki lakini nimeshakwambia time will tell u, si unajua no one in this world who is perfect. Kujiamini ni jambo nzuri sana ila inategemeana unajiaminisha vp kwa huyo binadamu mwenzako mwenye moyo ulioficha madudu yake. Dada yangu inshu iko hivi katika suala la kujiamini usipitilize sana uwe na kiasi kama ambavyo hata biblia inatufundisha, unachotakiwa kufanya jiamini kwamba lolote litakalo tokea niko tayari kukabiliana nalo bila kujidhuru ama kudhuru wengine.

We jamaa nazkubali sn comment zako, inaelekea unawaelewa vzr sana hawa wadudu. Mungu aliwapendezesha sana hawa viumbe ila kichwani hakuweka za kutosha ili tuwatawale lkn unaona bora angeweka zote tu maana inahtaj akir nyingi kuish nao na km unajfanya eti upo bz na mambo yako, shauri yako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom