Ha ha haaaa chezea pesaaaHii ni km mbingu na ardhi.
Pagumu sana hapoNasemaje mission impossible, yani mechi lazima itakuwa ngumu kucheza
Sura ya huyu kaka ina ubaya gani? Hebu weka picha yako tuone ulivyo mzuri. Jina lako halifanani na andiko lako. Wise person hawezi kumsemea maneno haya binadamu mwenzake, kwani unafikiri yeye alijiumba?Wanawake ni viumbe hatari Sana, wanawake ni wawakilishi wa Lucifa kabisa.
Huyo binti hajaolewa na binadamu, bali kaolewa na pesa, jamaa lina sura mbaya na linatisha Kama Zakaria yule tajiri wa mabasi ya Tarime.
Aisee, acheni wanawake waitwe wanawake, they the most dangerous creatures in the world.
Yaani Kama ni Dada Yangu hiyo harusi ningeisusia aise.
Binti mrembo halafu jamaa halina mbele wala nyuma...
Wanawake ni hatari jamani, yaani hapo pesa ndo imeoa, kina miss chagga hawa waoneni hivyo hivyo tu ni balaa
You are a boy...Wanawake ni viumbe hatari Sana, wanawake ni wawakilishi wa Lucifa kabisa.
Huyo binti hajaolewa na binadamu, bali kaolewa na pesa, jamaa lina sura mbaya na linatisha Kama Zakaria yule tajiri wa mabasi ya Tarime.
Aisee, acheni wanawake waitwe wanawake, they the most dangerous creatures in the world.
Yaani Kama ni Dada Yangu hiyo harusi ningeisusia aise.
Binti mrembo halafu jamaa halina mbele wala nyuma...
Wanawake ni hatari jamani, yaani hapo pesa ndo imeoa, kina miss chagga hawa waoneni hivyo hivyo tu ni balaa
mzee wa aviation,kumbe na wewe una kashfa?Kwa umbo hilo,kuna uwezekano mkubwa akawa kibamia FC,kwa kweli anatafuta lawama tu hapo,kuchapiwa lazima.
Hapana kaka,nilitingwa mno...nasikitika sikufika kumuaga,huwa nakutana sana na yule dogo Methew,nitampa pole zangu.Mz
mzee wa aviation,kumbe na wewe una kashfa?
Off topic:Sipo bongo kwa sasa,vipi ulifika kwenye maziko ya Mhaiki,maana siku ile ulimuelezea vizuri sana kwenye uzi wa msiba wake
Sure Sure!!Mimi pia nikirudi i have to go and see where my Comrade's body slept!!Hapana kaka,nilitingwa mno...nasikitika sikufika kumuaga,huwa nakutana sana na yule dogo Methew,nitampa pole zangu.
Kabisa,alikuwa mtu hasa,poa poa mkuu.Sure Sure!!Mimi pia nikirudi i have to go and see where my Comrade's body slept!!
Alikuwa comrade wangu wa kweli...Mtu wa watu mwenye roho ya utu...Say sorry to Mathew!!I real feel sorry to him
Wanawake ni viumbe hatari Sana, wanawake ni wawakilishi wa Lucifa kabisa.
Huyo binti hajaolewa na binadamu, bali kaolewa na pesa, jamaa lina sura mbaya na linatisha Kama Zakaria yule tajiri wa mabasi ya Tarime.
Aisee, acheni wanawake waitwe wanawake, they the most dangerous creatures in the world.
Yaani Kama ni Dada Yangu hiyo harusi ningeisusia aise.
Binti mrembo halafu jamaa halina mbele wala nyuma...
Wanawake ni hatari jamani, yaani hapo pesa ndo imeoa, kina miss chagga hawa waoneni hivyo hivyo tu ni balaa
ninaona kuzidiwa kete na jitu la miraba minne.Acha unafik...kwa hy wanaume wabaya hawana haki ya kupata papuch??..Wanawake ni viumbe hatari Sana, wanawake ni wawakilishi wa Lucifa kabisa.
Huyo binti hajaolewa na binadamu, bali kaolewa na pesa, jamaa lina sura mbaya na linatisha Kama Zakaria yule tajiri wa mabasi ya Tarime.
Aisee, acheni wanawake waitwe wanawake, they the most dangerous creatures in the world.
Yaani Kama ni Dada Yangu hiyo harusi ningeisusia aise.
Binti mrembo halafu jamaa halina mbele wala nyuma...
Wanawake ni hatari jamani, yaani hapo pesa ndo imeoa, kina miss chagga hawa waoneni hivyo hivyo tu ni balaa
They the most dangerous creatures in the world,ndiyo nini kwanza tafsiri yake?Wanawake ni viumbe hatari Sana, wanawake ni wawakilishi wa Lucifa kabisa.
Huyo binti hajaolewa na binadamu, bali kaolewa na pesa, jamaa lina sura mbaya na linatisha Kama Zakaria yule tajiri wa mabasi ya Tarime.
Aisee, acheni wanawake waitwe wanawake, they the most dangerous creatures in the world.
Yaani Kama ni Dada Yangu hiyo harusi ningeisusia aise.
Binti mrembo halafu jamaa halina mbele wala nyuma...
Wanawake ni hatari jamani, yaani hapo pesa ndo imeoa, kina miss chagga hawa waoneni hivyo hivyo tu ni balaa
Wanawake ni viumbe hatari Sana, wanawake ni wawakilishi wa Lucifa kabisa.
Huyo binti hajaolewa na binadamu, bali kaolewa na pesa, jamaa lina sura mbaya na linatisha Kama Zakaria yule tajiri wa mabasi ya Tarime.
Aisee, acheni wanawake waitwe wanawake, they the most dangerous creatures in the world.
Yaani Kama ni Dada Yangu hiyo harusi ningeisusia aise.
Binti mrembo halafu jamaa halina mbele wala nyuma...
Wanawake ni hatari jamani, yaani hapo pesa ndo imeoa, kina miss chagga hawa waoneni hivyo hivyo tu ni balaa
Huyo kamtaja kimzaha. Na kwakuwa Miss Chagga mpole imepita kimyakimya.kuna wanawake humu JF wenye hulka kama za mabinti hao? mana kuna mmoja kashatajwa hapo juu sijui ni kweli!