Kutesa Kwa Zamu- Ikulu


Just take some times kusoma posts zako uone ulivyodevelop hate na obsession kwa Mkjj and now kwa JF. Inaonekana unahitaji some kinda treatment toka kwa Ngabu or SteveD!

Otherwise, ninaona vitu vyenu kwa Pats, Red Sox na Celtics. Take it cool, punguza hasira na chuki dhidi ya Mwanakijiji na uone vile life yako itakuwa very ize. Punguza pia kupondea JF na life yako itakuwa smooth hadi ushangae.

Kuwa na nice day pia!
 

YNIM, jiunge kwenye klabu ambayo tayari ina wanachama wengi... angalia posti yangu ya kwanza kuhusu "kutesa kwa zamu Ikulu" uone nilisema nini (nothing really). Angalia posti iliyohamishwa kuhusu baraza la mawaziri nilisema nini na the efforts I took to confirm it. Tatizo lako wewe (kama wengine kwa makosa) unafikiri suala la picha ni bluff. Nilichokosea ni kusema ninazo ningekaa kimya tu ingekuwa bora. Lakini ningekaa kimya uchafu wa viongozi wa kisiasa ungeendelea kumwaga hapa kama ujinga! Niliamua kuwaambia zipo na ningeziweka hapa kwa sababu watu wajue "ukijua hili wenzio wanajua lile". Ulisikia baada ya kile kilichotokea hapa watawala wetu wamesema nini.. wamekuja na suluhu, hata gazeti lao la Majira lililoandika upuuzi limeingia kwenye suluhu na sasa wanaelewa kuwa kuna nguvu katika mtandao wa mawasiliano. Ujumbe uliotumwa ulikuwa loud and clear, mimi nimeelewa, wao wameelewa na wachache hawataki kuelewa. Hivi umejiuliza mbona hujasikia mazungumzo ya uchafu kama huo kuendelea? unafikiri ni ajali tu. Tumeirudisha JF katika hadhi yake na hilo sisi sote lazima tuone fahari! I know we have to pay a very heavy price ya kufanya hivyo.

Unafikiri ni kwanini a day after Rais JK alitaka siasa za uchafu ziachwe? Ukirudi na kusoma maelezo ya zile picha utaona kuwa wale wanaojua uwepo wa picha hizo wameelewa description na wanaohusika wanaelewa I aint' bluffing. Kugoma kwangu kuziweka hadharani au kumtumia mtu mwingine yoyote ni uamuzi ambao nimeufikiria na hata baadhi ya watu wa karibu kabisa sijawapatia. Sasa mimi kutokufanya hivyo imekuwa ni "kujishushia hadhi" kwa vile sijawapa watu picha hizo hapa au kuzibandika hapa na hilo ni sawa na ufisadi, believe me I'm ready to pay that price! Ndio maana sijamwomba msamaha mtu yeyote na wala wasitegemee! Kwenye mambo ya kuomba msamaha mimi sina tatizo lolote lakini kwa hili I am more than on a solid ground..

Sasa wewe kama wengine mkitaka kutumia "mwanakjj" kama punching bag ya hoja zenu you are more than welcome, nimeshasema I can take any punch and i can give mine too, and a quite a few of them as a matter of fact.
 


This guy needs psychotherapy urgently! Maybe we can create a rehab corner somewhere here in JF to help people like this guy.
 
Mwanakijiji, some things are better left unsaid. Maybe you should have just kept quite. I don't know...that's just what I think.
But can you really take a punch...has your chin really been tested by someone who can punch...or you're just bluffing again..? Someone told me you punch like a woman...Lol
 

Hahahaha...Mwafrika what's up? Yeah..I think dude needs some of that prescription strength psychoactive medication...Let me see how I can help him...
 

yeah.. nisitambe kupunch kwani one time nilipokuwa boarding school nikajifanya nataka kujiunga timu ya ndoni ya shule. Tukapewa gloves, rafiki yangu si akanishtukiza "Pu!" usoni nikaanguka chini nikaanza kuona nyota na ndege wakiruka ruka. Nilipozinduka nikavua gloves na kwenda kujiunga na timu ya Soka!! Lakini nikaapa, I'll never let a person even dish me you do that I punch you!! LoL.. sitaki kuwa kwenye floor huku nahesabu mienge!
 
Kitila Mkumbo said:
This guy needs psychotherapy urgently! Maybe we can create a rehab corner somewhere here in JF to help people like this guy.

Yes Kitila, so far tuna madaktari bingwa kabisa hapa JF ambao wanafanya hiyo kazi kwa mafanikio kabisa - Ngabu na SteveD.

Soma hii ya the legendary Ngabu:

Hahahaha...Mwafrika what's up? Yeah..I think dude needs some of that prescription strength psychoactive medication...Let me see how I can help him...

Unajua YNIM sometimes anachukulia life so serious hadi sasa inabidi awekwe kwenye dozi kwa lazima... ha ha haha ha
 
mwafrika mbona hukutuambia binti yetu kawa mshindi wa tatu.. you know tulipiga debe na ni kwa juhudi zako ameweza kutesa.. yaani wabongo tunatesa kuanzia Afrika Kusini, sasa America na mwezi ujao Sanya!!!!
 
mwafrika mbona hukutuambia binti yetu kawa mshindi wa tatu.. you know tulipiga debe na ni kwa juhudi zako ameweza kutesa.. yaani wabongo tunatesa kuanzia Afrika Kusini, sasa America na mwezi ujao Sanya!!!!

Acha tu,

yaani mi nikajitolea kumpigia debe mwanaccm hapa kwa nguvu zote na kuonyesha utaifa wangu lakini watu wakanishikia bonge la bango na waka-whine kama hawana huruma vile!

Nimeona nijikalie kimya tu maana naona ninavutiwa na siasa zaidi kuliko hayo mengine!

Thanks kwa kuonyesha hili pia!
 
....i see classes in this JF house, jamani content matters na si vinginevyo, yaani hi thread inapoelekea ni pure joke and dont get me wrong it started well!! dont deviate from the main point guyz!! NI MTAZAMO TU MSICHUKIE!!
 
Moderators hii thread sasa inatakiwa ipotee kiaina kama ilivyopotea ile fake breaking news kuhusu JK kuvunja cabinet. Hii nayo ni fake kabisa na inatupotezea muda tu. Madamu Huruma amepotea na mikwara yake itoeni tafadhali.

PS: Hii tabia ya kudanganya ilianza na yale mambo ya picha na naona sasa inazidi kuota mizizi. MKJJ: You opened a pandora's box and this bad habit may never end soon, you owe us a huge apology once again!
 
This guy needs psychotherapy urgently! Maybe we can create a rehab corner somewhere here in JF to help people like this guy.

Psychotherapy!!!!? sijui hata kama unajua jinsi inavyofanywa. Well, sipo hapa kukubaliana na wewe kwani ni dhahiri hatuongei lugha moja...........tatizo lako unapenda kukimbilia personals!!. Ati I need psychotherapy, what a cheap argument to make ktk online forum?? Haya bwana, nakutakia siku njema. Kasome tena Segmund Freud!!!! ni ushauri.
 


mzee mwenzangu nisaidie tu niombe radhi kwa lipi?
 
Ooh, hivi sikuweka "kidding" mbele, pole na samahani sana. it's 100% a joke!

Mr. Kitila if u wanna make jokes you are welcome to join the circus, this is a bit serious, for instance mi nipo hapa nimetoa macho nusura nikupe Thankx.Wrong timing for the jokes bro!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…