Indume Yene
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 2,968
- 727
Tumuadhibu kwa lipi?jamani kwani chenge kakamatwa na uchawi!evidence ziko wapi?
Haya camera zimeyoyoma hizo movie zipo wapi?wekeni hapa tujue kama ni kweli!la sivyo ni kubuild castles in the airHollo,
Amka ndugu yangu. Evidence zipo. Si umesikia kamera zilikuwa zinayoyoma?
hata thomaso ni hadi alipoona alama za misumari!kuwepo kwa data siyo hoja!data zinaweza zikawepo na zikawa wrong vilevile
Something is going to happen soon here in Dodoma stay tuned.
Of course, naomba kuwasisitiza wana JF kufikiria mbali zaidi. Hakuna uchawi, kuna kitu inatumiwa na inaua taratibu na mwisho mlengwa anakuwa ndio hivyo tena.kuna uhakika gani kuwa ni uchawi?hizi ni blah blah