Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 35,656
- 106,738
- Thread starter
- #121
Kuna mafunzo mengi sana kwenye muvi namm hua siishii kuangalia tu muvi ila nikipata concept lazima niifuatilie nielewe.. Kwa mfano humo kwenye ragnarok kuna kitu kiliitwa devil anus.. au neutron star ilibid niifuatilie..Hao jamaaa wananifanya nitafakar mambo mengi sana, sichoki movie za aina hyo.
Esp zile ku unleash power za mtu za ndani...