hahaa mi najua kukalia. nasikiaga haka ka msemo, kama hujui umhimu wa kalio kalia kichwa!Makalio huwa yana kazi gani?
Aisee.....Anawataka wenye ivi vitu..!
Haya ndio mambo yananipa raha.
we flat nini?[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mfyuuuuu kwendaaaa kafie mbali huko
Ha ha hawe flat nini?[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nyoooo......kwenda zako huko.........
Mfyuuuuu kwendaaaa kafie mbali huko
Vivulana aina yako unakuta ni vyembamba kama uzi hata kakilala kitandani utazan hakuna mtu. Pumbavu kafie mbele
Ni sawa na mwanamke anavyopenda six packs au kifua na mikono yenye misuli. The same applies to mwanaume kupenda mkia mkubwa.duuh pole sana ila mkia hauna lolote wakati wa.....! japo unaongeza hamasa tu za matamanio kwa wanaume wengi wakiutazama huo mkia[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Yanastimulate sana mwanaume na kumfanya atamani tendo na hata kulirudia Mara kumi anapofanya na MTU mwenye figure yenye kuhamasisha maana mwanaume hutamani kutokana na kile wanachokiona au eye candy. Lakini so kila tako kubwa lina mvuto,yapo mengi yasiyovutia pia ingawa ni makubwa. Wanaume wengi tunapenda umbo lilogawanyika kike,awe mwanamke mwembamba au mnene,mvuto wake huongezeka kama umbo lake limegawanyika vizuri na vile viungo vinavyohusika kuonekana vyema,mfano: Kifua,kiuno kizuri,hips au nyonga,matako yaliyokaa vizuri,mapaja na miguu n.k.Makalio huwa yana kazi gani?
Yaani wewe umemkosoa mtoa mada kisha ukazima kila kitu.Mleta uzi kakosea kuwatoa uthamani wasio na mikia,bt kiukweli mkia unayo nafasi kwenye mtifuano!!huongeza Hamasa pale unapokua unauminyaminya kiaina!!!