kutoka uwanja wa Mbowe karatu

kutoka uwanja wa Mbowe karatu

Mkuu najaribu ku compare picha za karatu na kibaha anakohutubia mchumi daraja la kwanza failure!dah haina ubishi kua 2015 kama watu hasa sisi vijana tukijitokeza kupiga kura kwa hudi na uvumba,majambazi ya magamba lazima yakae tu,tena na kilio juu!
Mchumi daraja la kwanza yupo guest na wake za watu mkutano umemshinda
 
masalia bwana acheni vituko na ninarudia teha we dada tumestuka kua mnatumia tunguri kwa hiyo hamtusumbui tena, unafiki wenu tushaijua njaa zenu tushazijua si mlituma kuleta migogoro feki chadema na kwa nguvu za Mungu mmeshindwa na mkiendelea mtateketea kabisa,. Cdm mbele kwa mbele nyuma mwiko.. Weka tunguri zako pembeni ndio ujiunge na makamanda bado unamdaa sana kijana achakutumikia wachawi

Masali ni wewe unayejipendekeza ka hao unaowaona wanakufaa kwa sababu huna uwezo wa kujisimamia,ndiyo maan unajihami kwa hayo mabandiko yako ukiamini kuna wakubwa zako watakuja kukupa LIKE ili upate kula,endelea kujiremba sasa itakula kwako.wala siasa haiitaji huo mkao wako ina mkao wake na wala CHADEMA haiitaji watu wa kujipendekeza kama wewe inahitaji watu wenye uwezo wa kujisimamia na wenye weledi,kafie mbali na mdomo wako mchafu.
 
ndio ulichotumwa na magamba kuja fungia id za makamanda,? Pole sana utasubiri mno
'
Anachokifanya ni 'Uhaini' Mkuu ni mbaya sana mtu mzima kama huyo ambaye namini ana akili timamu anakuja na hoja za kitoto wakati anona watu wako kwenye hoja ya maana yenye kuleta faraja na matumaini kwa watanzania.
 
Mbona nyie wapuuzi! Mbona picha ya mtu inatokea mara mbilimbili? Angalia hapo anapohutubia Brother Mbowe na Nassar. Acheni uchakachuzi wa picha, tunataka taswira halisi. Na Vipi mbona BABU wa Nape simuoni? Thati iz pat sakos.
 
sikiliza mkuu jaribu kujiheshimu,sioni kama uko sawa kwanza kwa kauli zako hizo,acha mdomo mchafu,humu ni jamvini eneo la wazi ambapo kila mmoja ana uhuru wa kuweka maoni yake,sio lazima usome maoni yangu na kuyajibu unaweza kusoma na kama yamekuudhi ukaacha lakini sio kuropoka kama unavyofanya,narudia acha mdomo mchafu na inavyoonekana unataka kuchakachua thread,nadhani tumia akili zaidi za kichwani usiongozwe na hisia zako.
nani kakwambia anasomaga mwandiko wako mbovu(michango ya kigambagamba na sio reality) hapa jamvini......jiheshimu basiii ....waswazi wengine bwana ...sijui njaaa
 
mapito CDM inapitia! wafitini wanaitesa kila upande...ila Mungu yupo ambaye hapendi udhalimu wanaotendewa watanzania. katika wingi wa utajiri wao ni maskini. makamanda pigeni kazi...TUTASHINDA!
 
Mkuu Crashwise Kama hujui WABHEJASANA ni gamba la kufa mtu acha kamanda amchane

Hilo umesem wewe linakubalika ama halikubaliki,lakini tayari umesema:lakini swali dogo tu hapa nijibu kwamba kuna mtu anazuiwa kuwa gamba,ama mahali popote pale anapopataka?!,hoja ya Crashwise hapa ni kwamba kwa nini maneno kati yangu na huyu Mkuu inaendelea?,na mimi nimejaribu kumuelewesha ili turudi kwenye mada kwa sababu ni mbaya sana mtu kuchakachua mada,halfu wewe unaonekana kuchochea mgogoro?! acha hizo wewe jifunze kuwa na akili yenye kufikiri mema na mabaya Mkuu!!!!!!!!!
 
Mkuu crash nadhani ulilenga kusema benson kigaila na si nelson kigaila ambaye mkurugenzi wa mafunzo na ufundi makao makuu....kama ndivyo hakuna kinachoharibika kamanda tuko pamoja nai ktk kuweka rekodi sawa

Hongera Crashwise

Mkuu Chikutentema, masahihisho kidogo tu, Singo Kigaila Masalamakali Benson, ni Mkurugenzi wa Mafunzo na Oganaizesheni CHADEMA, si ufundi kamanda. Pole. Twende sawa sasa.
 
Masali ni wewe unayejipendekeza ka hao unaowaona wanakufaa kwa sababu huna uwezo wa kujisimamia,ndiyo maan unajihami kwa hayo mabandiko yako ukiamini kuna wakubwa zako watakuja kukupa LIKE ili upate kula,endelea kujiremba sasa itakula kwako.wala siasa haiitaji huo mkao wako ina mkao wake na wala CHADEMA haiitaji watu wa kujipendekeza kama wewe inahitaji watu wenye uwezo wa kujisimamia na wenye weledi,kafie mbali na mdomo wako mchafu.

hali ulivue ilo gamba na kuacha tumikia wachawi ndio utaeleweka, cdm haiwezi tetereshwa na wapiga ramli angalia dada njaaitakupeleka pabaya mwenzako yuda alishia kujitundika kwa usaliti sasa we sjui utaishia wapi,. Mi situmikii mtu natumikia chama changu na sitaji hata mia kwenye chama ila mi ndio nakichangia chama na sijuani na mtu yeyote kama we unalamba viatu vya prezzoo
 
hamjui kua ni zile id20 ebu mwambie kua hili ni gamba lililo azima gwanda leo baada ya kuona cdm karatu wanagongesha glass, wabejasana hatudanganyiki cdm

Ndiyo maana nimesema wewe unatafuta kujipendekeza ili uonekane na wewe CDM,yani kama ungekuwa CDM wewe usingekuwa kama ID yako inavyoonesha tangu umejiunga humu ndani,iangalie tu halafu ujihoji moyoni mwako,yani CDM bana wanafahamika na hasa ukizingatia kwamba kuna kaharufu kabaya kalitaka kupita hapo katikati,waliojaribu kupitisha hako kaarufu wamekiona cha moto,sasa wewe mada motomoto zote zimepita hizo wenzako wanajitetea na kuweka mambo sawa na hasa yale yaliyokuwa yanatka kupotoshwa wewe ulikuwa wapi?!!

Hizo post zako 63 wenzako wanaposti kwa saa moja kwa ajili ya kupigania chama na haki ili kuhakikisha kwamba wenye nia mbaya wanshindwa hivi kweli wewe ni CDM ninayoijua mimi ama ni CDM mgongo wa nyuma???!!!!jamani wekeni hii kitu mbali itawaharibia keshokutwa tu!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom