Kutoka Dodoma!

Kutoka Dodoma!

6938.JPG
Kuna mtu anaonekana mwenye huzuni sana yaani haijulikai anafikiri kitu gani ,ila naweza kuhisi anachokifikiri ni vipi ataondoka na kuwawacha wengine kwenye biashara ya ufisadi ili akatumbue alichokichuma .
 
Subiri tu...Tartiibu.
Hakuna anayejali tena hiyo miripoti yenu
Ngoma lazima ianze upya..Narudia..HAKI YA MTANZANIA IMEPINDISHWA DOGGY STYLE NA HATIMAYE KUBAKWA!
Uchunguzi wa SFO wewe usubiri tu...Hakuna anayekuzuia!
Ila kama pesa zilisharudishwa...Pesa zilizotoka chini ya uongozi wa Kimafia wa Kikwete na Mkapa...Huku wakisaidiana na makanali wao wasaidizi kama kina Chenge,Ballali,Mgonja na wengineo...Then huelewi unachokisema pale unapodai kuwa eti tutalipa ghrama za haya maneno!
Nyinyi mnarudisha pesa halafu hamtaki kulipa gharama za ufisadi kwanini?
Du hiyo kali!kazana ndugu yangu na hii vita ya mafisadi!
Mungu awe nawe!hii vita ni ngumu sana!umdhaniaye ndiye siye!
 
Du hiyo kali!kazana ndugu yangu na hii vita ya mafisadi!
Mungu awe nawe!hii vita ni ngumu sana!umdhaniaye ndiye siye!

Meghi aliambiwa na Chenge kuwa sheria za nchi zilifuatwa wakati wa kutoa pesa za EPA?
Ama Chenge kama mwanasheria mkuu wa nchi hakuhusika na kusaini mikataba ya rasilimali za nchi?
Yeye kasoma Havard..Kaishi hapa Marekani kama sisi ila hakuwa mzalendo na badala yake akalifanyia taifa letu haya yote kwa kushirikiana na Mkapa,Kikwete na Ballali.
 
Wakuu heshima mbele, ndio kwanza tumepata the dataz lakini bado tuko kwenye kujaribu kuzi-verify, then tutazimwaga ila kwa haraka tu ni kwamba jana moto mzito uliwaka ndani ya kikao,

na kwa mara ya kwanza toka awe rais wa jamhuri, muungwana made it very clear kwa mafisadi mbele ya wajumbe wote wa kikao hicho kuwa hatawakinga tena na kwamba hakuna sheria yoyote inayowalinda wasifikishwe kwenye mkondo wa sheria kama ambavyo amekuwa akisikia sana kwenye media, narudia alisema kuwa hakuna aliye juu ya sheria, kwamba mafisadi wote watakaobainika kuwa wamevunja sheria kwa kuwa mafisadi, wajitayarishe kusimama mbele ya sheria za jamhuri, kwamba hatamtetea yoyote yule hata awe nani?

Na muungwana amekubali kama mwenyekiti, mafisadi wote kuchukuliwa hatua za kichama kama ilivyotakiwa na wabunge, lakini amehimiza wajumbe kusubiri matokeo ya kamati ya Waziri Mkuu, ile ya miezi mitatu na kwamba watakaohukumiwa na CCM, lazima wapatikane na makosa kweli.

Ahsante Wakuu, Baaadaye itakapowezekana tena, na samahani kwamba hatuwezi kutoa zote unajua ni mpaka tuzithibitishe kwanza kwa wajumbe zaidi ya wanne ndio tuzibandike ili kuheshimu ukweli wake, kama hatuamini kuwa zina ukweli basi ni kuzitupa tu kwenye garbage cane, na pia samahani sana kwa kuchukua muda mrefu kama nilivyosema jana tuko safarini!

Haya ndiyo maneno sasa. Kikwete fanya kazi na wala usijali mambo ya uzushi yanayoletwa na watu wenye wivu tu hapa kwa chama tawala.
 
Mkuu FEMS Hishma mbele kama unavyopendelea kusema!
Kwasasa KIKWETE NA YEYE NI FISADI Hivyo tunaomba uache kuzungusha maneno kwasababu ni yeye aliyemkatalia Lowassa kuwa Richmond ni mkataba mbovu na ndiye yeye mwenyewe aliyemrudisha Chenge madarakani ili aendelee kuwaroga ama kuwaua wenzake!
Ndiye yeye aliyesikiliza ushauri kuwa Ballai asubiriwe hadi afe ama kupotea ili kesi ya EPA ife!
Mlikuwa mikjadili hapa na yeye Kikwete kutetewa na kina Zitto na MKJJ na MWK na sasa wewe!
Hayo mambo ya CCM myajadili wenyewe humo ndani ya chama chenu.
Na kama hamtaki kuwashughulikia mafisadi wote hii ikiwa ni pamoja na Kikwete,Mkapa,Chenge,Mramba,Ballali,Karamagi,Rostam Aziz,Makamba na CCM yote top ambayo sasa wanataka ATTENTION kabla hata hawajawakamata mafisadi...Zaidi ya kuwapa muda na kuendelea na conspirations za kimafioso na kichawi.

Wewe inaonekana una chuki binafsi na Kikwete. Hakuna cha ufisadi wala nini ila wewe ndio fisadi unakaa tu nje ya nchi bila kulipa kodi au kuchangia kwenye maendeleo ya Tanzania.

Ona sasa hadi unaanza kupambana na mtu kama zitto ambaye angalau yuko msitari wa mbele kupiga makelele, wewe zaidi ya kuandika hapa mtandaoni umefanya nini kusaidia nchi yako?

Hata hivyo, yale maneno yote uliyosema kwenye thread ya Ballali kuwa una ushahidi yamefikia wapi, FBI wako uliosema una contact zao wameishia wapi?

Acha makelele kijana, kupondea wakuu hapa kama FMES na wengine sio njia ya kukupatia umaarufu unautaka kwa udi na uvumba.
 
Halafu nyie watu wa upinzani hizo pesa zinazorudishwa na mafisadi muhakikishe CCM hawatazitumia tena kuibaka demokrasia kama walivyofanya wakati wa ushindi wa tsunami wa Kikwete!
Halafu pia hata sasa hivi nina hisia nzito sana kuwa there is something going on!
Bendera zilizopandishwa za marekani katikati ya jiji la Dar huku za Tanzania zikiwa hazipo zinaonyesha kuwa serikali za magharibi zimefanikiwa kumtisha Kikwete na yeye kunegotiate in bila kuwajali wananchi kwasababu ya woga wa kuondolewa madarakani kwasababu wamarekani wanajua kila kitu ila wanapewa wanachotaka ili wasilete noma!
Mungu asadie tu Obama ashinde na pia huko bongo Wananchi waiangushe CCM ndio mtagundua mambo huku mkijifinya kuhakikisha kama ni kweli ama mnaota!
 
wewe kweli umeishiwa hoja. Nani kakwambia kuwa Obama ni mpinzani?
 
Meghi aliambiwa na Chenge kuwa sheria za nchi zilifuatwa wakati wa kutoa pesa za EPA?
Ama Chenge kama mwanasheria mkuu wa nchi hakuhusika na kusaini mikataba ya rasilimali za nchi?
Yeye kasoma Havard..Kaishi hapa Marekani kama sisi ila hakuwa mzalendo na badala yake akalifanyia taifa letu haya yote kwa kushirikiana na Mkapa,Kikwete na Ballali.

Yaani Chenge kalitumikia taifa kwa zaidi ya miaka 30!na kalitumikia taifa lake kwa uadilifu!wewe umelifanyia nini?any way sasa ni wakati wako ndugu yangu do it practicaly usiishie kuongea tu hapa!
Mambo ya Meghji aliambiwa na Chenge mimi simo maana huo ni udaku na uzushi!
Yes Chenge msomi wa Havard na kwa vile alipenda taifa lake alirudi kulitumikia.Muombe MUNGU nawe siku moja urudi nyumbani kulitumikia taifa.sio kuishia kusema tu humu kwenye net iliyoyotengenezwa na Mzungu na kulia kulia ufisadi bila vitendo!Taifa linasongwa na vitu vingi sana sio Ufisadi tu peke yake
VIVE LA TANZANIE!
 
Sidhani kama huyu atarudi nyumbani. Makelele tu ndio anajua kupiga, aliahidi hapa kufuatilia suala la Ballali akaishia kuleta habari za uongo na udaku za mtandaoni.

Amesema kuwa wengine wote hapa kina FMES, Mkjj na Zitto ni mafisadi lakini yeye mwenyewe haonyeshi amefanya nini kwa ajili ya Tanzania. Huyu ataishia tu kupiga makelele hapa na baadaye kupotelea kama wengine waliomtangulia.
 
Serikali zote zinazosifiwa na IMF na haya mataifa ya magharibi kuwa uchumi wake unapanda kwa kasi huku wananchi wakifa kwa njaa na umasikini..Zote ni za kifisadi! Kuanzia walipomleta Balali nchini kwetu kwa kushirikiana na Mkapa..Huku akimwagiwa misifa kuwa anakuza uchumi! Wao wanajua usalama wao ni kukubali tuu!
Sasa si ndio Doggy style ama?
 
Serikali zote zinazosifiwa na IMF na haya mataifa ya magharibi kuwa uchumi wake unapanda kwa kasi huku wananchi wakifa kwa njaa na umasikini..Zote ni za kifisadi! Kuanzia walipomleta Balali nchini kwetu kwa kushirikiana na Mkapa..Huku akimwagiwa misifa kuwa ankuza uchumi! Wao wanajua usalama wao ni kukubali tuu!
Sasa si ndio Doggy style ama?

Tartibu Mushi, BTW missed you big time, nashukuru Mungu umerudi.
 
Halafu nyie watu wa upinzani hizo pesa zinazorudishwa na mafisadi muhakikishe CCM hawatazitumia tena kuibaka demokrasia kama walivyofanya wakati wa ushindi wa tsunami wa Kikwete!
Halafu pia hata sasa hivi nina hisia nzito sana kuwa there is something going on!
Bendera zilizopandishwa za marekani katikati ya jiji la Dar huku za Tanzania zikiwa hazipo zinaonyesha kuwa serikali za magharibi zimefanikiwa kumtisha Kikwete na yeye kunegotiate in bila kuwajali wananchi kwasababu ya woga wa kuondolewa madarakani kwasababu wamarekani wanajua kila kitu ila wanapewa wanachotaka ili wasilete noma!
Mungu asadie tu Obama ashinde na pia huko bongo Wananchi waiangushe CCM ndio mtagundua mambo huku mkijifinya kuhakikisha kama ni kweli ama mnaota!
Sasa Obama akishinda atatusaidia nini sisi Watanzania?Jamani utafutaji wa kuwa na taifa zuri lenye wananchi wenye maisha mazuri upo mikononi mwetu wenyewe!Wewe kaka tu huko USA ukidhani wananchi wote wa tanzania wanaacces ya internet!SAHAU KABISA KUANGUKA KWA CCM!
Ni wananchi wangapi wanaacces na mtandao na Tanzania kuna wapiga kura wangapi?
Asante!
Hollo
 
Na huyu Kikwete aliyewekwa makusudi huko AU kama mwenyekiti tutamtoa nishai tu!
Ni kiongozi gani huyu mwenye maslahi na Afrika kwa jinsi alivyoiuza nchi yake mwenyewe?
Mataifa ya magharibi yanampenda na ndio maana yakampigia debe ili atumie jeshi kumtoa Mugabe madarakani!
Jambo ambalo hataweza na noma yake itasanuka...Asome ramani arudi upande wa wazalendo mapema!
Waombe msamaha nk.
 
Serikali zote zinazosifiwa na IMF na haya mataifa ya magharibi kuwa uchumi wake unapanda kwa kasi huku wananchi wakifa kwa njaa na umasikini..Zote ni za kifisadi! Kuanzia walipomleta Balali nchini kwetu kwa kushirikiana na Mkapa..Huku akimwagiwa misifa kuwa anakuza uchumi! Wao wanajua usalama wao ni kukubali tuu!
Sasa si ndio Doggy style ama?
Hizo ni past issue hazitatusaidia Mushi!sasa tuangalie tulipo tufanye nini?lakini tukianza kuzungumzia historia sana sana itatuumiza tu na tutashindwa kwenda step mbele!Africa hatuna historia yetu!tumekaa kulalamika tu badala ya kutake actions na kusonga mbele!
asante
Hollo
 
Sasa Obama akishinda atatusaidia nini sisi Watanzania?Jamani utafutaji wa kuwa na taifa zuri lenye wananchi wenye maisha mazuri upo mikononi mwetu wenyewe!Wewe kaka tu huko USA ukidhani wananchi wote wa tanzania wanaacces ya internet!SAHAU KABISA KUANGUKA KWA CCM!
Ni wananchi wangapi wanaacces na mtandao na Tanzania kuna wapiga kura wangapi?
Asante!
Hollo
Hivi unajua historia ya baba yake Obama na alivyokufa kwenye ajali yenye utatanishi wakati wa utawala wa Kenyatta?
 
Na huyu Kikwete aliyewekwa makusudi huko AU kama mwenyekiti tutamtoa nishai tu!
Ni kiongozi gani huyu mwenye maslahi na Afrika kwa jinsi alivyoiuza nchi yake mwenyewe?
Mataifa ya magharibi yanampenda na ndio maana yakampigia debe ili atumie jeshi kumtoa Mugabe madarakani!
Jambo ambalo hataweza na noma yake itasanuka...Asome ramani arudi upande wa wazalendo mapema!
Waombe msamaha nk.
Nafikiri huwa anakuja kusoma hapa JF!msg sent
Hollo
 
Mwulize Kibaki...Anamwogopa vibaya tu!
Mafisadi nao wana haki ya kumwogopa...Walimwogopa Baba yake wakamuua...Na sasa ni mtoto mtu na rungu la kufa mtu!
Nilshatoa wosia wangu kwa CCM kuwa wakae mkao wa ki uhuru uhuru!
 
Back
Top Bottom