Hii mie niliistukia ni uzushi pale tu nilipoiona, watu hapa inabidi waache kuwa naive, its a dog eat dog world we'r living in.
Huruma, Hasara na maustaadhi wengine wawili majina kapuni si waaminifu. MWKJJ nae siku za karibuni amekuwa anashabikia sana upuuzi huu wa kuwapigisha watu kanyaboya, yeye anafikiri ni sifa kumbe ana jiharibia credibility yake(kama anayo). Prove ya tuhuma hizo juu ya MWKJJ....... ni wewe kuangalia juu ya thread hii, ile ya picha za JK na ile inayosema kwamba kanunuliwa, utaona maongezi yake na kama upo 'gado' mukichwa basi utaona ka-pattern flani hivi ka-kifisadi!!!.
Nyingi........sijui ninyi wenzangu lakini mie nikiona "kuku mgeni" kaja na "news mvunjiko" basi huwa nakuwa makini bin skeptical na si kujiunga tu na band wogan, ktk mtkasi wa kukidhi ile 'mentality' ya kuwa kwamba mie pia nilikuwapo, nilichangia au vyovyote, utajijua akilini mwako ulikuwa unafikiria nini wakati unachangia kwenye thread ya kizembe.
Mfano kuna thread hapa mpya imekuwa posted masaa machache yalopita, juu ya baraza la mawaziri kuvunjwa. Angalia ile thread vizuri.............mie naweza kusema alopost alikuwa analengesha, hana data na ni mzushi.
Siku za nyuma hapa nilisha sema kwamba wale walozoea kudeka/kudekezwa basi wakae wakijua kwamba "nanny" kachukua vacation......na ktk kila story kuna version mbili aidha zinakuwa binafsi au kwa pamoja. Nazo ni authentic news au kanjanja(bootyleg) news..........wasee, sio kila thread yenye kichwa cha habari kizuri basi ukategemea kupata your time wealthy materials. Wasanii wamekuwa wengi, ila tu watu hawa wakae wakijua kwamba tabia hii nayo ni UFISADI.
Nilikuwa natoa my two cents, Thanx.