Kutokujiamini ni janga la wanaume Bongoland

Kutokujiamini ni janga la wanaume Bongoland

Hizi mbili si za kuzusha...ni fact. baadhi ya wanawake huzitumia kama fimbo kwa waume zao.

noooooo
tatizo lenu hampendi mwanamke mwenye personality na malengo makubwa
 
am not in a perfect relationship either
Hiyo mmeongelea upande mmoja, sasa hivi hapa nikikwambia wewe kama demu nenda kaolewe na diamond sjui kama utaweza kujiamini kwa jinsi unavyotaka wewe, labda kama unataka mipesa yake tu na sio mapenzi unweza kufanikiwa bila shaka. Unakuta una bonge la demu, sura nzuri, tumbo flat, boobs za maana, hips za maana, matako hayo akitembea labda kipofu pekee hataweza kumtazama na hata ambao sio vipofu wasipomatazama basi ufahamu wao ulishakufa kitambo sana. Halfu unasema unajiamini, wajanja wanakulia mkeo tena wanamla tigo na wewe unayejiamini atakwambia ni dhambi kumla tigo.
 
Bila hata kwenda mbali angalia post hapa
1.USIMTAMBULISHE MKEO UTAGONGEWA

2.Usioe mwanamke mzuri

3.Mwanamke mzuri hatulii kwenye ndoa

4.Usioe mwanamke aliekuzidi kipato

5.Usioe mchaga/muhaya

6.Usioe mwanamke aliekuzidi elimu

7.Kama wewe mfupi usitafute mwanamke mrefu

HIVI KWA NINI HAMJIAMINI?

Ukiangalia kwa wenzetu hii kitu ni tofauti sana ila hapa yaani ukidate mtu ambae hajiamini ni janga statement kama hizi hazimkauki1.

Sikuamini kabisa
2.I cant handle this relationship(dude you cant handle her personality she is too smart)
3.You gat attitude(noop ana vision ya hali ya juu wewe sio saizi yake.

NA WANAKAGUA SIMU HAO KAMA WAPELELEZI WA MAKOSA YA JINAI

Kujiamini ni credit kubwa sana kwa mwanaume wa kisasa
Hata ukiwa na ela kama hujiamini utaumwa ulcers.

SIKU NJEMA

dadangu siku ukiweza pata tafsiri ya wanaume na wavulana huwezi pasuka kichwa na post za watoto wakiume wanazo post,pia ukifanya utafiti vizuri kuna post chache sana zamaana zinazoletwa na wanaume
 
Tungekuwa hatujiamini tungewapa mimba? Na kujishuku pamoja na kujishtukia ndio sifa za wanawake wa Kiswahili.


USWAHILINI TUNASEMA " WASIWASI AKILI"..
Mwache bidada aendelee kunanga tu wanaume..Katiba inampa uhuru huo wa msingi..
Au na sisi wanaume tuje na kauli mbiu kesho 9th December...iseme hivi..
Tuakiaminishwa Tunajiamini....!!!!
 
hahaha eti kuwakanya??
zaidi ya story za vijiweni sijawahi msikia mtu akisema mimi nilisurika kuuliwa na mchaga
au kaka yangu kauliwa na mchaga
lakini pia NIAMBIE MWANAMKE MZURI ASHAWAHI KUKUFANYA NINI???
hao wabaya hawa cheat????

JIAMINI
Mbona wanasema? hakuna mwanamke mbaya, hapa wanazungumziwa warembo, mimi nilishawahi kuwa na mwanamke ambaye ukipita naye sehemu wote wanageuka kumtizama, alikuwa na dharau sana kukitokea mtafaruku yeye solution yake ilikuwa ni kuachana tena anakuambia "kwani nini bwana mimi bado nalipa kuna wanaume kibao wananitaka" sasa mwanamke wa hivyo nani anamtaka? na hapa naomba nieleweke siongelewi kucheat suala la kucheat yoyote anacheat lakn treatment ya hao warembo si nzuri, saikolojia yao imekaa vibaya anaweza kuwa ametulia(hana wanaume) lakini kujiona na kusikia na wala hawajali sio wote lakini, sasa kama mtu amepitia katika hayo unafikir atajiamini akikiutana na mwingine wa aina hiyo yaani mrembo? na hii ipo kote hata kwa wanawake tu utasikia mim sidate na mtu maarufu mara handsome sasa hii haiko kwa wanaume tu.

Kuna wanawake wanasema ooh mimi siwezi kuolewa na wakulya wanapiga sana hawajui kupenda na huko pia sio kujiamini?
 
kwa andiko lako lina justify kuziba masikio na kufumba macho hata kama unasikia na kuona unaibiwa
 
Hiyo mmeongelea upande mmoja, sasa hivi hapa nikikwambia wewe kama demu nenda kaolewe na diamond sjui kama utaweza kujiamini kwa jinsi unavyotaka wewe, labda kama unataka mipesa yake tu na sio mapenzi unweza kufanikiwa bila shaka. Unakuta una bonge la demu, sura nzuri, tumbo flat, boobs za maana, hips za maana, matako hayo akitembea labda kipofu pekee hataweza kumtazama na hata ambao sio vipofu wasipomatazama basi ufahamu wao ulishakufa kitambo sana. Halfu unasema unajiamini, wajanja wanakulia mkeo tena wanamla tigo na wewe unayejiamini atakwambia ni dhambi kumla tigo.

cha kwanza sitaki kumuanika hapa mpenzi wangu ila ana personality kubwa kuliko huyo uliemtaja
pili siwezi kuingia kwenye uhusiano for the sake of being with a star,or someone with money...bali kuwa na mtu mwenye mambo ninayoyahitaji mimi ikiwemo kujiamini
3.NAJIAMINI kuliko maelezo nina kila kitu cha kukufanya umuone huyo ulie nae dada wa kazi
4.uspanik....tunasogoa tu
 
Mwanaume asiyejiamini ni janga kwenye mahusiano, ukiwa nae hutofurahia mahusiano kwanza wanakuwaga na wivu sana.
 
Kuna wakati mmoja.....wakati nasoma...tulikuwa tunakaa kijiwe hivi pale makaburi ya TAMBAZA...kulikuwa kuna fundi viatu mmoja hivi...ambapo tulikuwa tunapoteza mida hapo baada ya masomo.....sasa kulikuwa na jamaa mmoja hivi alikuwa anauza maji maeneo hayo kwenye madumu....kulikuwa na dada mmoja mrembo sana alikuwa anasoma pale MUHAS na alikuwa amepanga apartment moja maeneo ya UPANGA karibu na ukumbi wa Diamond Jubilee na alikuwa akipita pale kila siku hasa hasa asubuhi na jioni.......sasa yule bwana muuza maji alitokea kumpenda sana yule dada lakini kila akijiangalia yeye na yule dada basi mwenyewe anaji undervalue huku akiendelea kuumia....watu tukawa tunamshauri yule bwana kuwa aache uoga amsimamishe yule na amweleze yanayomsibu kwani ni mambo ya kawaida na yule dada akiwa kama binaadamu anaelewaa hayo mambo lakini jamaa akawa bado anaogopa tu....Siku moja asubuhi yule dada anapita mmoja kati ya vijana pale kijiweni akamsimamisha ...wakati huo yule jamaa yuko bize na kuuza maji.......yule mshikaji akamwambia dada kuwa yule jamaa huku akimnyooshea kidole jamaaa kuwa anashida na wewe.....yule dada akamsuburia....jamaa akaenda kuitwa kuwa yule dada anakusuburia tumeshamwambia kuwa unashida nae loh ,jamaa kidogo akimbie.....ikabidi jamaa amshike mkono mpaka pale kwa yule dada....jamaa akawaacha wanaongea na mwisho wa maongezi ulikuwa ni kupeana namba za simu................mpaka mimi namaliza shule niliwaacha yule dada na yule jamaa ni mtu na mpenzi wake kwani yule jamaa alibadilika akawa msafi na wakati mwingine alikuwa anaenda kulala kwa yule dada.........baada ya hapo sikuwa tena na taarifa zao kuwa walioana au vipi..............................Lakini KUJIAMINI NI SILAHA KUBWA SANA KWA MWANAUME.............
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom