''kutingisha.''

''kutingisha.''

OPPSitsCOPYRIGHTEDthanksSTEALITD-2.jpg
 
vyote ni viungo tuu....mbona mtu akiwa na mguu saizi 42 haisemwi mashaallah heeheheheheeee

Sasa Paloma si ndio maana vikapewa majina tofauti kutokana na umuhimu wake........ au ?
 
Siku hizi wanawake wanatembea kama mabaunsa.....wanavaa viatu virefuuuu.....alafu wanaweka mabega na kifua juu.....ukikutana nae kwenye korido kama hamna mtu mwingine unaweza ukakimbia ukifikiri anakuja kukupa mkong'oto.

hahahahahah! ah u have made my siku! lol!
 
Hizi expectations za wakaka huku barabarani kumbe shughuli.....mimi nafikiri muondoko unakuja tu automatically kutokana na umbo la mtu. Hebu mtafute kimbaumbau uone kama huo mwondoko unaoutaka wewe utakuja...
 
hahaha! nimetaka kukanusha roho imenisuta! hahah "guilt", ila si saaana!

Avatar zinasema mengi sana sema watu hawajui tu.........niliona yako nikajua tu lazima unapenda fashion..
 
Hizi expectations za wakaka huku barabarani kumbe shughuli.....mimi nafikiri muondoko unakuja tu automatically kutokana na umbo la mtu. Hebu mtafute kimbaumbau uone kama huo mwondoko unaoutaka wewe utakuja...

Dina sio lazima wowowo tu, mbona kuna wangine wembamba lakini kiuno nyoronyoro.....sasa ukiwa mwembamba alafu utembee umenyanyua mabega na kifua....kiuno hakiwezi cheza..... unakua kama robort. Ila ukimkuta mwanamke mwembamba anachanganya catwalk na kulegeza kiuno (kukizungusha kiaina) huwa anapendeza sana.
 
Avatar zinasema mengi sana sema watu hawajui tu.........niliona yako nikajua tu lazima unapenda fashion..

uko makini, nami nimejaribu kuangalia "avatar" yako..................
 
nakumbuka enzi zile wowowo tukiita msondo basi dem akipita ule msondo unavotikisika sisi tunaimba singida dodoma mwanza kigoma singida dodoma mwanza kigoma!
 
nakumbuka enzi zile wowowo tukiita msondo basi dem akipita ule msondo unavotikisika sisi tunaimba singida dodoma mwanza kigoma singida dodoma mwanza kigoma!

Basi kulikua kuna mademu wengine wababe...mkianza tu kuimba yeye anasimama alafu anawageukia, akigeuka tu nyie mnafyata, mnageuza shingo mnajifanya mnaongelea mambo mengine..
 
Siku hizi tunatembea wazima wazima... Mwendo wa Kimiss, sasa hilo wowowo saa ngapi kulitingisha?

Na wengine masaburi yamekakamaa hayatikisiki.... Sasa ujipe shida ya nini kutikisa kitu kisicho tikisika..! Lol
Nimepiga ka kicheko kidogo, masaburi duu!,
 
ha ha ha ha ha haa ha ha ha ha ha ha ha ha aha ha aha aha aha aha aha
Siku hizi tunatembea wazima wazima... Mwendo wa Kimiss, sasa hilo wowowo saa ngapi kulitingisha?

Na wengine masaburi yamekakamaa hayatikisiki.... Sasa ujipe shida ya nini kutikisa kitu kisicho tikisika..! Lol
 
Tena siku hizi binti akitembea anajitikisa tikisa masaburi yake watu wanamuona "huyu wa wapi huyu.."!!

Hawaulizi ila wanasema hawa ni wa Kwamtogole, Manzese Midizini, Kigogo etc ambao usubuhi full kanga moko na mitikisiko ya pwani.
 
Wengine hata hatujui tunapenda nini kwenye haya mambo...

Babu DC!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom