Kutoka Zanzibar, CHADEMA yaanza kazi rasmi

Kutoka Zanzibar, CHADEMA yaanza kazi rasmi

Ahadi yangu ipo pale pale ujamalizia baada ya kutembea najiua kwa kunywa sumu au kujipiga risasi za kichwa.

Chadema kushinda Zanzibar ni ngumu sana ni sawa useme CUF kushinda ubunge Moshi Vijijini, na kuchukuwa viti vya Udiwani Kibosho.

vyama vya msimu From JK-Msoga
 
ah! kazi utafanya wewe bana?
nimesomweshwa na serikali ya.ccm mpaka masters level kwa nini nisifanye kazi nje ya nchi nyie endeleeni kulalama jf wenzenu tunasonga mbele
 
chadema ikishinda zanzibar mim nahama nchi

JK aliidharau chadema hivo hivo akajikuta anaishia kuiba kura na tume yake ya uchaguzi .......usidhani bado watu wajinga kama miaka ya nyuma
 
Ahadi yangu ipo pale pale ujamalizia baada ya kutembea najiua kwa kunywa sumu au kujipiga risasi za kichwa.

Chadema kushinda Zanzibar ni ngumu sana ni sawa useme CUF kushinda ubunge Moshi Vijijini, na kuchukuwa viti vya Udiwani Kibosho.

Mwanza,Arusha,Tunduma na Kanda ya ziwa ilikuwa haiwezekani lakini umeona kazi mpaka JK ataenda Uzini kupiga kampeni safari hii na bado tunazidi kusonga
 
Kilaza acha kujamba kwenye kadamnasi! Mtu mwenye masters anajua kuandika. Unashindwa hata weka hata vituo
a

Mchungaji chana naye huyo..masters anaijua huyu unasoma masters ya mapishi halfu unakuja kujitanua mbele za wanaume hapa....
 
WanaJF
Karibu tunaingia Uzini. Ratiba imebadilika kidogo. Tutaenda Bambi moja kwa moja kwenye msiba ambako bahati mbaya uko kwenye center tunakozindulia kampeni. Kwa kuwa si shughuli inaweza kuahirishwa tunaenda kwenye msiba badala ya kwenda ngome

Tunashukuru raisi wa mioyoni mwetu
 
Dr.slaa tafadhali tuweke sawa,umesema kuna msiba ktkt ya mji wa uzini ambako ni karib na eneo la tukio na hivyo mtapita kwanza msibani,je uzinduzi uko palepale au utasogezwa mbele,ufafanuz tafadhali.
 
Wazanzibar wenye akili wameshagundua kuwa CDM ndo chama makini kinachowajali
 
Wakuu nitapambana kadri ya uwezo wote kadri inavyowezekana kuwajibika ili mpate taarifa za uhakika. Hakuna fabrication wala propaganda. Wanasema live bila chenga. Ingawa kadri tunavyoenda ndo wigo wa mawasiliano unapungua. Nitatafuta namna, so longer as the will is there... Suala la picha pia litafanyiwa kazi inavyotakiwa wakubwa. Natambua umuhimu wake. Tayari sumu kwa watoto imeanza kupandwa huku, naona ishara ya vidole na wanashangilia kando kando ya njia. Wakuu Zanzibar itaivishwa, so longer as Wazanzibar wanaonesha utayari wa mabadiliko, kudai uwajibikaji, kupitia forum ya serious political party, CHADEMA.

Aminia mkuu.
 
nimesomweshwa na serikali ya.ccm mpaka masters level kwa nini nisifanye kazi nje ya nchi nyie endeleeni kulalama jf wenzenu tunasonga mbele
naskia hata dada ako kaolewa na kada wa ccm
 
Back
Top Bottom