Feeling Haillee
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 205
- 97
Mbona wamefuata formula hawa....., hv mlitarajia kweli huyu jibaba akamchukue wa umbo lake..., halafu ndo ingekuaje..!.
Acha kashfa..., unaposema ana sura mbaya kwan aliomba....!. Hebu weka hp picha yk nawe tuone km kweli umetimia idara zote. Yaan kuanzia ile ya mambo ya ndani na ya nje.Wanawake ni viumbe hatari Sana, wanawake ni wawakilishi wa Lucifa kabisa.
Huyo binti hajaolewa na binadamu, bali kaolewa na pesa, jamaa lina sura mbaya na linatisha Kama Zakaria yule tajiri wa mabasi ya Tarime.
Aisee, acheni wanawake waitwe wanawake, they the most dangerous creatures in the world.
Yaani Kama ni Dada Yangu hiyo harusi ningeisusia aise.
Binti mrembo halafu jamaa halina mbele wala nyuma...
Wanawake ni hatari jamani, yaani hapo pesa ndo imeoa, kina miss chagga hawa waoneni hivyo hivyo tu ni balaa
Ki Biologia jamaa anatakiwa aoe mwanamke km huyu coz maumbile yake yapo ndani sana ingekua vigumu kumuoa mwanamke anaelingana nae kimaumbile wasingeweza kugegedana kwani wote sehemu zao za sex ziko mbali lakini huyu kimbaumbau rahisi dushe kuzama ndaniWanawake ni viumbe hatari Sana, wanawake ni wawakilishi wa Lucifa kabisa.
Huyo binti hajaolewa na binadamu, bali kaolewa na pesa, jamaa lina sura mbaya na linatisha Kama Zakaria yule tajiri wa mabasi ya Tarime.
Aisee, acheni wanawake waitwe wanawake, they the most dangerous creatures in the world.
Yaani Kama ni Dada Yangu hiyo harusi ningeisusia aise.
Binti mrembo halafu jamaa halina mbele wala nyuma...
Wanawake ni hatari jamani, yaani hapo pesa ndo imeoa, kina miss chagga hawa waoneni hivyo hivyo tu ni balaa
SwadaktaUsimjudge mtu inawezakana ni mapenzi na siyo pesa kila mtu ana test yake. Wewe unaweza kumuona mbaya mwenzio hajiwezi kwake
Nakubaliana na hili ni upendo pekee ndio huwaunganisha wanandoa wawili bila kujali mapungufu ya mmoja kati yao.
Duh,hiyo kali..Ni maharusi wenye uwiano wa maumbo tofauti sana.
Ama kweli, mapenzi upofu
View attachment 455276 View attachment 455277 View attachment 455278
Unashangaa! Mbona reli nyembaba inabeba ma tons mengi tuuu!Toba yarabi...eeeh Mola tunusuru sisi waja wako.
Mke atakuwa ana lala juuAtamuumiza Mkewe
Mkuu,ukiona demu bomba kaolewa na dume lenye sura kama mkaanga sumu hapo ujue dume ni zee la dili na kinyume chake ni sahihi pia.Wanawake ni viumbe hatari Sana, wanawake ni wawakilishi wa Lucifa kabisa.
Huyo binti hajaolewa na binadamu, bali kaolewa na pesa, jamaa lina sura mbaya na linatisha Kama Zakaria yule tajiri wa mabasi ya Tarime.
Aisee, acheni wanawake waitwe wanawake, they the most dangerous creatures in the world.
Yaani Kama ni Dada Yangu hiyo harusi ningeisusia aise.
Binti mrembo halafu jamaa halina mbele wala nyuma...
Wanawake ni hatari jamani, yaani hapo pesa ndo imeoa, kina miss chagga hawa waoneni hivyo hivyo tu ni balaa
kwa hiyo huyo mwanaume asioe?!?!?!Wanawake ni viumbe hatari Sana, wanawake ni wawakilishi wa Lucifa kabisa.