KadaMpinzani
JF-Expert Member
- Jan 31, 2007
- 3,715
- 93
LoL,yaani chenge kutokana na uwepo wake siku nyingi ndani ya bunge alikuwa hajui kama kuna camera ? au alikuwa anazibipu kama zinafanya kazi ??
halafu kama kweli tungeshikilia mkazo lile suala la mbowe kuhojiwa jinsi viongozi wanavyouliwa PENGINE haya yasingetokea ! Lakini its too late!
...juzi usiku muungwana likuwa anafoka kama kifutu kuwa JF tunapata wapi hizi nyeti.........kwamba Kenya wamesoma bajeti yetu kabla haijatangazwa? Ikulu kuliwaka moto!.......
Jamaa according to the dataz ni uwt, kumbe na yeye kuna deal nyingi ndogo ndogo ambazo amewahi kukatiwa mpango hata kabla hajawa ag, na pia kwenye hili deal inasemekana kuwa amekatiwa, kwa sababu kisheria yeye ndiye aliyetakiwa kuwa mstari wa mbele sasa hivi kudai sheria imevunjwa, lakini ndio kwanza najivuta vuta,
Sasa subiri tuone majibu ya Pinda, maana nasikia huko ndani kunawaka moto, waliokula wote wanahaha, kinachosikitisha hapa ni how sisi as a nation tuliweza kuwa na Waziri Mkuu mjinga mjinga kama Lowassa? The man is so arrogant nasikia ilifikia mahali alikuwa ani-run serikali kama Kingdom yake vile, yaaani nasikia viongozi wetu watu wazima na akili zao wenye wake nyumbani na watoto walikuwa wakimsujudia huyu fisadi, how? na WHY?
Wakuu kwa kweli inasikitisha sana kusikia ambayo hayajasemwa hadharani kuhusiana na huyu mkuu, yaani ndani ya bunge mkuu alikuwa akibadili wabunge kina mama kama nguo, ambao wote walilia sana ile siku, halafu eti anasema kuwa hakutegemea kuwa hawa wabunge wajinga wajinga wangeweza kumuondoa? Unajua wakuu ninaomba mzitafute dataz za huyu mkuu yaaani ni aibu hata kuitwa m-Tanzania!
samahani kidooogo mkuu naomba unifafanulie hayo maneno niliyoyawekea rangi yake special maana nimeelewa ndivyo sivyo halafu inakua ngumu kuamini kidogo
Mtaalam rudia kusoma tena na tena utaelewa anasemaje .
nimesharudia na kurudia...umri umewapiga mkono kwa mambo hayo ndio .....
Umri si hoja. Utashangaa mambo watu wanafanya pamoja na umri kuwa mkubwa
Wanasema habari ndio hiyo!loh kama tz imefikia huku then ni balaaa!!
Wanajiandaa sasa kuinunua JF .Wazee huko jikoni haya tunayasema wazi .Walianza na Ansbert wakamkosa , wakaja kwa Mwanakijiji akawatamkia kwamba hana bei , wakaanza kumtafuta Kishoka akajitokeza wakarudi nyuma, wanamtafuta Lunyungu nami nasema mbona niko nanyi ofisini kila mara ? Wanamchukia na kutaka kumjua Bubu atala kusema na wakulu wengine hapa kisa wanamwaga nyeti mno .
Mkuu ES malizia list ya wanao tafutwa maana kwa jinsi ninavyo kujua nawe unayo hiyo list ya wanao tafutwa .
Wanasema habari ndio hiyo!
yaani chenge kutokana na uwepo wake siku nyingi ndani ya bunge alikuwa hajui kama kuna camera ? au alikuwa anazibipu kama zinafanya kazi ??
...
kama nimeelewa vizuri nadhani mheshimiwa alikosea timing tuu.
inasemekana kamera za usalama zilikuwa zimezimwa na ni kamera
moja tu ya vyombo vya habari ndio ilikuwa on tena kwa ajili ya testing.
sasa najiuliza je inawezekana mheshimiwa alinong'onezwa na mtu wa
uwt kwamba mambo ni safi kwani kamera zimezimwa bila ya huyo
mtu wa uwt kujua kwamba ipo moja "on" kwa ajili ya majaribio. na kama
haya ndio yaliyotokea basi taifa letu lina hali mbaya kuliko.
Muhusika alionwa kwenye camera akiweka hivyo vitu!sasa kwa nni hatua yeyote haikuchukuliwa?kwa mfano hata kujua chemistry ya hivyo vitu vinavyosemwa kunyunyizwa!ok leo tunaambiwa kahojiwa police sasa inasaidia nini?kama hawajui hata vitu vilivyonyunyizwa ni nini?Hainiingii akilini kwa kweli!
Dah! kila wiki na skendeli jipya...
Richmond, EPA, Kiwira, Kifo cha Bro Ditto, Rama mla vichwa, Chenge na vijisenti, Kifo cha Balali, Mwakyembe augua ghafla, Uchawi Bungeni...what next?
...kama hii ni spin, nawavulia kofia spin doctors wa Tanzania, hali ikiendelea hivi hivi, wallahi wonder-wheel halitakalika tena hili!
...Hivi hata hao wabunge wanakumbuka wataongelea nini kweli, au kila mtu 'roho mkononi!'?
mwe!
mpaka Kizunguzungu wallah!
Mkuu Heshima mbele, according to the dataz kuna mengi yaliyojiri na yanayoendelea kujiri:-
1. Wahusika wote wa Richimonduli wameitwa tena kwenda kujibu maswali kwa Taukukuru, ikiwa ni part ya uchunguzi wa kamati ya Pinda, kabla ya kurudi kwa bunge on ile miezi mitatu.
2. The dataz ni kwamba Hosea kutemwa, lakini AG kubaki, behind the scene kuna ambao kamati inataka wafikishwe mahakamani, lakini el na kundi lake wanamwaga hela sana ili hayo yasifanyike, lakini muamuzi ni Pinda, ambaye wabunge wameshamuonya kuwa asipokuja na majibu sahihi huenda na yeye akaondolewa kwa muswaaada maalum.
3. el alionywa mapema sana na tinga2 kuwa hili soo la Richimonduli halitaisha hivi hivi, akaambiwa aunde kamati yake itakayosema ukweli wazi na ahusishe wabunge, lakini mkulu akagoma na kwenda kwa muuungwana kumshitaki kuwa ndiye anayeleta choko choko za hiii ishu, el alipotoka tu muungwana akambonyeza mukulu kila kitu el alichosema, ndipo moto ulipoanzia lakini according to the dataz the whole thing ya Richimonduli comes down to mtoto wa el anayeitwa Federick na Msomali anayeitwa Gire, nasikia kamati haielewi cha kufanya na huyu mtoto ambaye sio kiongozi wa taifa!
4. According to the dataz ni kwamba muungwana aliambiwa mapema kuwa hii deal ni bomu, lakini akawakabidhi uwt ambako ag wa sasa na mstaafu wa idara, ambao wote ni wa huko idara, ndio waloukuwa wakimchezea muungwana na kumpa info za uongo, sasa deal likaja kubumburuka kwa vile Mwakyembe naye ni idara pia, na hasa kushindwa kwa Richimonduli ku-deliver!
Sasa hivi kuna juhudi kubwa sana za kujaribu kui-divert ishu ya EPA na Kiwira, lakini wabunge wetu wanajaribu kuwa makini sana ili wasipoteze focus!
Wakuu tunaendelea kuzifuatilia, zikipatikana tutahabarishana kama kawa, JF mbele alyways one step ahead!
Ahsante Wakuu Ngoja Nirudi Kwenye Post ya kuzi-monitor huko Dodoma!
Jamani mimi nimeachwa tingax2 ni nani???