Kutaja jina la mtu mwingine kunako 6*6

Nikikushauri ufanyeje ili usitaje jina la mwingine, maana yake nakubaliana na umalaya wako

Ushauri ninao kupa ni Tulia na mpenzi / mke wako mmoja tu, achana na tabia ya kuchovyachovya, mwisho wake ni kukupoteza kwa ukimwi au kichapo kwa kufumaniwa
 
Wakuu nadhani baadhi yetu tushakumbwa na hii hali,kwanza ilintokea kwa ex-girl wangu ambapo alitaja jina la jamaa flani hivi,iliniuma sana tukajaachana,binafsi kila ninapocheat nikiwa kunako faragha hujichanganya na hatimaye kutaja jina la mpenzi wangu wakati niko na mwingine tofauti,wadau je tatizo hili husababishwa na nini? Na njia ya kuepukana nalo tafadhali.
Msingi wa KUCHEAT ni kuwa mweledi wa UONGO, na kanuni ya kwanza ya kuwa MUONGO, usiwe msahaulifu.
Usahuri: JIFUNZE KUWA MUONGO KWANZA ILI UENDELEE KUCHEAT, kwani hata kama ukitaja jina la mwengine, ukiwa Muongo mzuri utajua namna ya "kulinywa baada ya kulikoroga".

Kila la heri.
 
Tatizo hili husababishwa na Mungu kutaka kukuumbua, dawa yake ni kuwa mwaminifu kwa mmoja tu.
 
Back
Top Bottom