Kutokujiamini ni janga la wanaume Bongoland

Kutokujiamini ni janga la wanaume Bongoland

Personally I feel proud introducing my wife before friends and I take her to parties and gettogetherz,japo linalozungumzwa limeanza kushika kasi sana siku hizi,change ni mimi,ni wewe

Hawa ndo wanaume nilikua nasubiri watoe coment hapa
mke wako atakua anajivunia MWANAUME ANAEJIAMINI KAMA WEWE
 
Imekaa vema sn hii mkuu, kwakuwa wao ni mbavu, hawawez kuliona hli hata ufanyeje. Unajua aisifiae mvua imemnyea, na wanawake ni viumbe duni toka zamani,% kubwa wakiwa na vitu vya kuwapa nguvu, mtapata tabu. Huwez kuckia watu waklalamika lkn wanaume wanavumilia2. Utapewa misemo, utapewa nahau, methali, majibu mbona utanyooka! Wegine wanaigua bp znasababshwa na ndoa.

Unalazimisha kwamba ujiamini au sijaelewa
 
nimewagusa leo kunakoooo
na thread za aina zikiendelea jibu ni moja tu HAUJIAMINI
 
Mtazamo wangu kuhusu hii mada ni kuwa kuna mambo mawili hapa yanachanganywa...KUJIAMINI na VIGEZO,nlichokiona mtoa mada amezungumzia VIGEZO vya BAADHI ya wanaume dhidi ya wanawake yeye akaita kuwa ndio kutokujiamini huko....KUJIAMINI kwa tafsiri yake ni hali yakujikubali kwako kifikra/kimawazo na kimtazamo kwa kile ukiwazacho/ukifanyacho/maamuzi yako bila kutetereka hata ukiwa tofauti na wengine na hata muonekano wako pia,sasa alivyovieleza ni vigezo vya mtu na mtu dhidi ya yule anayemtaka kwa sababu inategemea na yaliyokwisha mkuta au alichokishuhudia kwa watu tofauti kwa hiyo anapata majibu kuwa watu wa vigezo hivi haendani nao,ni kama vile ilivyo kwa wanawake ambao wanataka mwanaume mwenye pesa/mali,mwenye vyeti vya ngazi flani(siyo elimu)..hao wote wakilenga kupata ile furaha ya mahusiano ambapo picha inajijenga vichwani mwao ni kuwa nikiwa na mtu wa namna fulani ntakuwa na furaha...na kuna ambao wao mtu uwe wa kabila lolote,vyeti vya ngazi yoyote na mali kiasi chochote ila wao siyo tabu wala tatizo kwao furaha na ukamilifu wao ni kuwa kichwa cha mahusiano hayo(kama vitabu vya dini vinavyoagiza na ndio sifa au niseme UTIMILIFU wa mwanaume yoyote yule)..
..mwisho niseme kuwa kuitwa mwanaume siyo unasifiwa ila ndio maumbile yako...
 
sita edit wala silifikirii hilo
KAMA INAMUHUSU MTU LAZIMA ASOGEEE ASOME NA IMUUUME VIZURI NA AJIREKEBISHA

kama unajiamini nadhani post haikuumi sana sana utatoa ushauri kwa wasiojiamini
Nyi mngekuwa mnajiamini mngekuwa mnaliwa uroda na mabosi zenu? Wanaume zenu wanavumilia yote mnasema wanajiamini. Kujiamini ni swala pana sana co kwenye mapenzi tu, wadada wengi wanaliwa uroda na maHRs ili wapate kazi, akipata hiyo kaz af akaolewa na lnocent guy tutasema huyo dada anajiamini au jamaa ndo shujaa? Cc tunayo yenu mengi, km mwanamke hajiamini na mwanaume kaligundua hvyo lazma atakua na mashaka. Ukipata mwanamke anae jitambua na kujiamini, ambaye yupo tayari kuacha kaz hata km ni BOT kuliko kujidhalilisha. Hapo mwanaume atalala usingiz wote lkn hao wapo? Km hakuna bac hiyo mada ni batili.
 
Mi sioni haja ya kuwa mtumwa wa mapenzi. Mke mpende kama mke, mpe uhuru na kama hajitambui umejaribu kumrekebisha mara nyingi ikashindikana tafuta uelekeo mwingine. Sina haja ya kukaa namchunga mwanamke kama ng'ombe labda kama huna la kufanya.
 
Mi sioni haja ya kuwa mtumwa wa mapenzi. Mke mpende kama mke, mpe uhuru na kama hajitambui umejaribu kumrekebisha mara nyingi ikashindikana tafuta uelekeo mwingine. Sina haja ya kukaa namchunga mwanamke kama ng'ombe labda kama huna la kufanya.

thats what i mean
usimfanye mtu mtumwa wako kwa Kutokujiamini na kuhisi anamilengo mingine
if you cant handle her..........chukua time joo
 
Dawa ya kujiamini ni PESA tu nyngine zoooote kelele tu,Amini usiamini unaweza ukawa jasiri na unaejiamini kama simba Dume lakini ukiwa huna pesa Utajawa na haya na kuwa mdogo kama tausi jike hata kama ni mtt wa kiume.....,mbaya zaidi mpenzi wako awe ana chenchichenchi za apa na pale utateseka kumoyo mpaka basi!
 
Nafikiri wanaume wamekuwa wakiwapenda Sana galz wao.Hii Mara nyingine huwafanya wasijiamini hata Kama wana kila kitu.Maana anaependwa sana akijua ni janga.Kikubwa kila tufanyalo tuwe na kiasi.ukiwa na kiasi kujiamini kuna kuwepo.
 
I can't trust in you until you prove to me that your trusted person. maana jamani tusijifanye kama wengine wanatoka sayari ya mars, wanawake wetu ni hawa hawa sasa kujivika huo ujasiri wa bandia mh mapenzi yenyewe yalisha poteza thamani siku nyingi.
 
Thread za humu hazikupi jibu kwamba wanaume wote hawajiamini hata hivyo ukiangalia thread nyingi zimekaa kupondana mara wanaume wako hivi mara wanawake wako hivi, sasa hata hivyo wewe umesema za hapa Jf lakini mleta maada amesema wanaume wote including mume/ mpenzi wake je liko sahihi? kama ndio hivyo wanawake wenyewe wameleta thread nyingi tu wakiongelea hayo niliyoaninisha hapo juu je wao ni kujiamini huko? au wanaume wakisema tu wanawake wazuri wana matatizo hawajiamini, ila wanawake wakisema mwanaume pesa mengine tutavumiliana huko ni kujiamini?

nimemuelewa mleta mada ila mimi nimechukulia JF kama sample.we anagalia kwa umakini utaona ni jinsia gani inayoongoza kila siku kutuma thread za kuponda au kulalamikia wenzao. mtu anayependa kuponda wenzake ni either hajiamini au ana pschological problem
 
Fuatilia mapenzi ya mbwa only the strongest and most dominant dog ndio anaefikia kilele na kujaza mimba, iko hivyo pia kwa wanyama wengine. Sema kwa vile wanawake wengi wa kiswahili chupi mkononi unaweza kumuachia hata mwanaume asiyejiamini akutie mimba uzae mtoto asiyejiamini zaidi. Wanyama wote including binadamu, ke anataka kuzaa na dominant me, until unapokosa option. Wengi wa wanaolalamikia wanaume ni wanawake walioingia kichwa kichwa kwa wanaume then wanajutia. But ukifanya chaguo sahihi hutakuja kujuta, take it from me


then unataka kumaanisha kwa species ya binadamu strong na dominant men wako wachache ndio maana wanawake hawana option ndio maanna wanazaa na yoyote then wanaanza kulalamika?
 
Mwanaume ataendelea kuwa mwanaume, na atatumia vigezo vyake avitakavyo kumpata mwanamke wa kumuoa au kuwa nae kama mpenzi. Sasa kama mwanaume atakuwa na vigezo ambavyo wanawake wengi hawakubaliani navyo na kugeuza kuwa hivyo vigezo vya mwanaume ni kutokujiamini, huku ni kujihami kwa hao wanawake (kama mleta mada), hamna lingine!
 
Yeeeerrr kuna kijana anajiamini hahahaaaaa very smart.... Ananikosha sana
 
Huyo uliyenae ndiye hana confidence, sisi wa wenzako ni full maconfidence...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom