mohamedjohn
JF-Expert Member
- Sep 24, 2020
- 467
- 277
Haha umenikosha mbali sana mkuu ubarikiweHuo msemo wa 'amua sasa' nakumbuka tulikuwa tunautumia enzi zetu darasa la tano ili kuanzisha ngumi
Haha umenikosha mbali sana mkuu ubarikiweHuo msemo wa 'amua sasa' nakumbuka tulikuwa tunautumia enzi zetu darasa la tano ili kuanzisha ngumi
Yote umeongea sahih ila kwenye miradi acha tu suma waendelee kujitolea kuifanya for cost savingAchaneni na wapinzani, leteni maendeleo ya vitu na watu. Pandisheni mishahara na madaraja ya watumishi wa umma, hela ziingie kwenye mzunguko.
Acheni biashara ifanywe na private sector ili kuleta mzunguko wa hela mtaani, hakuna haja kila mradi wa serikali ujengwe na JKT au TBA. Mambo ya kuwakamata wapinzani hayasaidii maendeleo
Kuna haja ya kuchuja watu humu, kama hoja zenyewe ndo hizi!Ndo uanzishe sasa hizo ngumi.
Kabisa kabisa,yalikuwa ni maandamano ya viongozi tu hayo hayakutokana na watuNyinyi mngetakiwa Kuandamana... ili Viongozi wenu Waachiwe... Tuwaone kweli Mpo Serious..
Kuna haja ya kuchuja watu humu, kama hoja zenyewe ndo hizi!
Kuna harufu ya mtu kugadafiwa muda si muda....Wadau, amani iwe kwenu.
Watu hawashiriki kwenye maandamano kwa kushawishiwa. Maandamano ni utashi wa mtu na hushiriki tu kwa kuwa ameguswa.
Maandamano ya kushawishiwa kwenye mikutano na waandishi wa habari ama kwenye mitandao ya kijamii siku zote hayafanikiwi.
Wananchi wakiguswa hata utumie vifaru huwezi kuwanyamazisha.
Maandamano ya CHADEMA na ACT Wazalendo hayakuwa na hisia za wananchi bali yaliitishwa na watu waliokosa ulaji kupitia sanduku la kura.
Wananchi wanajua wazi kuwa Ushindi wa CCM ni wa halali hivyo wameamua kuwapuuza waandaaji wa maandamano hayo.
Maandamano ya CHADEMA na ACT Wazalendo hayakuwa na hisia za wananchi bali yalisukumwa na genge la watu lililokuwa linapigania maslahi binafsi.
Hivyo tunahitimisha kuwa Ushindi wa CCM ni halali kabisa na wananchi wameamua kuwaadhibu CHADEMA na ACT Wazalendo kupitia sanduku la kura na kupitia maandamano feki.
Hongereni sana Waheshimiwa Wananchi. Ninyi ni zaidi ya Wale Wajumbe wa CCM. Mmetuheshimisha Watanzania. Mmewatia adabu CHADEMA na ACT Wazalendo kupitia sanduku la kura na kukataa maandamano yao
CCM ndio inakufa hivyo! Kwa sasa imebaki chama dola.
Mnajitekenya na kucheka wenyewe.
Nini kimewafanya muwakamate kabla hata hakujakucha?
Waoga kuliko kunguru!
Kwa hiyo hamjaandamana nyie mataahira?Mbona mmewakamata viongozi wa upinzani kabla hata hakujakucha?Hofu yenu ni nini?
Nini kimewafanya muwakamate kabla hata hakujakucha?
Waoga kuliko kunguru!
Lengo la limetimia ila hamjaelewa mchozo unaoendelea.Endeleeni kuwakamata mtaelewa mkiwa mmechelewa.
Vhuna jipya
Hahahaa!MATAGA mnahangaika sana na upinzani utadhani upinzani ndio ilani yenu.Unatia huruma.. 🤣🤣🤣🤣🤣.. pole lwako.. kushabikia viongozi wapenda pesa kwanza.. miaka hata mitank.. sikuona mnawashauri ya maana humu.. zaidi ya fujo fujo na kupinga kila jema alilofanya Mh. Magufuli... halafu hayo kwa nyuma.. munayategemea maishani kwenu..
Inamaana kweli hujui kuwa jeshi la Police ndilo lililotishia wananchi wasije kwenye maandamano? Mfano mimi sijaja kwenye maandamano, je inamaana siuungi mkono maandamano? Hii ngoma bado mbichi sana, wazee watafanya usafi mpaka watachoka
Tokea uanze ndoto zako sasa hivi ccm ingebaki mifupaCCM ndio inakufa hivyo! Kwa sasa imebaki chama dola.
Matokeo anakonda yeye mwenyeweTokea uanze ndoto zako sasa hivi ccm ingebaki mifupa
Chama chenye kuongoza kwa ridhaa ya mamilioni ya Raia kinakufaje
Vijana mlitegemewa baada ya kuangukia pua mjifungie,na kuanzisha tafakuri yakinifu kuona wapi mlikosea,lakini mnashinda mitandaoni kupambana na ccm,bure kabisa,ccm haing'oki kwa kelele na matusi ya mitandaoni