Kutoka bungeni: Jimbo la Mtera limekosa mbunge!

Wenje anasema elimu ni haki na si upendeleo, CCM imeifanya elimu kwa wananchi ni previledge na matokeo yake ni kunyima fursa watu kusoma na kumtolea nafasi mheshimiwa Lusinde kuwa matunda ya mfumo huo wa CCM, amekosa elimu kwa sababu tu muono hasi wa CCM na kumsihi Waziri Nahodha alione hilo....
Hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!

Bora ya Malecela kuliko huyo Lusinde maana alicho ongea sijui kinawasaidiaje wapiga kura wake.

wa kwanza yeye na hawa wabunge wa CCM huwezi kuwa na akili nzuri na kuipenda CCM kweli kabisa maana kweli hana akili anaongea vitu vya honvyo hata mbunge wa Kibakwe naye Simbachawene sijui naye hovyo

Mkuu Lusinde hajaomba mwongozo kutokana na speech ya wenje?? ama hakuwepo bungeni?

Hata kama yupo atafanya nini? atafanya niiini? endapo kweli ni kilaza wa kiukweli inabidi afiche uso asiumie zaidi...

Hivi CV ya Lusinde ipoje wengine hatumjui bajaji wa Mvumi

Kwa kweli nimefurahi kuona watanzania sasa wameanza kuelelewa nini CHADEMA wanataka kuwafanyia.Nilazima tutoke kwenye enzi za zidumu fikra za mwenyekiti na twende na hoja Mungu ibariki Tanzania

Chadema hongereni sana kw michango ya hoja zao bungeni.....,
kwa kweli wamejitahidi kuwasemea wananchi.

Mh wenje na mwenzie wa Mwanza Mh Kiwia leo waliwafurahisha watanzania, pacpo kumsahau Mh toka Maswa mashariki.!
Wao ndiyo aina ya Wabunge wanaohitajika ktk kipindi hiki ndani ya bunge letu.

Na yule Mh mbunge (CUF) wa Lindi Mjini naye jana alijitahidi sana ktk kuzungumzia nafasi wa Wabunge toka Vyama vya Upinzani.

Lusinde ni mmoja kati ya majuha ambayo hayajui yalienda mjengoni kufanya nini,aliniuzi sana jana baada ya mbunge wa chadema kumaliza kuongea,ina maana wabunge walio upinzan ni machizi?alafu na mwenyekiti jenista anafurahia upuuzi wa lusinde kana kwamba alichokisema kilikua na tija kwenye hotuba ile.

hapo ndo nilipo muona kumbe nae hamnazo maana alicheka sana kana kwamba kilichosemwa kilikuwa kinafurahisha zaid ya ujinga na ujuha 2 wa lusinde.

Hebu nielimisheni, kumbe alishawahi kugombea CDM 2005!

Tanzania ina viongozi "wasanii"-Lusinde
By Richard Williams | Published 09/30/2005 | Habari za Kitaifa |
Richard Williams

Tanzania ina viongozi "wasanii"-Lusinde
Tanzania imekuwa na viongozi waigizaji kwa muda mrefu,na jinsi wanavyozungumuza bungeni ni usanii.
Mgombea ubunge wa Jimbo la Mtera,kwa tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA), Livingstone Lusinde,alisema hayo hivi karibuni , katika Uwanja wa Ndumbwi,eneo la Mbezi juu, Dar-es-salaam
Alisema hayo alipokuwa anamnadi mgombea udiwani wa Kata ya Kawe,kwa tiketi ya CHADEMA , Nyarara Odeka.
"Tumekuwa na viongozi waigizaji,viongozi wa CCM ni mabingwa wa kuigiza na jinsi wanavyoongea bungeni ni usanii,"alisema.
Alisema kuwa hakuna ugonjwa unaoua kama malaria,lakini hakuna jitihada za dhati zinazofanywa na serikali ili kuepusha ugonjwa huo.
"Tufikie mahala tuanze kuwafikiria watawala wetu juu ya usanii tuchague viongozi kwa ajili ya hoja,wapimeni wagombea wote kwa hoja,"alisema.
Alisema siku hizi matatizo ya wananchi ya wananchi yanageuzwa kuwa mradi, na pesa za miradi zinaliwa na wajanja wachache. Aliwaasa wananchi kuchagua CHADEMA ili kuleta maendeleo ya nchi
Kutoka Gazeti la Tanznia Daima
Na Lucy Ngowi
30-09-2005

Huwezi kuwa ccm ukawa na akiri,huwa namheshimu huyo mama j.mhagama lakini nimemdharau tokana na yeye kuendesha kikan kwa ushabiki

That man aliongea bwana,kwa hisisa sana,,,,,,,lakin wapiiii
Chadema hongereni sana kw michango ya hoja zao bungeni.....,

kwa kweli wamejitahidi kuwasemea wananchi.

Mh wenje na mwenzie wa Mwanza Mh Kiwia leo waliwafurahisha watanzania, pacpo kumsahau Mh toka Maswa mashariki.!

Wao ndiyo aina ya Wabunge wanaohitajika ktk kipindi hiki ndani ya bunge letu.

Na yule Mh mbunge (CUF) wa Lindi Mjini naye jana alijitahidi sana ktk kuzungumzia nafasi wa Wabunge toka Vyama vya Upinzani.

Wenje anasema elimu ni haki na si upendeleo, CCM imeifanya elimu kwa wananchi ni previledge na matokeo yake ni kunyima fursa watu kusoma na kumtolea nafasi mheshimiwa Lusinde kuwa matunda ya mfumo huo wa CCM, amekosa elimu kwa sababu tu muono hasi wa CCM na kumsihi Waziri Nahodha alione hilo....
Hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!
Pia amewaeleza Watanzania kwamba hivi ni yupi bora kati ya Kichaa anayepiga kelele ili rasilimali za nchi zisiibiwe na Yule mtu msitaarabu na suti yeke lakini ni MWIZI. Akawataka wabunge vilaza wa CCM watumie nguvu nyingi katika kupinga uizi wa rasilimali za Taifa kuliko walivyo hivi sasa.

Mchango wa wenje ulikuwa mzuri sana...nilipenda pale alikopiga kwamba.serikali hii hii ndiyo iliyotupa fursa za kusoma lakini hiyo hiyo ndiyo iliyowanyima wengine fursa ya kusoma kama akina Livingstone Lusinde ! ! !

Si lugha ya kuudhi hii?haa ha ha...

Niliposikia Mzee Malecela amedondoshwa kwenye kura za maoni nilidhania kuwa aliyemdondosha bila ya shaka atakuwa ni kijana makini kwelikweli, lakini kwa ninayomsikia akiyaongea Bungeni, hakika Wana Mtera wamelamba galasa..

Yawezekana kuwa kweli ni kihiyo nimeingia tovuti ya Bunge sioni darasa la kwanza, Sec , wala chuo wala mwaka aliozaliwa bajaji huyu...baadaye akinunua vyeti ataanza naye kujiita Doctor...Parliament of Tanzania

Mnaomjua tafadhalini tupeni profile yake zaidi ya kuwa Katibu UVCCM tarime, na ni vipi aligombea Mtera akitoka CDM 2005?

Nilimkubali WANJE pale aliposema polisi wanakula rushwa kuiga maofisa wa idara za umma na mawaziri wanaokula rushwa.
Kimtindo alikaribia kusema polisi wamehalalisha rushwa kama mawaziri walivyohalalisha rushwa

alichochangia mwana JFs Ben khs William Malecela kurudi kuwa Mbunge wa Mtera Dodoma ni ushauri mzuri sana, maana kwa sasa Jimbo hilo haina Mwakilishi ktk Mjengo,

Kama Kununuliwa Nissan, kupiga misele New York, hata Mjengoni atapewa tsh sh 90,000,000 za kununua lxry cars! wenzio wapo ktk Range Rovers, BMW X5, Lexus etc. muhimu arudi tuu hapa bongo...!
Livingstone alizungumzia pia khs kuwa gari ya kifahari nje ya mjengo...!!

Jimbo halina mwakilishi, am not sure kama sheria za nchi zinaruhusu INSANE Person kuwa mwakilishi...! mtu unaweza mwita INSANE kutokana na matamshi yake n.k

Jamaa Livingstone hakujua anapaswa kuzungumza nn? wakati wa uchangiaji wa hoja ya Waziri wa Mambo ya Ndani,
mwana JFs moja kasema alitoroka mirembe yawezakana ni kweli kabisa, na kama ndiyo elimu zero tena kwa umri wake kijana yule, mbona ndiyo hatari zaidi..!

hauwezi tegemea kijana anazungumza upuuzi kiasi kile! hii ni hatari sana,
kwa wale wanafunzi waliokuwepo mjengoni asbh, upande wa wageni wa jengo cjui walijifunza nn toka kwa huyu jamaa..?

bila aibu ya ujinga Jamaa walilipuka kama kawaida yao..!

naona wanamsema yule mbunge lamerk wa mwanza ambaye kashagoma kabisa kuhudhuria vikao vya bunge kisa anasema anataka kuwa bega kwa bega na wapiga kura wake. kumbe anakimbia hoja za upinzani - jamaa ni seven ya miaka ile ya 80.

weye.!

Cv ya Lukuvi !!!???

Lukuvi ni sawa na Lusinde tuu kwani tofauti ndogo illiyopo wakati Lusinde karidhika kabisa na elimu yake ya darasa la saba, Lukuvi alichakachua vyeti vya sekondary ... yaani ni darasa la saba mwenye vyeti (feki) vya sekondary bila ya kusoma ...

Similar Discussions

Back
Top Bottom