Kushindwa kula vyakula vya kigeni nje ya nchi

Kushindwa kula vyakula vya kigeni nje ya nchi

Kwa hiyo ukienda kagera napo utashindwa kula?...maana vyakula vilivyopo kagera na Uganda ni hivyohivyo
 
Nadhan ameshindwa kuelezea tu ila nadhan shida kubwa ni namna ya UPIKAJI.Niliwahi kashindwa Kula wali KAMPALA kisa wali Una mchuzi (Boko).
Sasa je... hata mimi hiyo ni moja ya sababu zinazonifanya nishindwe kula misosi yao....😁
 
Samaki na nyama yoyote mimi sili nina allergy!
Afrika imezungukwa na maharage na mboga za majani kila sehemu mkuu nilikua Mozambique hapo Tete na Nyamapanda border ya kuingia Zimbabwe nikaomba wanitengenezee mboga ya majani na vitunguu nikapewa na ugali wa mtama na maharage yao nikala nikaendelea na safari mwezi uliopita sikutaka vitu vya mafuta nikiwa safari baada ya kufika Harare pale ndio nikala vyakula kama nipo home..
 
Back
Top Bottom