Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 88,455
- 155,002
Hapo kwenye usomi tuna kasumba mbaya sana sisi. Hili neno la usomi au msomi limekuwa likirushwa rushwa kama kishada flani hivi. Wakati mwingine huwa nawaza kama inawezekana mtu kuwa msomi bila hata kwenda shule na kuhitimu na mashahada lukuki.
Subiri wanazi wa CHADEMA waione hii.
NN,
Watu wameridhika na concept ya usomi wa certification / midegree, siku hizi degree zinauzwa kwenye internet, Mkullo pamoja na ma Drs kibao serikalini wanazo.
Hata walioenda shule wapo kibao hawajaelimika/soma.
huwezi kuniambia wewe msomi/ umesoma halafu ukashindwa kitu kidogo kama ustaarabu, au kujua wapi kuweka suluhu mbele na wapi kuweka mapambano mbele.
Kwa kutojua wapi aweke suluhu mbele, na wapi aweke mapambano mbele, na kukosa ustaarabu, Wenje anayedai kasoma anajionyesha hajasoma lolote, labda kapitia shule tu.
Kenny Rogers katika "The Gambler" anakwambia
You've got to know when to hold 'em
Know when to fold 'em
Know when to walk away
Know when to run
You never count your money
When you're sittin' at the table
There'll be time enough for countin'
When the dealin's done