Wakuu nitapambana kadri ya uwezo wote kadri inavyowezekana kuwajibika ili mpate taarifa za uhakika. Hakuna fabrication wala propaganda. Wanasema live bila chenga. Ingawa kadri tunavyoenda ndo wigo wa mawasiliano unapungua. Nitatafuta namna, so longer as the will is there... Suala la picha pia litafanyiwa kazi inavyotakiwa wakubwa. Natambua umuhimu wake. Tayari sumu kwa watoto imeanza kupandwa huku, naona ishara ya vidole na wanashangilia kando kando ya njia. Wakuu Zanzibar itaivishwa, so longer as Wazanzibar wanaonesha utayari wa mabadiliko, kudai uwajibikaji, kupitia forum ya serious political party, CHADEMA.
Kila la kheri makamanda.Tupo pamoja