Kutoka Zanzibar, CHADEMA yaanza kazi rasmi

mabadiliko yapo kwa ajili ya binadamu, wazanzibar ni watu makini na kwa kuwa CDM ni chama cha watu makini na wapigania haki, nafikiri ni wakati wa wazanzibar sasa
 
a Mchungaji chana naye huyo..masters anaijua huyu unasoma masters ya mapishi halfu unakuja kujitanua mbele za wanaume hapa....
hahaha wakuu mmenichekesha sana,ndio uzuri wa kua na fikra huru huo,mtu unaamua tu kuidanganya akili yako kua ngoja niseme nina masters,wakati akili na comments zako t hamzipi mtu sida kujua una upeo gani na kikomo cha elimu yako..huyu ni wakumsamehe tu,maana ilishatamkwa mtaji wa magamba ni waj..........hata certificate ya gardening hauwezi kua nayo huyu
 
Jeuri yakufanya kazi nje ya nchi ipo kwa wachache tu na wala sio nyie viwavi wa cdm
 
sasa umepataje masters na ulipata daraja la chini sana (silisemi hapa nitakuwa nakudhalilisha)

hahahahahaaaa!!!!! aseeee..........
Huwa nafurahi sana pale ninapoweza changanya mada,kwa mfano badala ya kuongelea mambo ya cdm zanzibar,mnabaki kulumbana na Makupa
 
Huwa nafurahi sana pale ninapoweza changanya mada,kwa mfano badala ya kuongelea mambo ya cdm zanzibar,mnabaki kulumbana na Makupa
hapa napiga soga, updates za znz zitakuka later...............mwanume mzima umeganda kwenye laptop unajisikia unahamisha mada.......acha ukenge bana.

crap.gif
 
WanaJF
Karibu tunaingia Uzini. Ratiba imebadilika kidogo. Tutaenda Bambi moja kwa moja kwenye msiba ambako bahati mbaya uko kwenye center tunakozindulia kampeni. Kwa kuwa si shughuli inaweza kuahirishwa tunaenda kwenye msiba badala ya kwenda ngome

Hapo sawa Dr. Slaa. Tukopamoja, busara zako ndiyo ushindi wa wanyenge waliowengi! Big up, Zn is ours all feel free!
 
Jeuri yakufanya kazi nje ya nchi ipo kwa wachache tu na wala sio nyie viwavi wa cdm

Unapika u kitchen porter hotel gani hapo windhoek mkuu?au umeajiriwa nymbani kwa mtu tu.....maana kwa iq yako ni ngumu sana hata kufanya kazi ya supermarket....hongera zako mkuu
 
Unapika u kitchen porter hotel gani hapo windhoek mkuu?au umeajiriwa nymbani kwa mtu tu.....maana kwa iq yako ni ngumu sana hata kufanya kazi ya supermarket....hongera zako mkuu

Kazi ni kazi mkuu swala hapa ni mbele kwa mbele
 
sawa sikatai wewe ni mkmbizi..............bado una 250Kg?...............hahahahahaaa!!!!!
ulikuwa hata kupanda ile Layland Daff huwezi wewe!!

Ni kweli mkuu halafu alivyokuwa mlafi alikuwa anakula sahani mbili za kwa mama Recho na mabubu kwa bubu alikuwa hakosi
 
Back
Top Bottom