penzi jipya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kazanazo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini kuanzisha penzi jipya ni gharama namna hii?

    Nimetoboka hela ndefu kwa huyu mdada kiasi kwamba hata akinitext kunisalimia bado nakumbuka gharama zangu na kulinganisha nae hata haviendani. Nimekodi lodge ya gharama vyakula vya gharama na matembezi ya sehemu za VIP kwa pisi ya kawaida sana. Sasa najiuliza hayo yote niliofanya ni kwa ajili...
  2. Prof Phraoh AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuingia kwenye Penzi jipya kunakuja na gharama ya kupoteza marafiki wa karibu

    Kuingia kwenye uhusiano wa kimapenzi mara nyingi kuna gharama yake. Kuingia kwenye uhusiano mpya wa kimapenzi huja na gharama ya kijamii ambayo mara nyingi haionekani moja kwa moja. Kulingana na utafiti kutoka University of Oxford, mtu wa kawaida huwa na watu wa karibu takribani watano...
  3. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo Single Mother wanavyowatetea Baby Daddy zao wakiwa kwenye penzi Jipya

    Kama una akili nyepesi unaweza usielewe yaani ni kama anamkandia na hataki kumsikia lakini ukienda ndani zaidi unagundua anamkingia kifua asiguswe kuna mipaka anataka akuwekee ili usiwe unahoji mambo yanayoweza kufukua makaburi na maiti zilozolala. Am done with Single Mothers
  4. Nyanda Banka

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania WANAUME TUJIFUNZE KWA SAMUEL ETOOUkifanikiwa usitafute penzi jipya mkumbuke uliyeanza nae

    Pichani ni Samuel Eto'o akiwa na mkewe unaambiwa kabla Eto'o hajawa star mke wake alikua dada wa salun huko Ufaransa na alikua akimpa pesa ya kujikimu mpenzi wake Eto'o wakati Eto'o akienda kwenye majaribio ya mpira kwenye vilabu mbalimbali vya soka Eto'o anasema baada ya kupata timu na kuanza...
  5. Daydream

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake jitahidini kutoweka wazi shida zenu mapema mnapoingia kwenye penzi jipya

    Nakumbuka niliwahi kuingia kwenye mahusiano na binti mmoja wa ki Arusha ambae tulijuana kupitia social media, yeye alikua Arusha na mimi nilikuwa Dar es Salaam. Huyu binti kwanza alikuwa ananikera kitu kimoja, anapenda sana video call sasa sijui alikuwa anataka kugundua nini. Ingawa nilikuwa...
  6. Money Penny

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unatakiwa ukae kwa muda gani kwenye penzi jipya kabla hamjapeana utamu?

    Naulizwa Muulizaji: money penny, unatakiwa ukae muda gani (siku/miezi mingapi) na mpenzi wako kwenye penzi jipya kabla hamjafanya mapenzi? Nisije nikalala nae mapema nikakimbiwa. Nisije nikamkazia sana akakimbia, nifanyaje? Haya mje mumsaidie mwenzenu.
  7. FraNova

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kutoka na mwanamke mwenye kiu ya kuolewa ni balaa zito

    Hii kitu ni balaa sana, Uwe unadate na mwanamke anayehitaji kuolewa kwa muda huo, yule anayeona kama umri unamtupa mkono huwezi enjoy hayo maahusiano ni kero mwanzo mwisho, Maswali kama, "hivi utanioa kweli?"/ "baby utanioa lini"/ "Mbona huji kujitambulisha kwetu?"/ Mbona hunitambulishi kwenu?"...
  8. Brain Kingdom

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tunaoanza mwaka mpya 2023 kwa penzi jipya tujuane

    Inshallah Mungu ajalie January 1, 2023 naanza na penzi jipya la mtoto wa kisagara. Ni hatari sana hii mashine nafungua mwaka kivingine. New year New mashine new show. Nyota ya "Pisi mpakato" imesoma matokeo ya chumvi bahari na maombi ya upako yameweka neema kama zote. Ni hayo tu kwa uchache...
  9. V

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Penzi la mpito lageuka mzimu kwenye penzi jipya

    Mara baada ya kutokuwa na maelewano mazuri na mpenzi wangu kwa muda mrefu usiopungua mwaka na miezi kadhaa nilijaribu kutafuta suluhu kadri ya uwezo wangu na haikufua dafu. Nilipata msongo wa mawazo juu ya suala hilo kwani sikuwahi kufanya udanganyifu, hata kumjibu vibaya lakini amebadilika na...
  10. Morg

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna haja ya kuendelea kuwa na namba ya ex wako huku ukiwa kwenye penzi jipya?

    Kume kuwa na hulka flan hiv ya mahusiano pindi yanapofika kikomo wahusika wawili Bado hubakia na namba ya ex wake kwenye simu kwa kigezo kuwa eti kuachana sio ugomvi. Pindi wanapoingia kwenye mahusiano mapya still bado wanazo namba za maex zao. Binafsi sidhani kama ni sahihi kama...
  11. nzalendo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jifunze kumuacha aende

    • Kamwe usihisi kama ulimwengu ndio unakaribia mwisho pale akupendae anapokuacha. MUACHE AENDE ! • Kujaribu kumlazimisha mtu akupende ni sawa na kujaribu kumlazimisha Nguruwe kutambua usafi na uzuri. Usimlazimishe akupende, mwache mwenyewe akupende, kama hakupendi... MWACHE AENDE ! • Wewe ni...
Back
Top Bottom