meningitis
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 8,464
- 4,828
tuko pamoja kamanda!
Mkuu Tumbiri kumbe uko Masasi sasa hivi? Hebu tukitoka kwenye uzi huu tuambie lile timbwili la Gas asilia kati ya Kusini v/s Bagamoyo linazungumzwaje hapo Mkuti, Mkomaindo nk?
tupieni updates wakuumkuu tumbiri kumbe uko masasi sasa hivi? Hebu tukitoka kwenye uzi huu tuambie lile timbwili la gas asilia kati ya kusini v/s bagamoyo linazungumzwaje hapo mkuti,mkomaindo nk?
Ule mkutano mkubwa ulio kuwa unasubiliwa kwa hamu na watanzania hasa wana karatu unategemea kuanza mida ya saa kumi lakini mpaka sasa watu ni wengi sana kwenye uwanja wa Mbowe hapa karatu pamoja na mvua kuendelea kunyesha. Viongozi tunao watazamia hii leo ni viongozi mbalimbali wa mkoa na kitaifa Arusha katibu Amani, Menyekiti(Mwigamba), Nasari, Benson Kigaila na kamanda wa anga Freeman Mbowe..
Nitaendelea kuwa letea dondoo za mkutano huu pamoja na picha za baadhi ya matukio, mlioko hapa kwenye mkutano tushirikiane kuwa juza wana JF..
Hivi ni kweli kwamba kuturushia picha haiwezekani hadi ufuate Photoshop?. Maneno mengi ili hali vitendo zero, rusha picha ndipo tuchagie na kuamini uyasemayo.
huo ufundi wa fotoshop nenda rumumba uku kitu origino, tunaitaji uvumilivu cdm hatukulupuki
hii imekaa vibaya kwa TUNTEMEKE.!