Kutesa Kwa Zamu- Ikulu

huruma

New Member
Nov 10, 2007
1
0
Kikwete,Lowassa na E.Hosea- $ BoT 2005 wote lao moja watanzania ndiyo wanaoumia ikulu haina heshime kabisa ni business center JK na Lowassa 75% wanao zungumza nao ni wafanyabiashara, iliyo baki ni wasomi na walalahoi. kuna kauli zinatika kwenye famili za viongozi wanasema kutesa kwa zamu. maana yake ni nini?

Baada wao kuchukua pesa nyingi Benki kuu za kusaidia kampeni ya CCM,Rostam Azizz alikwenda London kuwa na maongezi na Hosea na kumuofa hiyo nafasi JK alimtuma kwasababu mambo nyeti JK atumii simu kabisa kutokana na kurekodiwa maongezi yake JK anawatu wake special wakuwatuma kupeleka ujumbe, au akumtumia watu wasiyofanya kazi serikalini kupeleka ujumbe,

timu iliyo pangwa katika uongozi wa serikali ya awamu ya nne wanajuwana wote akuna atakaye weza kumsemea mwezake, ndiyo sababu kila mtu ananguvu kwenye nafasi aliyo nayo anaweza kufanya anachotaka bila kuongopa nini kitatokea.

wafanyabiasha wengi wanaingia ikulu usiku na mchana kwa kishindo wengine wanaingizwa na magari ya ikulu bila kupita kwenye sehemu ya kuchekiwa, kama watanzania wangelipata kujua haya yanayotendeka hapa ikulu basi wangeliamua waishi maisha ya namna gani, hakuna maisha bora kwa watanzania, hii ni ndoto.

Hosea alipewa nafasi hii kwasababu yeye ndiyo mtoa taarifa kwa viongozo kuhusu ufisadi, viongozi wote wanajijua wako sawa kwasababu akuna mtu wakuwageuka.

kuwa na serikali yenye matatizo kama hii inatokana na uwezo mdogo wa Kufiki wa Rais na washauri wake jinsi ulivyo.

kuna list ya watu waliyo pewa nafasi za uongozi kwasababu walikuwa wakotehari kumwaga mboga kwa wale waliochafuliwa kwenye kampeni,waliousika na wizi wa kura,walio chukua pesa chafu zikatumika kwenye kampeni, watu wajinga wajinga tu.

hapa kazini wafanyakazi wengi na makundi mengi kila aliye karibu na muheshimiwa basi na sauti yake inakuwa juu,

Samahani kwa mtoa hoja nimekuwa msomaji mzuri hapa ofisini kwangu watu hafanyikazi asubui kabla hawajasoma hapa hii Jambo Forum imekuwa bora kuliko magazeti.

ninaoba nijiunge na nyiye hapa ni wape maoni yangu kama mtaniakikishia usalama wa maisha yangu na familia yangu na kaumri pia kamesogea nimechoka na kunyenyekea watoto wasiyokuwa nanizamu kwa wazazi wao kwa sababu ya madaraka mimi siyo mwana siasa mimi nimesoma ninaelemu nzuri ndiyo sababu wakanipa kazi nipo kwenye nafasi kubwa na mengi machafu ninayo mezani kwangu, jamani simnajua nikiandika kisomi itakuwaje nyiye mnachotaka ni ujumbe ufike ''usiangalie kiswahili changu''nitatoa na ushaidi wa copy kama mtahitaji.

ninaomba samahani niliingia bila kukaribishwa kama mwanaJF MTANZANIA kunikumbusha asante nina kushukuru sasa ninaomba kutoa hoja

Huruma
 
Mmmmmhhhhh! kuna kazi JF mwaka huu. Mkuu Huruma, karibu JF. Naona post yako ya kwanza tu ni mawe matupu. Wengine tulifundishwa, unapiga hodi kwanza na kusalimia kabla ya kumwaga ujumbe.

Karibu mkuu, endelea kutuhabarisha kwa faida ya nchi yetu na JF.
 
Huruma karibu sana JF, hapa twaongea waziwazi.
Pia, wengi tunabishana kwa vielelezo, iwe takwimu ama picha ama chochote kile cha kuthibitisha ukweli, hapa ndio mahali pake.
Karibu utupe yaliyo jikoni.
 
Mkuu Huruma,

Heshima mbele mkuu, it sounds kama kumkoma nyani hasa giladi, lakini more proof mkuu, I mean the juice is there lakini more proof, yoyote ile maana hapa in a minute wananchi wataijua kama ni fake au genuine,

Lakini otherwise I like it na karibu sana mkuu, ila please more proof, angalau nilikuwa naye pale au hapa!

Mkuu Yoursname,

Naona tuingie kwenye game sasa Giants VS Cowboys, later wakuu baada ya game!
 
Karibu mzee huruma,
uniwie radhi kama nimekosea kukuita Mzee.
Nakutahadharisha jambo moja tu, kwamba ukileta hoja hapa kumbuka pia uwe na ushahidi kulinda hoja yako. vinginevyo utakutana na vigingi mfano hakuna.
 
Mmh!, haya endelea Huruma, kama walivyotanabahisha waliotangulia weka mambo hadharani pasi na shaka huku ukiambatanisha na shahidi zako. JF ni kwa ajili ya kila mtu.
 
Mkuu, Huruma hapa ndo uwanja wenyewe, haangaliwi mtu usoni, nyoka anaitwa nyoka siyo mjusi mrefu! La muhimu usisahau viambatanisho na risiti zote muhimu za habari unayo mwaga!

KARIBU
 
Mzee Huruma karibu sana hapa JF. Tuletee hivyo vitu vizito lakini kuwa mwangalifu mno usije ukamwaga unga au hata kupoteza maisha yako. Kwa mara nyingine tena karibu sana.
 
Hodi ya nini?

Sisi tunataka mchango wa mawazo hapa JF.

Kila mTz ni mwenyeji hapa isipokuwa mafisadi tu.

Huruma ni kwa wananchi tu kwa mafisadi ni kisago mtindo mmoja.
 
Huruma

Huu uvundo ndio hasa tunataka kuukata mzizi, karibu sana na siku ya siku utaweka hapa scanned copies ili kumkoma nyani giladi mchana kweupe. Usijali na kiswahili wewe weka nondo za uhakika tu.

Karibu sana.
 
It is good to see even peope who work in the center of cav. wanaamua kuwa wakweli. As far as you remain anonymous maana wakijua. Katika vita hii ya ufisadi na uuzwajiwa nchi dont trust anyone unles except yr keyboard and Mouse!! lol. Lete data nasi tutajazia.
 
Hivi huamisho wa Mkuu moja hapo Ikulu Hivi karibuni ndio mwanzo wa hao waliochoka?
Sitaki kusema ndio huruma, but could be mdhibiti mkuu?
 
Karibu Ndugu Huruma....ingawa mimi mwenyewe sina muda mrefu humu ndani lakini nimesoma habari nyingi humu ambazo zimenifungua macho na nunifanya niwe na alama ya kuuliza. Habari uliyoandika ni muhimu sana nakutakia mafanikio na maendeleo mema.
 
Kikwete,Lowassa na E.Hosea- $ BoT 2005 wote lao moja watanzania ndiyo wanaoumia ikulu haina heshime kabisa ni business center JK na Lowassa 75% wanao zungumza nao ni wafanyabiashara, iliyo baki ni wasomi na walalahoi. kuna kauli zinatika kwenye famili za viongozi wanasema kutesa kwa zamu. maana yake ni nini?

Baada wao kuchukua pesa nyingi Benki kuu za kusaidia kampeni ya CCM,Rostam Azizz alikwenda London kuwa na maongezi na Hosea na kumuofa hiyo nafasi JK alimtuma kwasababu mambo nyeti JK atumii simu kabisa kutokana na kurekodiwa maongezi yake JK anawatu wake special wakuwatuma kupeleka ujumbe, au akumtumia watu wasiyofanya kazi serikalini kupeleka ujumbe,

timu iliyo pangwa katika uongozi wa serikali ya awamu ya nne wanajuwana wote akuna atakaye weza kumsemea mwezake, ndiyo sababu kila mtu ananguvu kwenye nafasi aliyo nayo anaweza kufanya anachotaka bila kuongopa nini kitatokea.

wafanyabiasha wengi wanaingia ikulu usiku na mchana kwa kishindo wengine wanaingizwa na magari ya ikulu bila kupita kwenye sehemu ya kuchekiwa, kama watanzania wangelipata kujua haya yanayotendeka hapa ikulu basi wangeliamua waishi maisha ya namna gani, hakuna maisha bora kwa watanzania, hii ni ndoto.

Hosea alipewa nafasi hii kwasababu yeye ndiyo mtoa taarifa kwa viongozo kuhusu ufisadi, viongozi wote wanajijua wako sawa kwasababu akuna mtu wakuwageuka.

kuwa na serikali yenye matatizo kama hii inatokana na uwezo mdogo wa Kufiki wa Rais na washauri wake jinsi ulivyo.

kuna list ya watu waliyo pewa nafasi za uongozi kwasababu walikuwa wakotehari kumwaga mboga kwa wale waliochafuliwa kwenye kampeni,waliousika na wizi wa kura,walio chukua pesa chafu zikatumika kwenye kampeni, watu wajinga wajinga tu.

hapa kazini wafanyakazi wengi na makundi mengi kila aliye karibu na muheshimiwa basi na sauti yake inakuwa juu,

Samahani kwa mtoa hoja nimekuwa msomaji mzuri hapa ofisini kwangu watu hafanyikazi asubui kabla hawajasoma hapa hii Jambo Forum imekuwa bora kuliko magazeti.

ninaoba nijiunge na nyiye hapa ni wape maoni yangu kama mtaniakikishia usalama wa maisha yangu na familia yangu na kaumri pia kamesogea nimechoka na kunyenyekea watoto wasiyokuwa nanizamu kwa wazazi wao kwa sababu ya madaraka mimi siyo mwana siasa mimi nimesoma ninaelemu nzuri ndiyo sababu wakanipa kazi nipo kwenye nafasi kubwa na mengi machafu ninayo mezani kwangu, jamani simnajua nikiandika kisomi itakuwaje nyiye mnachotaka ni ujumbe ufike ''usiangalie kiswahili changu''nitatoa na ushaidi wa copy kama mtahitaji.

ninaomba samahani niliingia bila kukaribishwa kama mwanaJF MTANZANIA kunikumbusha asante nina kushukuru sasa ninaomba kutoa hoja

Huruma

Karibu mzee, tuletee hayo mambo tumkome nyani giladi mchana kweupe. Hapa usalama upo, hakuna shida. Kuwa huru, thubutu kuongea ni haki yako. Na ni njia mojawapo nzuri ya kujenga nchi yetu. Karibu sana ndugu Huruma.
 
Kuwa mwangalifu na computer unayotumia

Nami naweka msisitizo: Kuwa mwangalifu Mzee wangu kama upo hapo jikoni au siyo hiyo itakuwa posti yako ya kwanza na ya mwisho!! KARIBU.
 
kuna list ya watu waliyo pewa nafasi za uongozi kwasababu walikuwa wakotehari kumwaga mboga kwa wale waliochafuliwa kwenye kampeni,waliousika na wizi wa kura,walio chukua pesa chafu zikatumika kwenye kampeni, watu wajinga wajinga tu.

Huruma

karibu sana bwana huruma,
tuhurumie sie watanzania tulio mazuzu,
tusiofahamu wayafanyao wakubwa,
Kwa huruma yao naomba utupe list ya watu
 
Nami naweka msisitizo: Kuwa mwangalifu Mzee wangu kama upo hapo jikoni au siyo hiyo itakuwa posti yako ya kwanza na ya mwisho!! KARIBU.

Data Protection Act 1984,haihusiana na mambo yanayohusu Forum,Kimsingi fanya ufanyalo ,unalindwa na ibara ya 22 ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Check ID yako Vizuri maana ni rahisi sana kwa mtu kutrace kwa kuscan document.Make sure Document zako zote ziko katika PDF<then ndio uziweke hapa
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom