Kutana na harusi ya aina yake

Kutana na harusi ya aina yake

Wanawake ni viumbe hatari Sana, wanawake ni wawakilishi wa Lucifa kabisa.
Huyo binti hajaolewa na binadamu, bali kaolewa na pesa, jamaa lina sura mbaya na linatisha Kama Zakaria yule tajiri wa mabasi ya Tarime.
Aisee, acheni wanawake waitwe wanawake, they the most dangerous creatures in the world.
Yaani Kama ni Dada Yangu hiyo harusi ningeisusia aise.
Binti mrembo halafu jamaa halina mbele wala nyuma...
Wanawake ni hatari jamani, yaani hapo pesa ndo imeoa, kina miss chagga hawa waoneni hivyo hivyo tu ni balaa
Watu watakuponda na kukupinga ila ukweli ndio huo wanawake ni viumbe hatari sana haijawahi kutokea
 
Money Makes The World Go Round...
 
Wanyarwanda hao jamaa ana pesa mbaya na maduka ya spea za magari.Wanaishi Gisenyi ktk hekalu la mfano!Bt yule binti alifuata pesa tu!
 
Wanawake ni viumbe hatari Sana, wanawake ni wawakilishi wa Lucifa kabisa.
Huyo binti hajaolewa na binadamu, bali kaolewa na pesa, jamaa lina sura mbaya na linatisha Kama Zakaria yule tajiri wa mabasi ya Tarime.
Aisee, acheni wanawake waitwe wanawake, they the most dangerous creatures in the world.
Yaani Kama ni Dada Yangu hiyo harusi ningeisusia aise.
Binti mrembo halafu jamaa halina mbele wala nyuma...
Wanawake ni hatari jamani, yaani hapo pesa ndo imeoa, kina miss chagga hawa waoneni hivyo hivyo tu ni balaa
Mzee mbona kama unaumia sana sasa ulitaka amuoe nani
 
The beauty of Man always is in his wallet and the beauty of woman is on her face.
 
Wanawake ni viumbe hatari Sana, wanawake ni wawakilishi wa Lucifa kabisa.
Huyo binti hajaolewa na binadamu, bali kaolewa na pesa, jamaa lina sura mbaya na linatisha Kama Zakaria yule tajiri wa mabasi ya Tarime.
Aisee, acheni wanawake waitwe wanawake, they the most dangerous creatures in the world.
Yaani Kama ni Dada Yangu hiyo harusi ningeisusia aise.
Binti mrembo halafu jamaa halina mbele wala nyuma...
Wanawake ni hatari jamani, yaani hapo pesa ndo imeoa, kina miss chagga hawa waoneni hivyo hivyo tu ni balaa
Kwa maoni yako huyu jamaa alitakiwa asipate mke?
 
Nyie mnadhani wanawake hawana akili?
Nani kakwambia mwanamke anataka six packs?
Mwanamke anataka pesaaa
We miliki pesa tu hata uwe na sura na umbo baya kama kinyago utapata mrembo matata
 
Daima mpango wa Mungu lazima utimie ..na mtu atapewa wa kufanana naye sio kwa sura hapana kwa kumkubali ,kuvumilia,kumuelewa,kumchukulia kwa upendo haijalishi yupo katika hali gani tuwaombee maana Mungu ana makusudi yake na sote tumeumbwa kwa mfano wa Mungu hakuna aliye bira zaidi ya mngine
 
Wanawake ni viumbe hatari Sana, wanawake ni wawakilishi wa Lucifa kabisa.
Huyo binti hajaolewa na binadamu, bali kaolewa na pesa, jamaa lina sura mbaya na linatisha Kama Zakaria yule tajiri wa mabasi ya Tarime.
Aisee, acheni wanawake waitwe wanawake, they the most dangerous creatures in the world.
Yaani Kama ni Dada Yangu hiyo harusi ningeisusia aise.
Binti mrembo halafu jamaa halina mbele wala nyuma...
Wanawake ni hatari jamani, yaani hapo pesa ndo imeoa, kina miss chagga hawa waoneni hivyo hivyo tu ni balaa
kwani jamaa hana haki ya kuoa?
 
Back
Top Bottom