kutoka uwanja wa Mbowe karatu

kutoka uwanja wa Mbowe karatu

Mkuu Crashwise nimepata na hamasa kubwa mno kuona umati mkubwa wa watu oo thank God kwa kweli ukombozi utakuja soon. Nachokiona ni kwamba uongozi wa juu wa CDM haporomoki kabisa ni huyu mmoja tuu ZZk ila kwa ujumla uongozi uko imara na makini twende kazi makamanda. Wanaosema karatu kuna mgogoro sijui wakiona huu umati watasema nini?
 
Amani itawale na mkono wa Mungu uwafunike...! Tuko pamoja kimwili na kiroho.
 
good job CDM, kwakweli mnathibitisha kwmb CHADEMA ni chaguo la Mungu,

magamba watakomaje! chezea cdm wewe, thubutu! wapi afisa propaganda wa magamba(nape)?
?
 
Sikiliza Mkuu jaribu kujiheshimu,sioni kama uko sawa kwanza kwa kauli zako hizo,acha mdomo mchafu,humu ni jamvini eneo la wazi ambapo kila mmoja ana uhuru wa kuweka maoni yake,sio lazima usome maoni yangu na kuyajibu unaweza kusoma na kama yamekuudhi ukaacha lakini sio kuropoka kama unavyofanya,narudia acha mdomo mchafu na inavyoonekana unataka kuchakachua Thread,nadhani tumia akili zaidi za kichwani usiongozwe na hisia zako.

masalia bwana acheni vituko na ninarudia teha we dada tumestuka kua mnatumia tunguri kwa hiyo hamtusumbui tena, unafiki wenu tushaijua njaa zenu tushazijua si mlituma kuleta migogoro feki chadema na kwa nguvu za Mungu mmeshindwa na mkiendelea mtateketea kabisa,. Cdm mbele kwa mbele nyuma mwiko.. Weka tunguri zako pembeni ndio ujiunge na makamanda bado unamdaa sana kijana achakutumikia wachawi
 
Siku zote Mungu Yupo Upande wetu. Kamanda Mh Mbowe kamaliza kazi ya kuondoa mgogoro Karatu.QUOTE=Crashwise;5332173]Ule mkutano mkubwa ulio kuwa unasubiliwa kwa hamu na watanzania hasa wana karatu unategemea kuanza mida ya saa kumi lakini mpaka sasa watu ni wengi sana kwenye uwanja wa Mbowe hapa karatu pamoja na mvua kuendelea kunyesha. Viongozi tunao watazamia hii leo ni viongozi mbalimbali wa mkoa na kitaifa Arusha katibu Amani, Menyekiti(Mwigamba), Nasari, Benson Kigaila na kamanda wa anga Freeman Mbowe..
Nitaendelea kuwa letea dondoo za mkutano huu pamoja na picha za baadhi ya matukio, mlioko hapa kwenye mkutano tushirikiane kuwa juza wana JF..
======
pics
View attachment 77312
View attachment 77313[/QUOTE]
 
Lakini Mkuu umesoma maneno ya huyo jamaa aliyoyaandika? ana dharau sana na anataka kujifanya anajua kila kitu,tuko kwenye mada ya maana yeye anaanza kuleta matusi na maneno ya kashfa ili kuchakachua mada,mi namtaka aendele ili aipate haki yake.

ndio ulichotumwa na magamba kuja fungia id za makamanda,? Pole sana utasubiri mno
 
masalia bwana acheni vituko na ninarudia teha we dada tumestuka kua mnatumia tunguri kwa hiyo hamtusumbui tena, unafiki wenu tushaijua njaa zenu tushazijua si mlituma kuleta migogoro feki chadema na kwa nguvu za Mungu mmeshindwa na mkiendelea mtateketea kabisa,. Cdm mbele kwa mbele nyuma mwiko.. Weka tunguri zako pembeni ndio ujiunge na makamanda bado unamdaa sana kijana achakutumikia wachawi
Mkuu heshima kwako, naomba muanzishe thread ya hayo marumbano kama imeshindikana kusameheana maana kwanza mnaonyesha wote mko upande mmoja sijui hata mnacho gombania...Pls
 
crashwise nakukubali kazi zako jembe, endelea piga mzigo,. Apa magamba hayasogei yanachungulia tu na kubaki kuona aibu
Pamoja sana mkuu, naomba mmalizi bifu na huyo kamanda mnajibishana nae kama karatu tumeweza kumaliza tofauti zetu itakuwa ya kwenu...
 
Pamoja sana mkuu, naomba mmalizi bifu na huyo kamanda mnajibishana nae kama karatu tumeweza kumaliza tofauti zetu itakuwa ya kwenu...

poa mkuu asante sana crashwise chadema amani sku zote, piiiiiiipoooz poweeeeer nahisi kama nipo nmc kamanda mbowe anasema kunjeni ngumii afuu pipooz poweeeer, cdm raha sana
 
Mkuu najaribu ku compare picha za karatu na kibaha anakohutubia mchumi daraja la kwanza failure!dah haina ubishi kua 2015 kama watu hasa sisi vijana tukijitokeza kupiga kura kwa hudi na uvumba,majambazi ya magamba lazima yakae tu,tena na kilio juu!
 
Back
Top Bottom