Kwani Nawe unapenda pesa?Pesa ndo kila kitu
Ndiyo mkuu,kuna ambae hapendi pesa?Kwani Nawe unapenda pesa?
Kuna ile too much yaan no money no luvNdiyo mkuu,kuna ambae hapendi pesa?
mahali umenikosea ni ulivyosema sisi ni wawakilishi wa lucifa, then unaanza kuandika lucifa eti kwa herufi kubwa. yaan umenichosha kabisa. you mean umezaliwa na muwakilishi wa lucifa? wakati mwingine mnavyoandika comment mkumbuke muna dada, mama na shangazi zenu.Wanawake ni viumbe hatari Sana, wanawake ni wawakilishi wa Lucifa kabisa.
Huyo binti hajaolewa na binadamu, bali kaolewa na pesa, jamaa lina sura mbaya na linatisha Kama Zakaria yule tajiri wa mabasi ya Tarime.
Aisee, acheni wanawake waitwe wanawake, they the most dangerous creatures in the world.
Yaani Kama ni Dada Yangu hiyo harusi ningeisusia aise.
Binti mrembo halafu jamaa halina mbele wala nyuma...
Wanawake ni hatari jamani, yaani hapo pesa ndo imeoa, kina miss chagga hawa waoneni hivyo hivyo tu ni balaa
Hila kweli kakosea make unaposema wanawake its mean had mama akemahali umenikosea ni ulivyosema sisi ni wawakilishi wa lucifa, then unaanza kuandika lucifa eti kwa herufi kubwa. yaan umenichosha kabisa. you mean umezaliwa na muwakilishi wa lucifa? wakati mwingine mnavyoandika comment mkumbuke muna dada, mama na shangazi zenu.
nimechukia sana kwa kweli.
mimi nilielewa na hata wewe ulielewa ndo maana ukaweka kizungu kizuri. asante kutufundisha kiingerezaWhat you wrote n what you wanted to mean are quite different. She has been dumped, that's your implication I guess mkuu
We unaongea nini..acha utotoWanawake ni viumbe hatari Sana, wanawake ni wawakilishi wa Lucifa kabisa.
Huyo binti hajaolewa na binadamu, bali kaolewa na pesa, jamaa lina sura mbaya na linatisha Kama Zakaria yule tajiri wa mabasi ya Tarime.
Aisee, acheni wanawake waitwe wanawake, they the most dangerous creatures in the world.
Yaani Kama ni Dada Yangu hiyo harusi ningeisusia aise.
Binti mrembo halafu jamaa halina mbele wala nyuma...
Wanawake ni hatari jamani, yaani hapo pesa ndo imeoa, kina miss chagga hawa waoneni hivyo hivyo tu ni balaa
Mimi sio kiivoKuna ile too much yaan no money no luv
Mbona Zakaria n handsome jaman sema kiswahili tu ndo kibaya. Ukiwa na pesa hata kama sura lako lmepinda ww n handsome. Mwanaume mzuri kwan namla nyama.Wanawake ni viumbe hatari Sana, wanawake ni wawakilishi wa Lucifa kabisa.
Huyo binti hajaolewa na binadamu, bali kaolewa na pesa, jamaa lina sura mbaya na linatisha Kama Zakaria yule tajiri wa mabasi ya Tarime.
Aisee, acheni wanawake waitwe wanawake, they the most dangerous creatures in the world.
Yaani Kama ni Dada Yangu hiyo harusi ningeisusia aise.
Binti mrembo halafu jamaa halina mbele wala nyuma...
Wanawake ni hatari jamani, yaani hapo pesa ndo imeoa, kina miss chagga hawa waoneni hivyo hivyo tu ni balaa
Ila jaman pesa tunazipenda ila sio kwa kiasi hiki chaa! Mtoto wangu me simpi iyo mbegu atakuja nilaani baadae bureWanawake ni viumbe hatari Sana, wanawake ni wawakilishi wa Lucifa kabisa.
Huyo binti hajaolewa na binadamu, bali kaolewa na pesa, jamaa lina sura mbaya na linatisha Kama Zakaria yule tajiri wa mabasi ya Tarime.
Aisee, acheni wanawake waitwe wanawake, they the most dangerous creatures in the world.
Yaani Kama ni Dada Yangu hiyo harusi ningeisusia aise.
Binti mrembo halafu jamaa halina mbele wala nyuma...
Wanawake ni hatari jamani, yaani hapo pesa ndo imeoa, kina miss chagga hawa waoneni hivyo hivyo tu ni balaa
binadam hatunaga jema, angemtosa mngesema kabagua shepu. Utakuta watu wana mapenz yao ya kweli. kama Mungu kakupangia wako ni wako tuu piga uwa garagaza, HATA AWE NA SHEPU KAMA GURUDUM.Kamefata pesa hako..