''kutingisha.''

''kutingisha.''

sarikoki

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
1,194
Reaction score
721
Sijui hii staili ya wakina dada ya kutembea imepotelea wapi sikuhizi......wale vijana wenzangu wa zamani watakumbuka msichana alikua akijulikana na kusifiwa zaidi kwa kiwango chake cha kutingisha (wowowo)...... umahiri na mbwembwe wa kuzungusha kiuno wakati wa kutembea ndio ulimpa sifa na vijana ndio walivutiwa na wasichana wa aina hiyo haijalishi sura......
Ndio maana saa nyingine kwa baadhi yetu unaweza ukajiuliza hivi mshua alimpendea nini maza? kumbe basi zamani haikuwaga tu sura......kuna vitu vingi sana vilichangia mwanamke kumvutia mwanaume.....
 
Siku hizi tunatembea wazima wazima... Mwendo wa Kimiss, sasa hilo wowowo saa ngapi kulitingisha?

Na wengine masaburi yamekakamaa hayatikisiki.... Sasa ujipe shida ya nini kutikisa kitu kisicho tikisika..! Lol
 
Asanteee.....
Nimecheka sana kama mwehu..lolz
Umesahau kama mchina kaleta yale mororo...

Siku hizi tunatembea wazima wazima... Mwendo wa Kimiss, sasa hilo wowowo saa ngapi kulitingisha?

Na wengine masaburi yamekakamaa hayatikisiki.... Sasa ujipe shida ya nini kutikisa kitu kisicho tikisika..! Lol
 
Siku hizi tunatembea wazima wazima... Mwendo wa Kimiss, sasa hilo wowowo saa ngapi kulitingisha?

Na wengine masaburi yamekakamaa hayatikisiki.... Sasa ujipe shida ya nini kutikisa kitu kisicho tikisika..! Lol

Siku hizi wanawake wanatembea kama mabaunsa.....wanavaa viatu virefuuuu.....alafu wanaweka mabega na kifua juu.....ukikutana nae kwenye korido kama hamna mtu mwingine unaweza ukakimbia ukifikiri anakuja kukupa mkong'oto.
 
Neylu hata kiuno basi kizungushe kiaina.....usitembee kama roboti.
 
Zamani yalikua analojia ila ya siku hizi yako kidigitali zaidi. Hayatingishwi hovyo hovyo.
Naipenda analojia ina raha yake sana. Dijitali full complexities
 
Siku hizi wanawake wanatembea kama mabaunsa.....wanavaa viatu virefuuuu.....alafu wanaweka mabega na kifua juu.....ukikutana nae kwenye korido kama hamna mtu mwingine unaweza ukakimbia ukifikiri anakuja kukupa mkong'oto.

Hahahaaa... Wewe inaelekea muoga wa mkong'oto sana..! Wenzio huo mwendo ndio wanauzimikia..!

Tena siku hizi binti akitembea anajitikisa tikisa masaburi yake watu wanamuona "huyu wa wapi huyu.."!!
 
Mchina kaharibu soko la kujitingisha, sasa hivi unayapachika tu kama haya inakuwa umemaliza kila kitu.
Hatamkeoakistukiauponahuyuhawezikukulaumu.Atajuaunahakiyakuchanganyikiwa.jpg
 
Ahhh vi babe vya siku hizi mtaviweza vinaongea spanish kabisa hay papi asi, hay asi, mas rapido-pale vina sex:biggrin:
 
Hahahaaa... Wewe inaelekea muoga wa mkong'oto sana..! Wenzio huo mwendo ndio wanauzimikia..!

Tena siku hizi binti akitembea anajitikisa tikisa masaburi yake watu wanamuona "huyu wa wapi huyu.."!!

Hehehe siogopi kipondo bwana, tena cha demu?....kipindi kile ilikua lazima wafunge kanga ..unakuta demu kafuka kanga kaikazaa vibaya mno ili impe pozi la kukata kiuno huku anatembea.........nafikiri wanaume mnatulazimishwa tupende mwendo wenu wa kibabe......hebu nenda uswazi hukoo ndani ndani alafu ukutane na mtoto wa kike anaenda dukani kafunga kanga.......utamkoma mwenyewe....kuna mmoja nilimkutaga alikua peku miguu ina vumbi ila tembea yake wote niliokua nao garini walikata kauli na kumgeukia kumtazama.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom