Precise Pangolin
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 13,055
- 6,777
ccm Hawajui kurusha live updates?mkutano wa mzinzi combustion chamber unaendeleaje kule maili moja?
ccm Hawajui kurusha live updates?mkutano wa mzinzi combustion chamber unaendeleaje kule maili moja?
mimi huwa nawashangaa magamba mkutano wao huwa hawaleti updates kutwa kushinda kwenye thread za CDM Nafikiri hawana mapenzi na Hilo chama lao la ccm wanataka kupiga hela tuuzungumzia yako ya aibu pale kibaha, huku hakukuhusu
tanzania yetu ni moja, ukombozi ni wetu sote, chadema ni mkombozi wetu pamoja, hakuna sababu ya kugombana. Tukosoane kwa amani tu ndugu zangu. Tunaelekea kwenye tanzania huru ambayo kila mtu anathamani na mchango wake katika ujenzi wa nchi hii utathaminiwa bila ubaguzi!.
Kwa amani na maendeleo = support chadema.
Pipozzzzzzzzzzzzzzzzzzzz!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
e bwana c mchezo naona photo hizo.kimenukaaa na ccm hawana pa kukimbilia.
Masali ni wewe unayejipendekeza ka hao unaowaona wanakufaa kwa sababu huna uwezo wa kujisimamia,ndiyo maan unajihami kwa hayo mabandiko yako ukiamini kuna wakubwa zako watakuja kukupa LIKE ili upate kula,endelea kujiremba sasa itakula kwako.wala siasa haiitaji huo mkao wako ina mkao wake na wala CHADEMA haiitaji watu wa kujipendekeza kama wewe inahitaji watu wenye uwezo wa kujisimamia na wenye weledi,kafie mbali na mdomo wako mchafu.
mimi huwa nawashangaa magamba mkutano wao huwa hawaleti updates kutwa kushinda kwenye thread za CDM Nafikiri hawana mapenzi na Hilo chama lao la ccm wanataka kupiga hela tuu
hali ulivue ilo gamba na kuacha tumikia wachawi ndio utaeleweka, cdm haiwezi tetereshwa na wapiga ramli angalia dada njaaitakupeleka pabaya mwenzako yuda alishia kujitundika kwa usaliti sasa we sjui utaishia wapi,. Mi situmikii mtu natumikia chama changu na sitaji hata mia kwenye chama ila mi ndio nakichangia chama na sijuani na mtu yeyote kama we unalamba viatu vya prezzoo
Mdogo wangu Ndikwega tumeomba kwamba hakuna haja ya kugombana , ubwite bwa fiki gwa kukaja ?
View attachment 77335waangalie walivyo vuna aibu na wabunge wao 7 kutoka chadema...hahahaha
Unaangalia mpira lakini upo Karatu kwa kufatilia hii thread.
Usiniambie umeoteshwa kuwa ktk thread hii wamekuulizia ha ha ha!
Mkuu unalinganisha mlima na kichuguu!mkutano wa mzinzi combustion chamber unaendeleaje kule maili moja?