Mhandisi umemwambia vema kabisa...BTW bado nakusubiri
namsubiria kny eneo la kazi,kujibu swali ni kuwa hii kitu haijawahi kunitokea maana bado kushiriki hilo zoezi,kwema lkn?
Wakuu nadhani baadhi yetu tushakumbwa na hii hali,kwanza ilintokea kwa ex-girl wangu ambapo alitaja jina la jamaa flani hivi,iliniuma sana tukajaachana,binafsi kila ninapocheat nikiwa kunako faragha hujichanganya na hatimaye kutaja jina la mpenzi wangu wakati niko na mwingine tofauti,wadau je tatizo hili husababishwa na nini? Na njia ya kuepukana nalo tafadhali.
Uwe bubu wakati unafanya ngono itakusaidia labda!!! :wacko:
jamani hili jukwaa tukoje ? mbona mnawasuta waleta mada, iwe ya ukweli au uwongo acheni kuwananga kwani wasipozileta tutafurahia wapi, km haikuridhishi usichangie kuliko kumuita mtoa mada aache kutoa umalaya wake.MIjitu mingine inashindwa kuficha ujinga wao jamani mbona kichefu chefu!
Yaani tukushauri namna ya kufanya umalaya wako?
jamani hili jukwaa tukoje ? mbona mnawasuta waleta mada, iwe ya ukweli au uwongo acheni kuwananga kwani wasipozileta tutafurahia wapi, km haikuridhishi usichangie kuliko kumuita mtoa mada aache kutoa umalaya wake.
BOFYA
![]()
[h=2]Reminder to all MMU[/h]Nimeonelea niwakumbushe wanajamii hususani jukwaa hili la MMU, mtu anapoomba ushauri tumshauri kweli kwa busara zote, tusianze mtupia matusi ama lugha za utani uloptiliza, kuna jukwaa la jokes nadhani lipo kwa minaajili hyo, humu mtu anataka ushauri wa kweli kwa yanayomsibu ila watu tumejisahau na kugeuza MMU kama forum ya Jokes na Matusi, tujitahidi.................... kama huwezi, waweza pita tu na kuwaachia wa kushauri wafanye kazi yao.
mnataka kuliharibu hili jukwaa lianze kuwekewa masharti likose utamu, asiyeweza utani aende Jukwaa la siasa ndio kuna ukweli
mm imeshanitokea na hata kwa yoyote aliyewapitia hawa wenzetu akigeuziwa staili lazima atamkumbuka wa zamani aliyemuanzishia hivyo atamtaja, Ushauri bora kugugumia kimyakimya akiniita Darling nanyamaza akiniambia mtukanie ma** **ko we komaa shusha mzigo
snowhite,mtoa mada hakuomba ahukumiwe kwa kutoka nje ya mahusiano,alichoomba ni msaada wa kitaalam aepuke kutaja jina la snowhite wakati anastarehe na preta,ni hilo tu mumsaidie.unmpenda gf wako unahangaika na nini?au tu na wewe uitwe kijogoo mtaani!tulia bana sio sifa wala ujanja kuwa nao wengi!
una akili sana wewe!Huu ushauri ni kutoka kwa MASTER MWENYEWE MIMI huyooo! Dawa hapo ni moja, kila mpenzi unaempata imediately jizoeeshe kumuita kidhungu, Dear! Darling! Honey mda wote, usitumie jina lake kabisaaa!. Hapo hata kwenye 6*6 utakuwa unaita dear, honey, my love, it doesnt realy matter who you realy mean!!!! Taratiiiibu unakwepa mashtaka kiulaini
ukikomaa kwenye wizi utaachaWakuu nadhani baadhi yetu tushakumbwa na hii hali,kwanza ilintokea kwa ex-girl wangu ambapo alitaja jina la jamaa flani hivi,iliniuma sana tukajaachana,binafsi kila ninapocheat nikiwa kunako faragha hujichanganya na hatimaye kutaja jina la mpenzi wangu wakati niko na mwingine tofauti,wadau je tatizo hili husababishwa na nini? Na njia ya kuepukana nalo tafadhali.
Nyani Ngabu nasikia eti jana umekamatwa na mgambo wa jiji ukiiba paka kwa bi manyau tandale kisa eti mtaalam kakwambia akutengenezee dawa ya kukuongezea size,ndo maana kila kukicha unaachwa? kapenseli?Mke wa Bishanga (aka gelfrendi wangu) huwa ananitaja sana mimi akiwa na mumewe.
saints of today are yesterdays sinners,sinners of today are tommorows saints....hapo namnukuu mtunzi OSCAR WILDE......mkuu acha kuhukumu usije hukumiwa wewe.Post nyingine kweli JF ni kichekesho. Kwa nini utake ushauri kwa infedelity yako?
sio mtu akitajwa basi ni mtundu kuliko wewe
wengine they cared more
so wapo moyoni still
una busara sana wewe,nahisi we ni kizazi cha mfalme suleiman.jamani hili jukwaa tukoje ? mbona mnawasuta waleta mada, iwe ya ukweli au uwongo acheni kuwananga kwani wasipozileta tutafurahia wapi, km haikuridhishi usichangie kuliko kumuita mtoa mada aache kutoa umalaya wake.
BOFYA
![]()
[h=2]Reminder to all MMU[/h]Nimeonelea niwakumbushe wanajamii hususani jukwaa hili la MMU, mtu anapoomba ushauri tumshauri kweli kwa busara zote, tusianze mtupia matusi ama lugha za utani uloptiliza, kuna jukwaa la jokes nadhani lipo kwa minaajili hyo, humu mtu anataka ushauri wa kweli kwa yanayomsibu ila watu tumejisahau na kugeuza MMU kama forum ya Jokes na Matusi, tujitahidi.................... kama huwezi, waweza pita tu na kuwaachia wa kushauri wafanye kazi yao.
mnataka kuliharibu hili jukwaa lianze kuwekewa masharti likose utamu, asiyeweza utani aende Jukwaa la siasa ndio kuna ukweli
mm imeshanitokea na hata kwa yoyote aliyewapitia hawa wenzetu akigeuziwa staili lazima atamkumbuka wa zamani aliyemuanzishia hivyo atamtaja, Ushauri bora kugugumia kimyakimya akiniita Darling nanyamaza akiniambia mtukanie ma** **ko we komaa shusha mzigo
Bishanga Mijitu inaudhi sana humu MMU utafikiri wao ndio Mods, Mtu anajitutumua kutunga kahadithi kake ili sisi tusio walevi na mashabiki wa mpira au Chama tuzamie huku unakuta mtoa mada katukanwa, sasa hebu fuatilia mtoa matusi kila siku hatoi mada ni kudandia za wengine na kuzikosoa, ukiyaambie yahamie DINI au Jokes hayaendiuna busara sana wewe,nahisi we ni kizazi cha mfalme suleiman.