Kuna wakati wa kuongea kwe mifano na wakati wa kusema mojakwa moja. Kwa vile Bw. Lusinde alishaashiria kuwa kina Wenje hawana akili, basi kwa kumtaja mojakwa moja walitaka akose cha kuwalaum. Kwani angesema wananidhalilisha wangesema, ndiyo maana tunataka daktari aletwe, maana yake ni kumhakikishia kuwa wao ni fyatu! Kwa ufupi, yeye kayaanzisha haya, anapaswa ajiandae kuyakabili bila kuetetemeka na kujikojolea.
Aibu kubwa ni pale Naibu Spika anapoonekana kuchekelea maoni ya Lusinde kutaka kuwapima wabunge! Hawajui kuwa ombi kama hilo akilipitisha, yeye na Lusinde ndo wata soma POSITIVE katika kipimo cha vichaa!
Watanzania wameamka, hata ufanyeje, wanajali hoja. Mbona wenzao kina mama Malechela wana hekima? Pale kwenye maslahi ya Kitaifa wanaweka pembeni u chama... Lusinde, kwetu jina lako ni tusi kubwa.