Kutoka na mwanamke mwenye kiu ya kuolewa ni balaa zito

Mwaka juzi nilikuwa na demu mmoja mlokole nilimpata kwa mbinde sana kwenye taasisi ninayofanyia kazi. Baada ya miezi miwili akaanza kunipa utelezi kwa kweli alikuwa anajituma nilikuwa napewa mzigo mpaka nikawa napata wasi wasi huyu atabeba mimba muda siyo mrefu.
Ndani ya miezi mitatu akaanza kutaka nijue ndugu zake na akaanza kudai ndoa,kivumbi kilitokea pale mdogo wake alipokuwa anachumbiwa halafu mimi hata kwao sijafika nakula tu utelezi muhuni nikawa namcheki tu si akawaambia ndugu zake kwenye kikao cha familia kuwa kapata mchumba na angependa mdogo wake asogezesogeze muda mbele ili mimi na yeye tuanze kufunga ndoa kwanza halafu ndio ifuate ya mdogo wake.
Baada ya hapo alikuja geto akaniambia mpango wake na tayari ameshawaambia wazazi na familia yake kwa ujumla nikaamua kujitoa kwenye ule uhusiano maana alikuwa ananipeleka kwa kasi sana aisee nilipata tabu alinishtaki hadi kwa maafisa waandamizi pale kazini kuwa nimemchezea nataka kuharibu maisha yake,ile hali ilinishushia sana heshima nikajiuliza kwani kumuoa ni lazima nikazidi kukaza uzi mpaka ule uhusiano ukafa kabisa saa hizi ni mwendo wa kununiana tu ila kuna wakati natamani kumshika mkono nikampige tena pipe kimasihara maana anajua kukitendea haki kitanda.
 
Hapo mwamba ulizingua, kama chemistry ilikua nzuri na alikua anakutii na kukuridhisha hakukua na shida. Ilibidi uende nae taratibu mchunguzane hata mwaka then umuoe tu.
 
Hongera kwa kushtuka mapema.

Mzee baba ulikua unaenda kupigwa ngumi ndoige. Ulikua unaenda kufanywa boya la kumpa heshima ya kua ameolewa, halafu nje ya box aendelee kula bata na mabwana zake wa zamani kwa kisingizio kuachana sio uadui . Ogopa sana pisi zenye hizo mentality.
Uko sahihi mkuu..saiv imepita miaka kama 4 na hajaolewa..amebakia kuzuzura tu na kubadilisha lounge za kula bata mara wavuvi camp etc..
 
Hapo mwamba ulizingua, kama chemistry ilikua nzuri na alikua anakutii na kukuridhisha hakukua na shida. Ilibidi uende nae taratibu mchunguzane hata mwaka then umuoe tu.
Hatukuwa na makubaliano ya kuoana hata nilipokuwa namtongoza sikuwahi kuntamkia nitamuoa mimi nilikuwa nataka utelezi tu. Tatizo la hawa mabinti wa kilokole wanaamini kila uhusiano lazima uishie kuwa ndoa kitu ambacho si kweli kabisa
 
Mwaka juzi nilikuwa na demu mmoja mlokole nilimpata kwa mbinde sana kwenye taasisi ninayofanyia kazi. Baada ya miezi miwili akaanza kunipa utelezi kwa kweli alikuwa anajituma nilikuwa napewa mzigo mpaka nikawa napata wasi wasi huyu atabeba mimba muda siyo mrefu.
Ndani ya miezi mitatu akaanza kutaka nijue ndugu zake na akaanza kudai ndoa,kivumbi kilitokea pale mdogo wake alipokuwa anachumbiwa halafu mimi hata kwao sijafika nakula tu utelezi muhuni nikawa namcheki tu si akawaambia ndugu zake kwenye kikao cha familia kuwa kapata mchumba na angependa mdogo wake asogezesogeze muda mbele ili mimi na yeye tuanze kufunga ndoa kwanza halafu ndio ifuate ya mdogo wake.
Baada ya hapo alikuja geto akaniambia mpango wake na tayari ameshawaambia wazazi na familia yake kwa ujumla nikaamua kujitoa kwenye ule uhusiano maana alikuwa ananipeleka kwa kasi sana aisee nilipata tabu alinishtaki hadi kwa maafisa waandamizi pale kazini kuwa nimemchezea nataka kuharibu maisha yake,ile hali ilinishushia sana heshima nikajiuliza kwani kumuoa ni lazima nikazidi kukaza uzi mpaka ule uhusiano ukafa kabisa saa hizi ni mwendo wa kununiana tu ila kuna wakati natamani kumshika mkono nikampige tena pipe kimasihara maana anajua kukitendea haki kitanda.
AusiooUtelezi unataka ule wa buree binti wa watu azidi kuzeekea kwao.
 
Kingind oa msichana wa ujana wako tu. Yule mliekuwa mnazagamuana toka akiwa mdogo ndio muoe maana wewe ndie utakuwa X mwandamizi.
Mm nimekuja kuoa x wangu tuliejuana miaka zaid ya 10,inshort hakua x ila alikua mshikaji,Akija likizo za dec lazima tumeet na tukumbushiane,halafu uzuri au ubaya mahusiano yangu yote alikua anayafahamu mpaka single mama mmoja alipokuja kunichanganya ndio nikaamua nimvutie ndani na ni baada ya yeye kuonyesha nia
 
Mwaka juzi nilikuwa na demu mmoja mlokole nilimpata kwa mbinde sana kwenye taasisi ninayofanyia kazi. Baada ya miezi miwili akaanza kunipa utelezi kwa kweli alikuwa anajituma nilikuwa napewa mzigo mpaka nikawa napata wasi wasi huyu atabeba mimba muda siyo mrefu.
Ndani ya miezi mitatu akaanza kutaka nijue ndugu zake na akaanza kudai ndoa,kivumbi kilitokea pale mdogo wake alipokuwa anachumbiwa halafu mimi hata kwao sijafika nakula tu utelezi muhuni nikawa namcheki tu si akawaambia ndugu zake kwenye kikao cha familia kuwa kapata mchumba na angependa mdogo wake asogezesogeze muda mbele ili mimi na yeye tuanze kufunga ndoa kwanza halafu ndio ifuate ya mdogo wake.
Baada ya hapo alikuja geto akaniambia mpango wake na tayari ameshawaambia wazazi na familia yake kwa ujumla nikaamua kujitoa kwenye ule uhusiano maana alikuwa ananipeleka kwa kasi sana aisee nilipata tabu alinishtaki hadi kwa maafisa waandamizi pale kazini kuwa nimemchezea nataka kuharibu maisha yake,ile hali ilinishushia sana heshima nikajiuliza kwani kumuoa ni lazima nikazidi kukaza uzi mpaka ule uhusiano ukafa kabisa saa hizi ni mwendo wa kununiana tu ila kuna wakati natamani kumshika mkono nikampige tena pipe kimasihara maana anajua kukitendea haki kitanda.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom