Kutoka Zanzibar, CHADEMA yaanza kazi rasmi

Mbona wale wapasha habari hawajaleta ripoti Kampeni imeendaje! Au wanashindwa kutupa kilichojiri kwa AIBU ya mwaka waliyoipata? CHADEMA kuja kufanya kampeni Zanzibar ni sawa na kutwanga maji katika kinu; kupoteza nguvu bila ya mafinikio.
 
Haya wale waliosema CDM jimbo la uzini chali,semeni sasa...hakuna wa kuizui CDM kwasasa...shauri yenu.Hatujalala,Mtauwawa bure!!

sasa huku ndo mtajua chaga development manifesto haipo'mtaendelea kudanganyana kwenye jamii forums lakini siku zinahesabika na mtaaibika
 
Kwakuwa wanaoziweza ni zinafanywa na malaika

Mkuu unaonekana mikono imekufa ganzi, naona umeshindwa hata kuweka sentesi sawa na ukafahamika! Pole sana ndio mambo. Hamad Rashid anakuja na Chama kipya kama una hamu ya kuja kutembea Zanzibar anza sasa mchakato wa kujua utaratibu wa kuwa mwanachama wake!
 
Hata mbuyu ulianza km mchicha....magwanda juu juu zaidi. Watz wote isipokuwa mafisadi wapo pamoja nanyi.
 
sasa huku ndo mtajua chaga development manifesto haipo'mtaendelea kudanganyana kwenye jamii forums lakini siku zinahesabika na mtaaibika

Tangu asubuhi wanafanya fujo wameshindwa hata kuweka picha! Kuna mtu kaleta picha hapa wamesema imechakachuliwa lakini za kwao ambazo ni za leo hawaweki! Huu ni mwaka wa shetani kwao.
 
Hivi credibilty ya yule kiongozi wa cdm mwenye kuendesha night club ikoje

Credibility ya kiongozi anaefumaniwa na wake za watu ikoje? Au credibility ya mwanaume anayezunguka kuomba misaada wakat nyumban kuna utajiri wa maradufu ya wale mwanaume wenzake iko wapi? Credibility ya kiongozi anaesema ' we manufactured teachers na kujicheka mwenyewe iko wapi?
 
sasa huku ndo mtajua chaga development manifesto haipo'mtaendelea kudanganyana kwenye jamii forums lakini siku zinahesabika na mtaaibika

hapa siyo suala chaga ndg yangu, mimi nipo hapa na hata hivyo makamo mwenyekiti Znz kalisema swaka hilo kuwa Chadema siyo ya kabila fulani na haukuishia hapo akajaribu kuwataja viongozi wa juu wa chadema na wapi wanatoka, sasa hiyo propaganda ya uchaga unaitoa wapi ndg yangu?
 
Hata mbuyu ulianza km mchicha....magwanda juu juu zaidi. Watz wote isipokuwa mafisadi wapo pamoja nanyi.

Wacha fujo wewe, umekaa kama kuku mwenye kideli! Zanzibar ni CCM na CUF tu, hata 'kuku wa muhanga'; Hamad Rashid kibaraka wenu analijua hilo. Umemsikia leo, nadhani ameshaanza mchakato rasmi wa kutaka kuja kwenye Chama chenu naona ameshaanza kuwafagilia!!!!!
 
Ukombozi wa kweli upo karibu sana!wapambanaji wote tujifunge mikanda tayari kwa mapambano!
 
Tumaini Makene,
Mkuu mbona kimya kimekuwa kingi namna hiyo hata kama mmepata watu wawili sio mbaya wanatosha wewe endelea kutupasha habari...tupe habari mkuu
 
Nimesema mapena mimi kwa vile wameanza kampeni Kanisani ni sawa wameenda kujipaka mavi; wana wa Uzini wote lazima wawakimbieeeeee! Chezea Wazenj wewe! Labda wapate Jiziki lakini sio Jimbo!
 
Nimesema na mapema mimi kwa vile wameanza kampeni Kanisani ni sawa wameenda kujipaka mavi; wana wa Uzini wote lazima wawakimbieeeeee! Chezea Wazenj wewe! Labda wapate Jiziki lakini sio Jimbo!
 
Tumaini Makene,
Mkuu mbona kimya kimekuwa kingi namna hiyo hata kama mmepata watu wawili sio mbaya wanatosha wewe endelea kutupasha habari...tupe habari mkuu

Mchango wake wa mwanzo (Tumaini Makene) anasema kuna tatizo la mawasialino. Voda na Airtel hakuna, tigo ni kwa kubatisha na Zantel nayo inasuasua hasa kwa upande wa internet. Na hapa ndio najiuliza muda wote huo viongozi wa hilo jimbo kwa nini wasishughulikie hili tatizo la mawasialino?
 
Nimesema mapena mimi kwa vile wameanza kampeni Kanisani ni sawa wameenda kujipaka mavi; wana wa Uzini wote lazima wawakimbieeeeee! Chezea Wazenj wewe! Labda wapate Jiziki lakini sio Jimbo!
Mkuu wewe ndio umeandika kule mzalendo.net kuwa CDM wanaenda kanisani? Kweli maiogopa CDM hadi mnatunga uwongo............? Poleni sana
 
12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom