babe S
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 3,879
- 20,859
hehehe your kidding eeh...........
tehtehteh.......ulivosema....... yes i was jus kiddin
hehehe your kidding eeh...........
Sijui hii staili ya wakina dada ya kutembea imepotelea wapi sikuhizi......wale vijana wenzangu wa zamani watakumbuka msichana alikua akijulikana na kusifiwa zaidi kwa kiwango chake cha kutingisha (wowowo)...... umahiri na mbwembwe wa kuzungusha kiuno wakati wa kutembea ndio ulimpa sifa na vijana ndio walivutiwa na wasichana wa aina hiyo haijalishi sura......
Ndio maana saa nyingine kwa baadhi yetu unaweza ukajiuliza hivi mshua alimpendea nini maza? kumbe basi zamani haikuwaga tu sura......kuna vitu vingi sana vilichangia mwanamke kumvutia mwanaume.....

Mnatuwezaga kweli apo sakapal.. na kanga yenyewe iwe transparent ivi...daah umenikumbusha mbalii kufunga khanga kwa mschana zamani ilikuwa mwake nowdays ukifunga khanga unaonekana wa bush. Mie sometime huwa namtega hubby na khanga then namcheki anavokodoa macho utaskia baada ya dakika kadhaa, ................... mama Rainer njoo hapo yeye keshatangulia room huuuuhuuuuuuuuuu
Siku hizi wana mapambo mazee.
Wanapaka make ups wanaweka nywele zao vizuri na attention zime shift kidogo.
Zamani ilikuwa focus kwenye Khanga tu!