Kutana na James Hobson, Injinia anayetengeza characters wa Marvels & DC Comics, video games kuwa halisia


wale wa mlimani wakitoka cha kwanza wanatengeneza mashine ya kukamulia miwa
 
The thing is,i dont know what am capable of??!!
We dont have time to find it out,
What we have to do is always unknown
Umeongea kitu kikubwa sana, mtu aki jitafuta ndan, atakuwa Pro kwa kile alicho nacho...

The thing is : we want to do everything.
 
Ukiichek Thor, Rognarock... Kama sijakosea title.

Alikutana na kisanga, cha sis wake... Nyundo yenyewe aliipasua.
sis wake(Hela)ndio alikua wa kwanza kutumia ile Hammer, ndio akaja Thor
Thor akatengenezewa Stormbreaker na Eitri wa Nidavillir
kwenye Endgame alivyorudi nyuma ya mda aka ipata nyundo yake(kabla ya kufufuka kwa Hela)
Steve Rogers akawa worthy na kuweza ku weild both Stormbreaker na Mjolnir
 
Yeeeeeeep hivyo ndivyo ilivyokua kuna muda Steve alitumia Mjolnir na Stormbraker maana alipigwa hadi ngao ikapasuka, thor akamwambia nipe hiyo kubwa chukua haka kadogo(mjolnir)
 
Iyo battle iko wapi mkuu niipitie
 
nishaicheki sana atleast kwa wiki naicheki mara tatu.. hata kwenye endgame Captain america kaitumia kumpiga Thanos, tena ilimfata yenyewe
Hao jamaaa wananifanya nitafakar mambo mengi sana, sichoki movie za aina hyo.

Esp zile ku unleash power za mtu za ndani...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…