kutoka uwanja wa Mbowe karatu

kutoka uwanja wa Mbowe karatu

kaka usiangaike nae huyu yawezekana ikawa sio saizi yako ni mtu mdogo sana, we niachie mi nimalizane nae,. Nimemwambia kua mtu kama yeye ndio waliosababisha tue na id hizi mpya kwa uchafu wao tulio ugundua tar18/12/2012

nashukuru kaka kakanyage hako kasisimizi.....
 
mkuu crashwise kazi nzuri sana kamanda! I appreciate!!
 
Mbona nyie wapuuzi! Mbona picha ya mtu inatokea mara mbilimbili? Angalia hapo anapohutubia Brother Mbowe na Nassar. Acheni uchakachuzi wa picha, tunataka taswira halisi. Na Vipi mbona BABU wa Nape simuoni? Thati iz pat sakos.

yakwanza kuna watu wamekaribiana sana ila kwa picha ya pili wame achana mbaaaaaali kua makini punguza ugali
 
nishasuluhishwa na wakuu nimeambiwa niachane nae, hata hivyo amepotea tiyari chezea nguvu ya umma wewe

Nimegundua wewe na mwenzio ni majeruhi kwa hiyo hakuna haja ya kushindandana na nyie kwa sababu ukishindana na M....n...a na wewe unaweza kuwa hivyo,kwa hiyo kama nilivyofanya kwa mwenzio na wewe vivyo hivyo.
 
WABHEJASANA , wadau wanaomba malizeni bifu yenu , hakuna haja ya kupigana madongo , Maana imeandikwa wagombanao ndiyo wapatanao .

Nimeshaachana nao mkuu kwa sababu wameshajitambulisha kwamba ni wahanga!!!!!!!
 
Kazi nzuri sana Kamanda Crashwise umefanya Mungu akubariki.

Wakati Mwigulu Nchemba akitukana matusi ya nguoni huko Kibaha Chadema wanatangaza sera.

Mungu ataamua haki muda sio mrefu.
 
Last edited by a moderator:
Ule mkutano mkubwa ulio kuwa unasubiliwa kwa hamu na watanzania hasa wana karatu unategemea kuanza mida ya saa kumi lakini mpaka sasa watu ni wengi sana kwenye uwanja wa Mbowe hapa karatu pamoja na mvua kuendelea kunyesha. Viongozi tunao watazamia hii leo ni viongozi mbalimbali wa mkoa na kitaifa Arusha katibu Amani, Menyekiti(Mwigamba), Nasari, Benson Kigaila na kamanda wa anga Freeman Mbowe..
Nitaendelea kuwa letea dondoo za mkutano huu pamoja na picha za baadhi ya matukio, mlioko hapa kwenye mkutano tushirikiane kuwa juza wana JF..
======
pics
View attachment 77312
Mbunge wa Arumeru mashariki kamanda Joshua Nasari
View attachment 77313
Mbunge wa viti maalumu Pareso

View attachment 77323
Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo Freeman Mbowe akihutubia wananchi wa karatu kwenye uwanja wa Mbowe
View attachment 77324
Kamanda Natse
View attachment 77325
Umati wa wananchi wilaya ya karatu waliojitokeza kisikiliza sera za chama cha Demkrasia na Maendeleo kwenye uwanja wa Mbowe
View attachment 77326Pareso

mwigulu najua unaona hii kitu maridadi. Mwaka 2013 lazima mkimbie kichaa aisee.
 
Nimegundua wewe na mwenzio ni majeruhi kwa hiyo hakuna haja ya kushindandana na nyie kwa sababu ukishindana na M....n...a na wewe unaweza kuwa hivyo,kwa hiyo kama nilivyofanya kwa mwenzio na wewe vivyo hivyo.

pole sana we mbeba matunguli ulitaka uje na ngozi ya kondoo wakati we ni chui, utapotea wewe oo
 
Bwana Crashwise tunashukuru kwa picha,kwani nawe kwa upande wa kaskazini unaaminika kwa kuweka updates makini.Sasa naomba kujua hasa alichozungumza Kamanda wa ardhini mh Mbowe na wananchi wa Karatu.
 
Chadema wanaye mungu aliyehai,wao wanalusifa.kilichotokea katika mkutano wa ccm kibaha ni laana kwa taifa letu.napendekeza chadema tukaze buti,ccm wanajipeleka motoni.wanachadema tutapata msaada mkubwa kutokana na matusi ya nape,mwiguli,lusinde,mangula na mzee wa pembe za ndovu.
 
Back
Top Bottom