Daudi1
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 15,654
- 25,829
Hayo yanasababishwa na yaliyowakuta katika mahusiano yao si kwamba hawajiamini, kuna ambae alikutana na mchaga katika ndoa yake au mahusiano na yakawa magumu ambayo hata akikusimulia wewe unamuonea huruma japo anayeyafanya hayo ni mwanamke mwezio na pengine ana mifano miwili au mitatu ambayo inajazia ushahidi alionao ana haki ya kuwaasa wengine juu ya uhusiano wa kabila hilo na si kwamba hajiamini, Kuna mwingine akawa na mahusiano na mrembo wa kila idara lakini akajikuta hafurahii hata huo urembo wa huyo mwanamke wake zaidi ya mateso ya kimapenzi ni mabaya sasa linapokuja suala la kuwakanya wengine wasiingie kwenye matatizo aliyonayo si kwamba hajiamini ila anajaribu kuwaokoa wengine Asante.