Kutoka bungeni: Jimbo la Mtera limekosa mbunge!

Kutoka bungeni: Jimbo la Mtera limekosa mbunge!

Kaongea upopompoo. Yeye mwenyewe popompoooo kabisa.
 
Nimemwona mh me mbe akisitika kimtindo! Huyu jamaa kaingia mlango kwa kutokea.
 
Alisoma wakati huo headmaster alikuwa anaheshimu watoto wa viongozi so ilibidi amalize shule then kapata jimbo.
 
<font size="3">Hebu ndugu Willium Malecela rudi kutoka huko uliko ukawasaidie watu wa jimboni kwako....itapendeza kama utakuwa mgombea wa CCM vs mgombea makini wa Chadema.Sasa hivi jimbo la Mtera halina mbunge,lipo wazi.</font>
<br />
<br />
agombee huko huko. Hatakiwi bongo huyo
 
Ni kweli kabisa ni yeye ndio anaetakiwa akapimwe akili. Hajui kuwa wapiga kura wake wanampima.
<br />
<br />
wana tofauti gani na mwakilishi wao? Kwa kuwa walinogewa na porojo zake kipindi cha kampeni (kibajaji), hata sasa wananogewa tu
 
Wabunge wa ccm kwasasa naona wote wamekuwa mawaziri wote wanajaribu kujibu na kupambana na hoja za cdm, huyu mbunge wa mtera leo alikuwa kama waziri kabisa.
 
Wabunge wa ccm kwasasa naona wote wamekuwa mawaziri wote wanajaribu kujibu na kupambana na hoja za cdm, huyu mbunge wa mtera leo alikuwa kama waziri kabisa.
i hate kilaza lusindi deadstone pyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!!!
 
Maskini wee,,wanamtera wangejua,wangemwache tu mzee Malecela aendelee. Sijui ni nani wa kupimwa akili kama siyo yeye. Tendo la kusema wabunge wa upinzani wakapimwe akili....totally alichemka! Ina maana wananchi waliowapigia kura hawa wabunge walikosa akili??? Huyu Kibajaji amekosa adabu kabisa!
 
Kwa kwel mnastahl pole nyng kwan mambo anayoyafanya mbunge wenu n ya kitoto mno kwanza hajiamini(nina wac na akili zake)kwan mambo anayongelea kwa m2 mzma kama yeye na mzalendo hawez kunena'AKAPIMWE AKILI
 
Yule si alizaliwa bila kichwa, wataalamu wakamuwekea dafu na leo hii ni mbunge. Ukishangaa ya BO utaona ya DO.
 
Mtera, walidanganywa na Mafisadi wakamtema Mzee Malecela bila kujua kwamba wale mafisadi hapo si nyumbani pao. Sasa wameshafanikiwa kumkomoa Mzee Malecela na wala hawakumbiki kama kuna kitu kinachoitwa Mtera wamewaachia jimbo lao na hili "Lidodoki" waangaike nalo.
 
Kwa ni amjui wa cameroon na behavior zao jamani
hao ni wale wale wazazi wenyewe walishawakana ccm ikawaokota
 
Ana mambo ya kipuuzi kweli yule mshikaji. Mashavu yake!
 
Huyu bwana uwa ana kauli za kutofikilia mara mbili, ndiye aliyesema CHADEMA ikishinda Igunga atajiua. Je kama ingetokea CHADEMA wakashinda angejiua? Wanajamii tusimuongelee Lusinde naana ndivyo alivyo na tunapoteza muda kumjadili. Poooooooooole Mtera, Poooooooooole Dodoma. Hata Tambe Kiza alisema ni bora kulala na mama yake mzazi (kingono) kuliko kurudi CCM. Wanatoa kauli tata, achana nao.
 
Ana elimu ya Darasa la saba, alikua muimba kwaya Lutherani kawe, na MC wa maharusi!
CV yake imeishia hapo
Anayetaka detail zake zaidi,nitampa
 
Huyo mbunge bila shaka aliletwa na mvua za mafuriko, ziletazo tope na kusababisha mgao wa umeme, maana ni hamnazo kabisaaaaaaa
 
Pole ziende pia nkenge, same mashariki, njombe na kwa mwigulu mzee wa wake za watu!
 
Back
Top Bottom