mwiba uko wapi?
hebu njoo utueleze nini walikusudia?
maana wao walisema CCM zanzibar wako karibu zaidi kuliko wao na wakafika kumtaja mmoja wa mawziri wa muungano kuwa alikuwa YOU ya ZNP sasa hili vipi ?
Mwiba mwaka huu mtapoteza tu ndugu yangu
Nilikuwa sipo na bahati mbaya sina njia ya kuona kilichotokea japo kimetokea ,lakini la kujiuliza ikiwa sisi sote tumekwenda shule ,hivi uliona wapi sarafu yenye rangi spesho hizo sarafu za zamani wakati wa Chifu Mkwawa au Sulutani ? Hapo tu !! Nashangaa uzezeta wa CCM kushangilia sijui baada ya mmoja wao kuwazidi maarifa wenziwe na kutaka kupoteza mambo muhimu yaani wamekosa cha kusema sasa haijulikani wanalipeleka wapi Taifa hili, hebu nenda ka gugule halafu lete sarafu za Zanzibar tuone yenye rangi ya bendera za CUF.
Yaani nashindwa kuelewa kinachoongelewa ni kitu gani ?
Ngoja niweke hii picha ya sarafu ambayo ndani yake imo mezani:-
Sasa hapo tumepata mizani au sio mtasema kwenye bendera ya CUF kuna mezani ,hivi mahakama katika nembo zao hakuna mezani ?
Basi na hii hapa sarafu nyengine:-
Hapa mtasemaje maana huyu ni British kwenye miaka ya 1880 , wacheni kushangilia upumbavu ,samahanini ,lakini tuseme tunapelekwa wapi na majuha hawa ? wanaacha kujadili namna ya kurudisha feza na kuwakamata mafisadi wanaenda kuonyeshana sarafu ,hivi hii hoja ilianzaje huko bungeni kama haikuanzishwa na CCM ni bahati sana maana ndio wanayokwenda kujadili huko kumbe wanaficha mijimambo ,yaani hii yote ni kutaka kujibabaisha,haya na picha hiyo pelekeni bungeni muwambie kuwa waarabu hao :-
Hawa ndio kiboko ya mafisadi nyie endelezeni kulindana lakini ONE DAY YES.