Mnamo Mei 2019, Adeleye, mama aliyekuwa mfanyakazi wa kulea watoto mwenye umri wa miaka 73 kutoka nchini Nigeria, alihukumiwa kifungo cha miaka 15 jela huko Prince George’s County, Maryland, Marekani. Adeleye alipatikana na hatia ya mauaji ya second degree muder na unyanyasaji wa mtoto wa...