FMES,
..hilo tukio lilikuwa recorded anywhere? manaake camera huwa zinapeleka images kwenye studio. kule kwenye studio ndipo RECORDING inapofanyika. sasa kuna yeyote aliye-press "record."
Mwanyika kukalia kiti chake baada ya yeye amekuwa kama zezeta anasoma haelewi anaambiwa hasikiii na sasa aliona anaweza kufanya zali kule jumbani
Mwanyika kukalia kiti chake baada ya yeye amekuwa kama zezeta anasoma haelewi anaambiwa hasikiii na sasa aliona anaweza kufanya zali kule jumbani
Mkuu "Hollo",
It is about time sasa unahitaji kusubiri kwanza kabla hujakurupuka, maana this is very humiliating, kama sio aibu kwa mtu mzima, maana hapa sasa watu wote wenye akili timamu wanajua kuwa wewe ni nani kama nilivyosema mwanzoni kuwa unageuza hii JF kuwa ni kama mahali pa watoto wadogo, wakati sisi wote ni watu wazima, sasa ona mkuu aliyesema mambo ya ushirkina ni Spika wa Bunge letu la taifa, sasa kama wewe ni mstaarabu kama unavyotaka hii forum ikuamini basi ukishikwa pabaya kama hapa ukubali hadharani kuwa umekurupuka, badala ya kuwa kimyaaa!
utabadili majina mpaka utachoka lakini nilikuambia mkuu kuwa sisi huwa tunasafishwa na ukweli tu, na tutadumu sana hapa JF na mahali popote tulipo kwa sababu siku zote huwa tunaongozwa na ukweli, na sio chuki za binafsi, majungu wala uzandiki, ninarudia tena kuwa ni wenye ukweli, facts na hoja nzito ndio watadumu sana hapa JF!
Ahsante Mkuu!
Sasa subiri tuone majibu ya Pinda, maana nasikia huko ndani kunawaka moto, waliokula wote wanahaha, kinachosikitisha hapa ni how sisi as a nation tuliweza kuwa na Waziri Mkuu mjinga mjinga kama Lowassa? The man is so arrogant nasikia ilifikia mahali alikuwa ani-run serikali kama Kingdom yake vile, yaaani nasikia viongozi wetu watu wazima na akili zao wenye wake nyumbani na watoto walikuwa wakimsujudia huyu fisadi, how? na WHY?
mimi nadhani tunahitaji mpiga ramli wa Taifa..
mimi nadhani tunahitaji mpiga ramli wa Taifa..
Dah,
ES hizi umezinyaka pia? Basi nimekukubali. I had em by me. Ni kweli uliyoandika. Just to comment on!
Sasa wakishasoma JF watabadilisha maamuzi...?
Hivi kwa akili yako nilikuwa sijaelewa au?sasa Steve alikuwa ananisaidia kwa ushauri na wewe unasema kanichapa bakora!hivi wewe una matatizo gani lakini?any way siyo tatizo lako!Field Marshall ES said:Mkuu Steve D,
Heshima mbele kwa kujaribu kumsaidia ndugu Mtanzania mwenzetu ili naye aelewe, ingawa bado sio rahisi lakini dawa ni kama ulivyofanya, yaaani kuchapa bakora!
FMES, ahsante sana kwa kazi nzuri!! Na wewe uwe makini huko, wasijekukunyunyizia! Mungu anasikia sauti ya watanzania sasa! Tukaze uzi