Blue G
JF-Expert Member
- Jun 20, 2012
- 5,339
- 3,674
Haaaaaahaaaaaaahaaaaaa Neylu umeniacha hoi mi hapa mbavu sio zangu ujue???????
Siku hizi tunatembea wazima wazima... Mwendo wa Kimiss, sasa hilo wowowo saa ngapi kulitingisha?
Na wengine masaburi yamekakamaa hayatikisiki.... Sasa ujipe shida ya nini kutikisa kitu kisicho tikisika..! Lol
Last edited by a moderator: