William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,464
- Thread starter
-
- #661
Hakuna shida mkuu...Mmekipata mlichokitaka...Mimi siongei tena hapa nitakuwa mtizamaji tu!
Ila nawasha moto kule Facebook mbele ya bosi wenu mliyeniban kwa kumwita jina ambalo linaweza kufutika kama akiproove hivyo!
Jf...Kweli siamini!
Mimi na wewe nani aliyekuwepo hapa mwanzo? Sasa leo nitishike na wewe?
Sikuweza kujizuia! Shida ya inferior!!!!!! Your ignorance, as always, sir,shows!
Mkuu kama wewe ndiye Mushi "aliyefungiwa", lakini bado yupo basi wasalimie sana huko mkuu!
Kwi! kwi!kwi!kwi!kwi! mkuu sasa uinanichekesha sana naomba niende kupumzika maana kesho kuna kishindo kinakuja,
Halafu the dataz ni kwamba hivi karibuni kuna hela za ufisadi za Mramba, zimezuiwa na serikali, na hasa zilizokutwa kwenye jina la mjukuuu wake mwenye miaka minne, akiwa na Billioni nne benki bongo, sasa nimeipata sasa hivi kuwa zimeshikwa naomba niingie kwenye post kabla ya kuzifuatilia hizo ili nikizipata nizimwage hapa JF,
Ahsante na Kwa heri mkuu!

Mkuu hapa naona sasa tunaelekea kwenye EPA yenyewe, huyu "mtulivu" ni mmoja kati ya masterminds wa dili nzima, nadhani hiyo ni sehemu tu ya "vijisenti" vyake. Naifualitia sana tuhabarishe zaidi utakapopata habari zaidi. Naona sasa wanafika kwenye mzizi mwingine wa EPA, misamaha feki ya kodi, hela za madini, na mengine mengi!!
Huyu Mramba sijui anaogopwa maanke ametulia sana wakati wengine hata mume mwenza anapewa mawe lakini yeye hata kokoto harushiwi.Huyu kwanza hata Ubunge aache,watu kule Rombo wametulia mno badala ya kuandamna hadi awaachie jimbo lao.Amewadhalilisha mno
Mama Kilango awasha moto kuwa kama pesa za EPA hazitarejeshwa basi ni bora afe kuliko kuendelea kukaa kimya . Awataka wananchi kukaa kimya kwani wabunge watazishughulikia hadi zirudi. Asema kuna kuna bilioni 216 ambazo zinashikiliwa na mafisadi tangu 1992, ziko mikononi mwa watu wachache ,lazima zirudishwe hizo fedha .
April serikali iliwapa hawa watu muda wa miezi mitatu ila hadi leo hazijarejeshwa ,na kama wabunge wakikaa kimya na kutokutetea wananchi wake ni kuwa mbunge huyo hawapendi wananchi wake na kama hazitarudi basi bunge patakuwa hapatoshi.
FDR.Jr Junior Member Join Date: Tue Jun 2008
Mama Malecela amepigwa bit , ngoja tuone kama atarudia aloyatamka huko nyuma kwa ujasiri wa awali.
Wakuu heshima mbele, leo kutoka Dodoma the dataz zinasema kuwa:-
1. Waziri Mkuu atatoa rasmi uamuzi wake, kuhusiana na ripoti ya Mwakyembe katika kufuatia mapendekezo yote yaliyotolewa ya kamati hiyo ya bunge, kwake kama mkuu wa shughuli za serikali hasa katika bunge, atautoa uamuzi huo rasmi kwenye kikao cha bunge, mara tu baada ya bajeti kumalizika, katika tarehe maalum itakayotajwa karibuni.
2. Imefahamika rasmi kuwa makamu wa sasa naye amejiunga rasmi na lile kundi hatari la Serukamba, na kumbe ndio moja ya chanzo cha maneno ya mkewe bungeni hivi karibuni, na pia ndio chanzo cha maneno yake mwenyewe hivi karibuni kuhusu wagombea binafsi,
hizi ni habari za kusikitisha sana, ingawa la kugombea binafsi ni safi lakini la kujiunga na kundi ni huzuni kubwa sana!
3. Na more dataz ni kwamba mke wa makamu baada ya kujibiwa maneno mazito sana na umma kuhusiana na kauli yake bungeni hivi karibuni, leo usiku amewaarifu wakuu wa CCM kuwa hatagombea tena uenyekiti wa UWT, nafasi ambayo sasa iko kwenye mchuano mkubwa sana wa wengine kutaka kumrithi na ambayo amekuwa akipigania sana.
Ahsante Wakuu Tutaendelea Kuhabarishana Dodoma Bado Moto Unawaka!

Mkuu kidogo nimeachwa unaposema makamu- Ni makamu yupi huyu , ni mamaku mwenyekiti ay makamu wa rais. Lakini nasmell kuwa mafisadi wanashinda, naona upande wa haki uko kwenye verge ya ku-lose. Kama trend zimefikia hapa kuna haja ya mapamabo kufikishwa kwenye ngazi nyingine!

FMES,Mkuu Bongolander,
Heshima mbele, huyu ni makamu wa ccm, naye amejiunga tayari na hili kundi ambalo tayari limeanza kujitayarisha na urais, nafikiri ameamua kujitoa pembeni na UWT na ubunge, kwa sababu atakuwa ameahidiwa chochote, itakapokuja time yao ya lile kundi,
Hii inaongeza nguvu kuwa kubwa sana upande wa kundi hili la lowassa, ambalo sasa hata Mkapa naye amejiunga nalo, sasa hivi aliyebaki wa kutumainiwa ni Six peke yake, the devil we know ila the question ni for how long ata-resist mashambulizi yao kina Lowassa?
I mean hiii ya kujiunga kwa makamu na mkewe, kunaleta wasi wasi mkubwa sana, lakini tunaendelea kumuomba Mungu atusaidie upande wa wananchi na wabunge wetu kina Mwakyembe, Seleli, Manyanya, Dr. Slaaa, Ndesamburo, Mama Kilango, na Mheshimiwa sana Zitto.
Mungu Aibariki Tanzania.
Hii wiki inayokuja naona kuna mengi sana yatakuja. So far kuna miziki miwili inakaribia kumalizika compacting kule studio na inaweza kuangushwa hapa JF muda si mrefu.
Independence day itabidi niitumie kununua pop corn zaidi toka Iowa kwani yote yanayokuja hapa JF ni makubwa.