FraNova
Member
- Aug 23, 2022
- 38
- 207
- Thread starter
- #121
Yah, Sasa kuna wengine mara ooh mahusiano ya muda mrefu ndiyo yanavunjikaga, ukimuuliza nani kakuambia, anasema ndivyo ilivyo kwakua ukishajua mapungufu ya mwenzako unamuacha ila ukishaingia kwenye ndoa utayavumilia tu.Yah nibmwanaume akitaka ndoa haijalish mmekutana mud gani hat kama mna miez miwili anaweza kukuoa tu muda wa kuwa kwenye mahusiano sio kigezo Cha kutokuoa
Hapo nawaza kuna mapungufu ambayo hayavumiliki, sasa ukijichanganya itakuaje?