Kutoka na mwanamke mwenye kiu ya kuolewa ni balaa zito

Na mbaya zaidi ni ukiwaza hivyo,inakatisha tamaa,kwamba apigwe wee na watu wengine,hadi kazalishwa,halafu mimi nioe,bado mimba alizotoa,aisee nikiona hivyo namimi napita hivi,ila akiolewa maex huwa wanaendelea kunyandua,maana msala wa kugandwa unakua umekwepwa,na boya moja limeshasakiziwa tayari.
 
Hao wanawake wako sahihi kwa 100%.
Mimi binafsi nasema hao ndio wanawake wanaojitambua. Mwanamke yoyote mwenye kujitambua ni lazima atauliza haya maswali mapema kabisa kwenye mahusiano.
1. Una mpango gani na yeye?
2. Je utamuoa?
3. Umepanga kumuoa lini?
4. Utakwenda lini kwao kujitambulisha?
 
Ikiwa wewe ni mwanaume na uko kwenye mahusiano na mwanamke, halafu unachukia kuulizwa hayo maswali (utamuoa? Lini? Kwanini huji kutambulisha?) , basi tambua kwa asilimia 100% wewe ni mvulana uliyetoka kubalehe, ndio unajifunza uhuni wa kimapenzi na bado hujapevuka kuwa mume.
 
Waza tu wewe mleta mada ni mzazi (baba) halafu binti yako akwambie yuko kwenye mahusiano wa kimapenzi na kijana asiyejulikana, hajui kama ataolewa naye, kijana hajui ni lini ataoa na hana mpango wowote wa kuoa wala kujitambulisha lakini anakula mzigo kwa kwenda mbele.

Sasa utamuunga mkono binti yako aendelee na huyo mvulana au utamzingua binti aachane na huyo kijana?
 
Wanaokua na presha za kuolewa ukichunguza kwa umakini utagundua ni umri umeenda halafu maEx wake karibia wote wameoa au wana familia zinazoeleweka.

Kwahiyo anatamani ndoa ya fasta fasta ili awaringishie mabwana zake na mashosti kua hajachuja ingawa walimuona yupo fungu la kukosa.

Hawa wa namna hii ndio wakishaizoea ndoa wanaanza kujirudisha kwa maEx taratibu kwa chatting za wizi wizi na mwisho wa siku wanarudisha mapenzi katika machaka yao ya zamani. Inakua kama umeoa mke asiyekua wako tu.
Upo sahihi. mimi Kuna Mademu wawili wameolewa na Wana Waume zao ila Ndio haipiti Mwezi wananitafuta .. Na Mwingine ana mtoto kabisa ..

Wanaume tushaambiwa tuishi nao kwa. akili.. Na Akili moja Wapo ni Kuoa Bikra ili Uwe na Uhakika zaidi
 
Waza tu wewe mleta mada ni mzazi (baba) halafu binti yako akwambie yuko kwenye mahusiano wa kimapenzi na kijana asiyejulikana, hajui kama ataolewa naye, kijana hajui ni lini ataoa na hana mpango wowote wa kuoa wala kujitambulisha lakini anakula mzigo kwa kwenda mbele.

Sasa utamuunga mkono binti yako aendelee na huyo mvulana au utamzingua binti aachane na huyo kijana?
Yani nikae na binti yangu aanze kuniongeleshea mahusiano ya mtu ambaye hajaja kujitambulsha, huyo mtoto atakua hana akili.
 
Yani nikae na binti yangu aanze kuniongeleshea mahusiano ya mtu ambaye hajaja kujitambulsha, huyo mtoto atakua hana akili.
Hizi ni scenario za kawaida kwa sasa kwenye maisha ya sasa, wewe ni mzazi (baba) umeona mwenendo usioleweka kwa binti yako, ukaamua kumuuliza, akawa mkweli na muwazi kwako (kwamba yuko kwenye mahusiano lakini yasiyoeleweka), wewe mzazi utafanyeje? Utakwepa?
 
Mimi ilinitokea nikamwambia siwezi kuoa kwa sasa tuwe wote kama miaka 2 tukisomana lakini mwezi mmoja ndio nisema Nitakuoa nitakuwa mwongo akaniambia yeye NI mzuri na anaweza pata mtu mwingine,nikamwacha baada ya mda anaanza maneno ooh Yale niliongea tu sababu umri Naona unaenda na blabla kibao wakati huo nimeshapata chombo ingine nikamkaushia mpk Leo anataka tuwe wote mara sijui mwanangu amekukumbuka nk.
 
Mwanaume anatumikaje? Kwa nijuavyo mwanaume ndio anatumia.
Tatizo la nguvu za kiume chanzo chake kikuu ni kipi?

Wanaume tunajiua tartibu kwa kudhani kushughulika kingono na wanawwke ndiyo urijali. Kisaikolojia kuna damage kubwa sana kwa mwanaume ambye huruka na wanawake wengi kuliko mwanamke anayeruka na wanaume wengi.

Kuchomeka na kupush agenda kunahitaji stability, stamina na energy ambazo kadiri unavyojianika kwa kasi ndo unavyosinyaa.

Namshukuru Mungu, nilijitunza na mpaka sasa utu uzima wangu nacharge kama nilivyokuwa twentieth. Rika langu wengi nawaona wanavyohaha na madawa ya kuongeza nguvu.

Wanawake ni reciprient, tatizo lipo kwa sender
 
Hao wanawake wako sahihi kwa 100%.
Mimi binafsi nasema hao ndio wanawake wanaojitambua. Mwanamke yoyote mwenye kujitambua ni lazima atauliza haya maswali mapema kabisa kwenye mahusiano.
1. Una mpango gani na yeye?
2. Je utamuoa?
3. Umepanga kumuoa lini?
4. Utakwenda lini kwao kujitambulisha?
Haya maswali yaende sambamba na tabia njema inayoshawishi aolewe

Sio anauliza huku mileage imetembea kilometer za kutosha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom